Ni mwaka mmoja umepita hivi sasa, lakini hali ya barabara ya mtaa wa Chato inaleta utata kati ya wananchi na wakandarasi. Urefu wa barabara hii ni mita 600. Imekuwaje mpaka leo hii barabara haijakamilika? Ujenzi wa barabara hii ulianzishwa kwa nia ya kuweka bomba kuu la maji machafu chini...
Mwezi wa sita sasa mkandarasi anawejenga njia ya maji taka hajafika hata mita mia. Inasemakana analindwa na wakubwa.
Kachimba Mashimo mpaka kuta za fence za wakazi zinaanza kubomoka na hakuna kazi inayoendelea.
Akiulizwa anasema yeye anakula na wakubwa hakuna wa kumgusa.
Nchi hii imerudi...
Baadhi ya Wafanyakazi wa kutoza ushuru wa maegesho ya magari Dar maeneo ya Posta na Kariakoo (zaidi ya 40) wamekamatwa na magari ya Halmashauri na kupelekwa Polisi kufuatia mkataba wa mzabuni kuisha.
Wafanyakazi hao wamehoji, kama issue ni mkataba wa mzabuni kuisha kwanini wanakamatwa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri,
Kwanza kabisa mimi na raia mwema na sina nia ya kukwepa ushuru wa tarura tena ukizangitia fees zao ni ndogo sana kwa sasa (reasonable).
Niendelee, leo nimeangalia ushuru wa maegesho kwenye website ya TARURA nakukuta nadaiwa nilipoangalia maelezo ya Tiketi...
Benki zina wajibu mkubwa sana juu ya kuheshimu misingi ya kazi zao na mikataba na miongozo ya kuanzisha kwake. Ambao hamjashtukia hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu Kupokea meseji za makato mbalimbali kutoka kwenye mabenki kama CRDB, NMB, na etc.
Kwa msiojua kuna namna mamlaka za serikali...
Kuna kipande cha barabara Kibonde Maji, ambacho inasemekana linapita bomba la mafuta la TAZAMA kwenda ZAMBIA. Tulifurahi tulipoona wanaweka kifusi kwa ajili ya kuziba barabara ilivyoharibika.
Mara nyingine huwa nawaza kuwa Tanzania kuna mainjinia waliosoma kweli, hasa baada ya kuona mwisho wa...
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff ameleta faraja kwa wakazi wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora baada ya kutembelea barabara ya Mpandamlowoka-Mwaharaja na Kazaroho-Mpandamlowoka zenye urefu wa Km 90 na kusema hatua za matengenezo...
Wana JF,
Nimekumbwa na tatizo la kumulikwa na watu wa maegesho. Nilienda kulipia nikashangaa deni linaongezeka kucheck majumuisho nikakuta kuna sehemu ambazo nilipita lakini sikusimama wala kiegesha lakini nakuta nadaiwa fedha za maegesho.
Kuna sehemu nyingine natajiwa hata sipajui lakini...
Miradi ya mingi ya TARURA ina matatizo ya usimamizi.
Makandarasi walio chaguliwa kwenye tenda za TARURA wengi ni wababaishaji na hivyo kukosa viwango vya kutekekeza miradi.
Waziri Mkuu Majaliwa kalionyesha hilo wazi baada ya ukaguzi wa barabara huko Ukerewe.
Mkandarasi kapewa siku kumi na...
MENEJA WA TARURA WILAYA YA KILOMBERO AONDOLEWA
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff amemuondoa kwenye majukumu yake aliyekuwa Meneja wa TARURA Wilaya ya Kilombero kwa kushindwa kusimamia kikamilifu miradi ikiwemo ujenzi wa Boksi Kalavati...
85% ya Barabara Kupitika Ifikapo 2025
Na Immaculate Makilika – MAELEZO
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff ameeleza kuwa katika Mpango Mkakati wa Pili utakaoanza mwaka 2021 hadi 2026 taasisi yake itatekeleza shughuli zake kwa kuzingatia...
Leo tarehe 2/10/2022 nimepita maeneo ya Kiluvya Gogoni kuelekea kwa kawawa/pamoja na shule za sekondari hondogo nimekuta mabadiliko makubwa ya miundombinu, barabara imepigwa mkeka safi kabisa.
Pongezi kwa viongozi lakini Pongezi nyingi kwa Rais Mama Samia kwa kuidhinisha mabilioni kwa TARURA...
Suala la Parking fee kwa kweli naanza kuamini kuna upigaji mkubwa!
Kitendo cha kutokuweka karatasi kwenye gari mara baada ya kupiga picha si kitendo cha uu gwana kabisa! tunaibiwa sana sana sana kupitia uhuni huu.
Hebu fikiria mtu anakupiga picha ukiwa kwenye FOLENI! kwenye foleni jamani...
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amesema ujenzi wa barabara na madaraja kwa kutumia teknolojia ya mawe na matofali ya kuchoma unaokoa gharama kwa asilimia 50.
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dodoma, Mhandisi Seff alisema...
Pamoja na Jiji kuwa na makusanyo mengi ya Kodi lakini ni Jiji ambalo liko nyuma kwa upande wa barabara za mitaa!
Mitaa ya zamani kama Mwanjelwa, Nzovwe, Soweto, Uyole barabara hakuna ni mashimo tu.
Mitaa mipya ambayo wakati mwingine imepimwa na viwanja kuuzwa na Jiji hakuna hata barabara nzuri...
Ujenzi wa barabara mpya ya Mpirani Dispensari – Dindimo Primary School (4.30 KM) inayojengwa kwa kiwango cha changarawe katika kata ya Bombo Wilaya ya Same utawapunguzia wananchi kero ya kutembea kwa takribani kilomita 18 wakitumia barabara ya mzunguko ya Maore – Vuje – Bombo.
Akizungumza mbele...
Naomba kuuliza mtu anatakiwa apaki gari kwa dakika ngapi mjini ndio aanze kuchajiwa/kumulikwa? Nilipaki gari ndani ya dakika moja kununua maji ya kunjwa nikachajiwa, naona kama haijakaa vizuri!
Naamini Muheshimiwa Kinana akikumbana na hii hali, atatusaidia kuwajulisha wahusika watoe muongozo
Jana tarehe 14/8/2022 Mhe. Rais amewaonya watendaji wa TARURA kutokutoa zabuni kwa wakandarasi wababaishaji.
Wananchi wa Wialaya ya Ubungo kata ya Kibamba eneo la Kikuvya gogoni/kituo cha polisi, tunaomba viongozi wa TARUARA wachunguze ujenzi wa barabara inayo anzia Kikuvya GOGONI kituo cha...
Wadau, mara kadhaa sasa napata bili ya gari wakati likiwa limepaki kwa ubovu au sababu nyingine.
Ninawasihi angalieni bili zenu.
Maeneo wanayosema gari limepaki hata siyafahamu.
Huu wizi tuukomeshe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.