Berlin Marathon Leo Tarehe 21/10 Live Updates Tanzania Ina wakikishwa Na Gabriel Geay

huyu jamaa kwenye olympics hii iliyopita hakumaliza mbio vipi awamu hii
 
Nadhani hata kashindwa kumaliza lakini Kun mwezake amemaliza Kwa masaa 2:16
Anitwa Panga Joseph
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Nadhani hata kashindwa kumaliza lakini Kun mwezake amemaliza Kwa masaa 2:16
Anitwa Panga Joseph
yeah nimeuona hapa wamemuweka wa 9,, yule mwingine tatizo sjui litakua nini kama nahii kashindwa kufika mwisho,, alafu hapa kati walitangana kaanzisha camp/kituo cha wanariadha huko manyara atakumbukwa kwa hilo
 
Back
Top Bottom