Video: Kwa Hali niliyoiona Leo kwenye page ya sativa tarehe 29 kila mtu atalala ndani

Video: Kwa Hali niliyoiona Leo kwenye page ya sativa tarehe 29 kila mtu atalala ndani

Hatujakamatika vizuri ndio maana hatuoni nia na haja ya kuandamana.

●Idadi ya jobless mtaani inazidi kuongezeka.
●Gharama za maisha zinazidi kupanda kila siku.
●Purchasing power ya mtanzania wa kawaida inazidi kushuka kila mwaka.
●Ubadhirifu na wizi wa mali za umma unazidi kuongezeka na sote tunaona.
●Gap kati ya mwenye nacho na asiyenacho linazidi kuongezeka kila siku.

Yote haya yakifikia dew point mbona utashangaa, njaa mbaya sana mkuu!!
Hamna kitu kam1 hicho mtanzania hata waone mtu anauwawa hapo hawawezi kuumiaa chochote sembuse njaa
 
Huyo jamaa hajui kuhusu mzuka huyo Ivory Coast walikuwaga wapole. jamaa asikwambie mtu ilipofika muda wakas3ma no. acha damu zilitapakaa kila kona
 
Sawa niite majina yote chawa kunguni nyegere makini wewe ni muoga Tu na tarehe 29 utajifungia chumbani ukitype
Kwa hiyo umekuja kututisha au sikuelewi yani wewe mtu kupambqna mpaka kufa we hilo unaona ni jambo dogo si bure mkuu una agenda yako binafsi
 
Huyo jamaa hajui kuhusu mzuka huyo Ivory Coast walikuwaga wapole. jamaa asikwambie mtu ilipofika muda wakas3ma no. acha damu zilitapakaa kila kona
Sisi tunaongelea taifa la manyumbu yanayozungumza kiswahili kama lugha namba Moja manyumbu hayawezi kubadilika hata siku moja katazame picha za huyu mnyama akili zake
 
Sisi tunaongelea taifa la manyumbu yanayozungumza kiswahili kama lugha namba Moja manyumbu hayawezi kubadilika hata siku moja katazame picha za huyu mnyama akili zake
Nimekuuliza swali meatu ipo wapi na geita waliotaka kuchoma kituo cha polisi je?
 
Watu ambao hata kuusema uongozi hadharani tunaogopa ndio tutoke mtaani.!

Au mfano pale kimara na mbezi , kuna shida kubwa ya usafiri, ambayo inawagusa moja kwa moja.
Lakini huwezi ona watu wanafanya demostration.
Sembuse swala la katiba na uchaguzi ambalo wengi wao wanaona aliwagusi moja kwa moja.
 
Kabisa sisi no wajinga na waoga sana
 
Wewe

We unauwezo WA kumponda jiwe mkuu wa wilaya wewe kuvamia ofisi za jeshi LA polisi we unaweza
Baada ya kumponda jiwe mkuu wa wilaya kilitokea nini kimebadilika ? Halafu Cha ajabu ni wanawake ndio waliojaribu kurusha jiwe midume imekaa mbali ndio ujue manyumbu yapo Kila sehemu yaani utegemee mwanamke alete mabadiliko
 
Hamna kitu kam1 hicho mtanzania hata waone mtu anauwawa hapo hawawezi kuumiaa chochote sembuse njaa
Hata huko unakoona leo wanaandamana kila siku huenda mwanzo hawakuwa na uthubutu pia, ila nyakati zinabadilika.

Huenda wewe upo upande wa wanaofurahia hali ilivyo, ndio maana umekuja na kejeli, ila time will come, yaweza isiwe vizazi vyetu, ila itakuja.
 
Baada ya kumponda jiwe mkuu wa wilaya kilitokea nini kimebadilika ? Halafu Cha ajabu ni wanawake ndio waliojaribu kurusha jiwe midume imekaa mbali ndio ujue manyumbu yapo Kila sehemu yaani utegemee mwanamke alete mabadiliko
Umeshinda mkuu siwez bishana nawe yani mkuu wa wilaya kupewa jeraha la maisha yake yote we unaona kazi bure nmestop kibishana nawe
 
Back
Top Bottom