Tukio la Kupatwa Kwa Mwezi Leo Septemba 7, 2025

Tukio la Kupatwa Kwa Mwezi Leo Septemba 7, 2025

Kwa upande wa Uislamu hayo ni matukio makubwa ambayo Mwenyezi Mungu anaonyesha waja wake wapate kuzingatia na kujua kwamba hakika ipo siku moja huu ulimwengu utafikia mwisho,na dalili moja wapo za heka heka ambazo zitatokea siku ya kiama

Mfano katika mafundisho ya kiislamu tunaambiwa itafika kipindi jua litachomoza kutokea magharibi na hapo ujie siku ya kiama itakuwa imefika

Hata wanasayansi wana Sema ipo siku jua Lita expire na kupotelea mbali kabisa,maana kila kitu kina mda maalumu hapa duniani,mfano ukisoma kuhusiana na mambo ya galaxy utagundua kwamba kuna maelfu ya nyota ambazo zimekufa Mamilioni ya miaka iliyopita, kwahiyo hata hili jua ipo siku litafika mwisho

Kwahiyo kupatwa kwa jua na mwezi ni miongoni mwa alama za Mwenyezi Mungu kwa imani ya kiislamu,na ni dalili miongoni mwa dalili za kiama,kwahiyo kiimani ni matukio ya kuogopesha na inabidi tuswali swala maalumu kama kujikinga na kuepushwa na balaa
kuna channel moja ya youtube inaitwa the lote tree sijui utakuwa unaifahamu, ni channel ya kiislamu ipo uingereza, humu wanazungumzia aya za quran na hadithi sahihi huku wakiunganisha na sayansi ni nzuri mno ukapata muda kaicheki, wana mkusanyiko wa videos wanazungumzia wanazipa jina Allah and the cosmos, humo wanazungumzia gravity na kursi na arsh, wanazungumia malaika na light speed, blackholes, white holes na baitur ma'amur na mkunazi, as'habul kafi na cryonics, historia ya dajjal na kisiwa chake na time travel na magnetic anomally, kubadilika kwa magnetic poles na kuchomoza kwa jua magharibi na mambo mengi tu,
 
Back
Top Bottom