Tukio la Kupatwa Kwa Mwezi Leo Septemba 7, 2025

Tukio la Kupatwa Kwa Mwezi Leo Septemba 7, 2025

20250907_203703.jpg
 
Ni nafasi adimu sana kwa wale tunaoamini mambo ya asili. Tumetoka kufanya tambiko zito agano la damu na mtu wa kale. Natoa tahadhari hapa kijijini na huko mjini sasa hivi ukinifanyia ujinga jioni huioni.
 
Anasimulia Abu Bakar

We were with Allah's Messenger (ﷺ) when the sun eclipsed. Allah's Messenger (ﷺ) stood up dragging his cloak till he entered the Mosque. He led us in a two-rak`at prayer till the sun (eclipse) had cleared. Then the Prophet (p.b.u.h) said, "The sun and the moon do not eclipse because of someone's death. So whenever you see these eclipses pray and invoke (Allah) till the eclipse is over."
Sahih Bukhar
Salatool kusuf
 
View attachment 3467406

Habari
Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi
Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya
Itawasaidia hata wanapokuwa wakifundishwa kujua ni kitu gani wanafundishwa

Walimu wametutumia nikaona sio vibaya kushare nanyi, watoto wajifunze kitu

NI hayo tu!

===

Taarifa ya mamlaka ya hali ya hewa Tanzania
View attachment 3467409

KUPATWA KWA MWEZI LEO TAREHE 7 SEPTEMBER 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=ast5rurxkms
Kupatwa kwa mwezi kunatokea usiku wa leo, na kuruhusu raia wa Afrika Kusini kushuhudia mwezi mwekundu angani.

Hii hutokea wakati Dunia imewekwa ndani ya mstari mmoja sawasawa kati ya Mwezi na Jua, na kusababisha kivuli dunia yetu kuonekana kwenye uso wa Mwezi.

Mwezi wa wenye rangi nyekundu utafika kilele cha kuonekana inapokaribia saa mbili usiku 8:11 pm, na kupatwa kote hutokea kutoka 7:30 pm hadi 8:52 pm.

Hakuna miwani maalum au vichungi vinavyohitajika kutazama maono haya ya kuvutia.

Kupata habari za kina kuhusu tukio hili la leo tunavuka moja kwa moja hadi kwa Ripota wetu wa Habari wa SABC, Vanessa Poonah kutoka kituo cha SA Astronomical Observatory huko Cape Town ili kuangazia tukio la leo kupatwa kwa mwezi kwa kina
 
Back
Top Bottom