tarura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    TARURA: Barabara ya Goba Wakorea hadi Tegeta itakuwa ya lami, njia za watembea kwa miguu na taa za barabarani

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutaka kujua mrejesho kuhusu Jenzi wa baraba ya Tegeta kwenda Goba Wakorea umefikia wapi, TARURA wasema mchakato unaendelea. TARURA wamesema Barabara hiyo ya Goba Wakorea itakuwa ya kiwango cha lami ambapo ujenzi huo utakuwa na njia za watembea kwa miguu na taa...
  2. Dalton elijah

    Bajeti ya TARURA yafikia Trilioni 1.3 ambayo imeboresha huduma mbalimbali na kufikia makundi yote nchini

    Bajeti ya TARURA yafikia Trilioni 1.3 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali imetoa fedha takribani Sh. Trilioni sita tangu Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aingie madaraka kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo...
  3. Msitari wa pambizo

    KERO TARURA waliahidi kuanza ukarabati wa barabara ya Wakorea Tegeta A lakini mpaka sasa hawajafanya lolote

    Niliwahi kusema hapa kwamba tangu Serikali ijue kwamba watanzania ni wepesi wa kusahau na wala si wafuatuliaji basi wana ahidi na kudanganya watakavyo. Mwezi March TARURA walitoa ahadi kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa Jamii forums kwamba ujenzi wa barabara ya Wakorea ( inayoelekea Tegeta A...
  4. Mkalukungone mwamba

    Hatimaye! Kipande cha barabara kutoka Boko bulumawe hadi boko magengeni cha tengenezwa

    Wakazi wa maeneo ya Bulumawe mtaa wa wa Dovya kata ya Bunju manispaa ya Kinondoni tulikuwa tunapata shida sana hususani kipindi cha mvua kutoka na ubovu wa barabara. Lakini sasa kipande cha barabara kutoka Bulumawe hadi Boko magengeni kimechatengenezwa kwa kiwango cha lami naweza sema lami ya...
  5. K

    TAARIFA KWA TARURA WILAYA YA NYAMAGANA- MWANZA

    Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa ujenzi unaoendelea ya barabara ya lami hapa Mtaa wa Mwananchi Kata ya Mahina. Mkandarasi JASCO anatakiwa kujenga madaraja madogo yanayoingia kwenye makazi ya wenye nyumba kando kando ya barabara hiyo. Baadhi ya madaraja hayo amekwishayakamilisha na...
  6. Bushmamy

    Wananchi waweka nguvu ujenzi wa Barabara za kijiji baada ya mateso ya Muda mrefu

    Kilmanjaro;Baada ya mateso ya Muda mrefu na Bila kusikilizwa kwa kero zao za barabara wananchi wa kata ya Machame Narumu katika Wilaya ya Hai wameamua Kuweka nguvu zao katika ukarabati wa barabara zao za kijiji baada ya uchakavu wa miaka nenda rudi.
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Atupele Mwakibete amesema barabara zote zitafanyiwa kazi na TARURA baada ya mvua kumalizika - Busokelo

    Ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Kijiji kwa kijiji ndani ya Jimbo la Busokelo, Mbunge wa Jimbo, Mhe. Atupele Fredy Mwakibete amefika Kijiji cha Ntapisi Kata ya Lupata na kufanya mkutano wa wananchi eneo la Lembuka. Wananchi wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kumpongeza Mbunge wa...
  8. P

    KERO Shukran DAWASA kurekebisha palipokuwa na shida hadi kutengeneza shimo, TARURA lini mtakuja kuweka lami/zege maeneo ya Mbezi Beach kwa Dr. Hiza?

    Wakuu, Niliweka uzi majuzi wa shimo lililokuwa linazidi kuchimbika kutokana na bomba kuwa na hitilafu na hivyo kutiririsha maji na kufanya ardhi eneo hilo kubonyea kirahisi na kuharibika (zaidi soma hapa: Serikali mnasubiri mpaka sehemu hii ya barabara iwe handaki? Ni kero kubwa kwa wakazi wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Dkt. Florence Samizi Aiomba Serikali Kuongeza Bajeti ya TARURA Jimbo la Muhambwe

    ZIARA YA ya MAKAMU WA RAIS MKOANI KIGOMA - Mkutano wa Hadhara Kata ya Makere, Muhambwe Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mhe. Dkt. Florence Samizi amesema kuwa Jimbo la Muhambwe linaongoza kwa uzalishaji wa Mihogo lakini kwasasa kuna potoki la bei ya Mhogo Mhe. Dkt. Florence Samizi amesema kuwa...
  10. Arch Barrel

    Kunani Tarura kuhusu Malipo ya Makandarasi

    Habari za asubuhi wakuu. Huu ni mwezi 3, Makandarasi wengi hawajalipwa hela zao, kibaya zaidi wamekaa kimya na hawatoi taarifa yoyote kwa makandarasi, mbaya zaidi kesho ndio mwisho wa mwaka baada ya hapo waatafunga mifumo yao ya malipo, lakn bado wanaendelea kuhimiza makandarasi wafanye kazi...
  11. Mad Max

    TARURA, suala la ushuru wa maegesho limekua too much!

    Wakuu pole na kazi. Kuna baadhi ya members wamekua wakilalamika kwamba, wakicheki deni la parking ya gari kwenye website ya TARURA, wanakuta madeni ya sehemu ambayo hawajawahi ata kupeleka gari. Wengi tulidhani wanatania au ni mara moja au mbili tu. Leo kuna mfanyakazi mwenzangu anasema...
  12. A

    KERO TARURA Mbeya hawaoneshi njia mbadala wanapofunga barabara kwa ajili ya ukarabati

    Kuna huu mtindo wa Tarura jiji la Mbeya hasa pale wanapofanya marekebisho ya barabara mbovu zile za ndani, huwa wanaweka kibao cha kuonesha barabara imefungwa (kwa watumiaji wa vyombo vya moto) lakini hawaoneshi njia mbadala ya kupita, sasa je wanaomiliki vyombo vya moto watumie barabara zipi...
  13. M

    KERO Ujenzi wa barabara ya Njombe -Ludewa ukamilike kwa wakati ili kuepusha usumbufu wa muda mrefu

    Serikali imuhimize mkandarasi anayesimamia ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa ikamilike kwa wakati ili kuepusha usumbufu wa muda mrefu kwa wananchi wanaotumia barabara hiyo muhimu kwa maendeleo yao.
  14. A

    KERO Mkandarasi anayechimba mchanga Mto Tegeta anaharibu eneo kubwa la barabara, TARURA wapo kimya tu

    Asante sana JF kwa kutupa Wananchi platform kama hii za kueleza kero, dukuduku na mengine yote ambayo inaweza kuwa ngumu kuyafikisha kwenye mamlaka mbalimbali za binafsi na Serikali hasa kwa sisi Wananchi wa kawaida. Kero yangu ambayo pia naweza kusema ni kero yetu inahusu mamlaka ya Wakala wa...
  15. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Azitaka TANROADS na TARURA Kushirikiana Kufanya Tathimini ya Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kushirikiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI kuunda timu za wataalam zitakazoshirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kufanya tathimini ya mtandao wa barabara pamoja na madaraja yaliyopata...
  16. P

    KERO Nimebambikiwa parking fees na TARURA

    Habari wadau, Kuna wizi mkubwa sana unaendelea TARURA, na uenda mimi sio mhanga pekee, lakini ni vema nifichue hiki kitu kwa faida yangu na wengineo. Mimi ninafanya shuguli zangu nchini lakini pia huwa Nasafiri sana. Sasa tangu mwaka jana 2023 mwezi wa 5, kuna gari langu nililipark kwangu...
  17. BonnyM9

    Civil Technician/Civil Engineer works

    Habari za wakati huu!! Mimi ni muhitimu wa: 1)Ngazi ya DIPLOMA in Civil Engineering mwaka 2018 2)Ngazi ya BACHELOR in Civil Engineering mwaka 2022 ✓chuo cha MUST. ✓ Uzoefu wa miaka 3+ NATAFUTA NAFASI YA KAZI KATIKA KAMPUNI AMA USIMAMIZI WA MIRADI(SITE) KAMA CIVIL ENGINEER/TECHNICIAN...
  18. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa Akagua KM 20 za Barabara wa Miguu, Aagiza TANROADS & TARURA Kushirikiana Kusimamia Ubora

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewaagiza Mameneja wa Mikoa wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kushirikiana na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) katika usimamizi wa Ujenzi na matengenezo ya miundombinu ya barabara ikiwemo kushirikiana katika upimaji wa ubora na viwango vya...
  19. Mshobaa

    KERO Serikali kupitia TARURA msikie kilio cha watu wa Goba mpakani (Tegeta A)

    Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya daladala kukimbia kutoa huduma eneo hilo. Hali ya hii barabara inatisha sana ni ajabu wameshindwa...
  20. Roving Journalist

    Katavi: Ubovu wa barabara katika Manispaa ya Mpanda, TARURA yanyooshewa kidole

    Ubovu wa barabara nyingi katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi umetajwa kuwa kero katika shughuli za kibinadamu hasa katika kipindi hiki cha masika ambapo barabara nyingi zinaendelea kuharibika na zingine kutelekezwa licha ya ahadi kutolewa na Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (TARURA)...
Back
Top Bottom