tarura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Barabara inayoelekea kwenye Mahakama Kinondoni,Ofisi za OSHA ina mashimo yanaleta kero, TARURA ipo wapi?

    Barabara inayotokea njia Kuu ya Kinondoni(Kawawa road )kuelekea Mahakama ya Kinondoni/Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki, Ofisi za OSHA imearibika na ina mashimo ambayo sio salama jambo ambalo linapeleka madhara ikiwemo kuleta usumbufu kwa wenye magari, ambapo baadhi tumekutana na changamoto ya...
  2. Papaa Mobimba

    Pre GE2025 RC Kunenge awataka TANROADS na TARURA kumaliza miradi ya barabara iliyoahidiwa na CCM 2020

    Kunenge alitoa agizo hilo katika mkutano wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Pwani uliofanyika Kibaha, ukiwahusisha wadau wa maendeleo na wataalamu wa sekta hiyo. Alisisitiza umuhimu wa kuwa na mpango wa utekelezaji wa ujenzi wa barabara, hasa zile zilizokuwa sehemu ya ahadi za uchaguzi. Pia...
  3. The Watchman

    DC Iringa atoa siku 14 TANROADS, TARURA kuzuia uvamizi wa hifadhi za barabara ikiwemo biashara ndogo ndogo

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James ametoa siku 14 kwa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) wilayani humo kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kisheria kuzuia vitendo vya mara kwa mara vya uvamizi wa hifadhi za barabara vinavyosababishwa na...
  4. Stephano Mgendanyi

    TARURA Arusha Yaagizwa Kuharakisha Ujenzi Daraja la Oltukai - Monduli

    TARURA ARUSHA YAAGIZWA KUHARAKISHA UJENZI DARAJA LA OLTUKAI-MONDULI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais- TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amemuelekeza Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha kusimamia kwa haraka hatua za manunuzi kwa ajili ya ujenzi wa Daraja katika...
  5. Roving Journalist

    DAWASA na TARURA warekebisha barabara zilizoharibiwa kutokana na mifumo ya Majitaka Mitaa ya Mbezi Beach

    Mrejesho wa Taarifa ya Jamii Forums Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), kwa kushirikiana na Mkandarasi wa mradi wa Usafi wa Mazingira Mbezi Beach kampuni ya Beijing Construction Engineering Group Ltd (BCEG) pamoja na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)...
  6. Torra Siabba

    KERO TARURA irekebishe miundombinu ya Malolo - Tabora, Wananchi tunateseka kwa Mitaa kujaa maji

    Ndugu zangu wana JF salaam, kuna jambo ambalo limekuwa kikwazo kwetu sisi wakazi wa Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora na Mkoa wa Tabora ambapo kama lisipofanyiwa kazi basi tutaendelea kuishi kwa kutaabika na wakati mwingine wenzetu kupoteza maisha kila kukicha. Iko hivi, sisi wakazi wa Malolo...
  7. L

    KERO TARURA Kigoma mnatia aibu na kuudhi Barabara ya Gungu mpaka njia panda ya Kigoma ma Ujiji ni kituko kwa Mkoa na Taifa kwa ujumla

    Nimebahatika kufika Kigoma siku tatu zilizopita. Nimeshindwa kuvumilia kituko cha barabara kutoka Gungu kwenda mpaka njia panda ya Kigoma mjini na Ujiji. Lakini pia Kituko cha barabara ya Kigoma to Ujiji. Swali langu: Ivi huo mtaro ulio katikati ya barabara mbili una kazi gani? hamuoni kama...
  8. Mkongwe Mzoefu

    TARURA Ilemela Ivunjwe, DED na Mhandisi wa Barabara nao Waondolewe kwa kushindwa kazi

    Katika halmashauri za manispaa za hovyo hapa nchini nadhani ile Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza. Nilikuwa huko kwa mapumziko ya sikukuu na nimejiuliza jee huko TARURA wapo kweli? Na jee Mkurugenzi na mhandisi wake wapo na wanalipwa mishahara? Hata ukienda juu zaidi jee RC Mtanda naye...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mhe. Katimba Awataka Wakandarasi wa TARURA Kutekeleza Miradi kwa Ufanisi

    MHE. KATIMBA AWATAKA WAKANDARASI WA TARURA KUTEKELEZA MIRADI KWA UFANISI Naiba Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewataka makandarasi wanaopatiwa kandarasi za ujenzi wa barabara za TARURA kutekeza miradi hiyo kwa ufanisi na kwa wakati kama ilivyo makubaliano ya katana...
  10. Waufukweni

    DC Mtatiro atoa maelekezo kwa TARURA baada ya kukuta barabara haipitiki

    Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro amelazimika kumpigia simu Meneja wa Wakala wa barabara Vijijini TARURA mbele ya wananchi wakati wa mkutano wa hadhara kupata ufafanuzi juu ya ujenzi wa barabara iliyopo katika kijiji cha Shatimba kata ya Nyamalogo halmashauri ya Shinyanga. Hayo...
  11. NGOSWE2

    Je, TARURA itabadilika, au wananchi waendelee tu kuumia?

    Ni dhahiri kuwa maswali haya yanazidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wengi, hasa wanapoona juhudi zao za kuboresha barabara zikivurugwa kwa namna isiyokubalika. Mfano halisi ni kilichotokea jana katika Kata ya Buyuni, Mtaa wa Nyeburu, ambapo TARURA ilikuja na tingatinga lao, wakakwangua...
  12. Torra Siabba

    KERO TARURA Tabora iangalieni Barabara ya Madaraka, ni mbovu na inazidi kuharibika

    Hivi huu Mkoa wa Tabora viongozi wa Wakala ya Barabara za Mjini na Vijijini TARURA wapo kweli? Maana Barabara ya Madaraka iliyopo Mtaa wa Madaraka Manispaa ya Tabora imeharibika na inazidi kuharibika kila siku, kuna mashimo lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa. Nimeshuhudia zaidi ya mara...
  13. Stephano Mgendanyi

    Masache Kasaka: Tunataka Tuone Mpango wa Maendeleo ya Taifa Unaboresha Maisha ya Watanzania

    MASACHE KASAKA: TUNATAKA TUONE MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA UNABORESHA MAISHA YA WATANZANIA "Mipango ya Serikali imekuwa ikipangwa kila mwaka, kuna ya miaka 25 na kuna ya miaka 5. Ni Mipango mizuri na utekelezaji wake tumeuona, Watanzania wote ni mashuhuda namna ambavyo miradi mingi ya...
  14. Roving Journalist

     Manispaa ya Ubungo yakiri changamoto ya taka Ubungo Riverside, yawaomba TARURA na TANROAD kuzibua mitaro ya barabara

    Salaam Wakuu, Baada ya Mwanachama wa JamiiForums kudai kuna Utiririsha wa Maji taka kwenye Mitaro ya Ubungo Riverside, Manispaa ya Ubungo imetolea ufafanuzi. Hapa chini ni Ufafanuzi; "Ufafanuzi kuhusu uwepo wa mazingira hatarishi ya magonjwa ya mlipuko kutokana na utiririshaji wa maji ovyo wa...
  15. Lord denning

    DOKEZO Mchengerwa! Usiishie kutoa maelekezo tu kagua barabara zinazojengwa na TARURA hapo Dar ujionee vituko

    Waziri Mchengerwa nimesikia maagizo yako kwa TARURA kuhusu ubora na viwango vya barabara wanazozijenga. Ombi langu usiishie kutoa maagizo ingia site ujionee vituko mwenyewe. Anzia na barabara za hapo Dar. Barabara zinajengwa kwa design za karne ya 18 kwenye karne ya 21. Kuna barabara mpya...
  16. Roving Journalist

    TARURA yakamilisha ujenzi wa daraja la Msadya, mkombozi kwa wananchi wa Mpimbwe

    Mpimbwe, Katavi Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa daraja la Msadya lenye urefu wa mita 60 na upana mita 10.5 pamoja na ujenzi wa barabara unganishi ya Kibaoni-Chamalendi-Mdede kwa gharama ya shilingi bilioni 4.2 katika Halmashauri ya...
  17. Roving Journalist

    Sierra Leone yaipongeza TARURA ujenzi wa madaraja na barabara za mawe

    #Matumizi ya mawe kupunguza gharama zaidi ya 40% #Ushirikishwaji wa vikundi vya kijamii kusaidia kulinda miundombinu Dodoma Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Matengenezo ya Barabara wa Sierra Leone Bw. Mohamed Kallon ameipongeza Serikali ya Tanzania kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini...
  18. Moniel

    Nauliza inawezekana mtumishi wa Halmashauri akahamia TARURA au DART pasipo uhamisho wake kupitia UTUMISHI?

    Habari wakuu Nauliza hivi inawezekana mtumishi wa halmashauri akahamia TARURA au DART pasipo uhamisho wake kupitia UTUMISHI?? Yaani uhamisho ukafanyika kupitia TAMISEMI tu???
  19. M

    TARURA Barabara ya Nguvu Kazi -Yongwe ni mradi?

    Naomba kuwasilisha kero ya barabara hii ambayo kwa zabuni namba AE/092/2022/2023/DSM/W/04 iliyotangazwa Mei 2022 ilitangazwa kufanyiwa maboresho cha kushangaza baada ya maboresho hayo barabara haikudumu hata miezi mitatu ikaharibika tena. Tangu mwaka jana barabara hii haipitiki na tunahisi...
  20. Roving Journalist

     Waziri Aweso: TARURA na MWAUWASA wanafanya mchakato wa kurejesha maji kwa Wakazi wa Shamaliwa - Mwanza

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kusema kuwa Wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wao hawana huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara wameharibu mabomba, ufafanuzi umetolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Waziri Aweso amesema “Ni sahihi kuwa...
Back
Top Bottom