TAFSIRI YAKE YA KYPATWA KWA MWEZI LUNAR/MOON ECLAPSE KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NI HII HAPA.
1.)MWEZI maana yake ni kiongozi mkuu Mwanamke /wa kike...JUA ni kiongozi mkuu Mwanamume.
2)Kupatwa mana yake ni Mwezi kufunikwa /kutiwa giza/KUZIMWA NURU YAKE ,maana yake uongozi wa mwanamke utafunikwa/MENE MENE TEKELI NA PERESI
3)je baada ya kufunikwa ilichukua muda gani ??,uliibuka mwezi mpya ukawaka tena baada ya muda kupita?au ulizimika mazima ?..kama ikitokea mwezi ulizimika /ulitiwa giza/ulipoteza nuru yake moja kwa moja kwa usiku mzima ,maana yake ni MENE MENE TEKELI NA PERESI...mpaka kesho asubuhi litakapo chomoza JUA JIPYA (Uongozi mpya wa mwanaume,/kesho yake ,in the near future..