Berlin Marathon Leo Tarehe 21/10 Live Updates Tanzania Ina wakikishwa Na Gabriel Geay

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Wakuu muda huu Berlin marathon inafanyika huko Germany na Tanzania ikiwakilishwa na Gabriel Geay Mwenye rekodi Bora ya masaa 2:03:00 katika 42km full marathon..
Tutegemee medali!!

Naona Kwa Tanzania hakuna tv station inayoonyesha ila wenye dstv wanaonesha..
Kenya wenzetu kupitia Ntv
 
Tbc Wala azam hakuna wanaonesha..
 
Wakuu muda huu Berlin marathon inafanyika huko Germany na Tanzania ikiwakilishwa na Gabriel Geay Mwenye rekodi Bora ya masaa 2:30:00 katika 42km full marathon..
Tutegemee medali!!

Naona Kwa Tanzania hakuna tv station inayoonyesha ila wenye dstv wanaonesha..
Kenya wenzetu kupitia Ntv
Tumeshandaa template ya pongezi
 
Wakuu muda huu Berlin marathon inafanyika huko Germany na Tanzania ikiwakilishwa na Gabriel Geay Mwenye rekodi Bora ya masaa 2:30:00 katika 42km full marathon..
Tutegemee medali!!

Naona Kwa Tanzania hakuna tv station inayoonyesha ila wenye dstv wanaonesha..
Kenya wenzetu kupitia Ntv
Inaonyeshwa na channel gani ya bongo live au wanachambua Simba na Yanga?
 
Azam Bado wanachambua simba na yanga..
Tbc wanaonesha madarasa ya mama huko Tarime
 
Nimejaribu kuangalia hata mkombozi wa wanyonge KBC ambao mtu wa Kenya akiwa anashiriki riadha husimamisha vipindi gafla ili wananchi wajionee naona wao wanaendelea na ibada ya jumapili labda kwenye hizo mbio hakuna Mkenya 🇰🇪 anayeshiriki
 
Wakuu muda huu Berlin marathon inafanyika huko Germany na Tanzania ikiwakilishwa na Gabriel Geay Mwenye rekodi Bora ya masaa 2:30:00 katika 42km full marathon..
Tutegemee medali!!

Naona Kwa Tanzania hakuna tv station inayoonyesha ila wenye dstv wanaonesha..
Kenya wenzetu kupitia Ntv
Bahati haiji mara mbili tegemea masikitikoo...
 
Wala huyo jamaa haonekani popote ama kashaa jitoa ya yupo lile kundi la mwisho
 
Naona mkenya Sebastian sawe kakata 20km Kwa dk 57..
Akiendeleanna pace hiyo anaenda vunja rekodi ya dunia
 
Wala huyo jamaa haonekani popote ama kashaa jitoa ya yupo lile kundi la mwisho
Sasa kama nyie wa kwenu wenyewe mmeshindwa hata kuwasiliana na wadau wa huko angalau watumie Smartphones kuleta habari na kutupia tupicha kweli utegemee watu wenye wakwao wakuonyeshe wenu ?

Hii nchi sijui Taasisi na Mabaraza ya Michezo yanafanya nini zaidi ya kukusanya funds na kuleta visheria njaa vinavyonyonya wanamichezo
 
Back
Top Bottom