TAREHE 7 JULAI RASMI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI
1/2 Mkutano Mkuu wa 41 wa #UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani.
Azimio hilo limepitishwa na nchi zote wanachama wa UNESCO bila kupingwa, leo tarehe 23 Novemba, 2021, Paris nchini Ufaransa.
Tuko pamoja; na...