Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Habari
Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi
Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya
Itawasaidia hata wanapokuwa wakifundishwa kujua ni kitu gani wanafundishwa
Walimu wametutumia nikaona sio vibaya kushare nanyi, watoto wajifunze kitu
NI hayo tu!
===
Taarifa ya mamlaka ya hali ya hewa Tanzania