tarura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HARRISON ONE

    TARURA Dodoma angalieni barabara hizi hazileti picha nzuri kwa nchi

    Awali ya yote, napenda niwapongeza TARURA kwa juhudi zao za kuimarisha barabara za mijini na vijijini, kazi ambayo wanaifanya vizuri pamoja na kuwa na bajeti ndogo. Hivi karibuni nimefanikiwa kutembelea Makao Makuu ya nchi Dodoma na katika mizunguko yangu nimekutana na maeneo yenye hali mbaya...
  2. J

    Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Ma - DED yalivyo mambo ya ajabu

    Spika Ndugai ameshangazwa na serikali kuwalipa mishahara mikubwa wakurugenzi wa mamlaka ya maji na ile ya barabara za vijijini ambayo ni zaidi ya mishahara wanayolipwa Wakurugenzi wa wilaya. Ndugai amesema hayo akimuunga mkono mbunge wa Gairo mh Shabiby aliyedai wakurugenzi wa Tarura na Ruwasa...
  3. D

    TARURA mnaonea kwa vitisho

    Naomba sana Rais wangu Mama Samia kupiga marufuku ya hii kamatakama ya hawa Tarura unapopaki pembeni ya barabara ama kwa dharura umewasha double hazard lakini bado wanakuja kukamata ni kikubwa huwa wanachukuwa rushwa tu. Hawa jamaa wa Tarura hutembea kwenye Noah na wengine bajaji wanatengeneza...
  4. K

    Wabunge pazeni sauti kuhusu fedha kiduchu wanazopewa TARURA

    Kuna Mamlaka mbili zinazosimamia barabara za Mikoa na barabara za Vijijni(Halmashauri). Mamlaka hizi zinagawiwa fedha na Serikali kila mwaka kutekeleza kazi za barabara kwa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara. Nitoe mfano. Awamu ya nne kabla ya kuanzishwa TARURA ujenzi wa barabara...
  5. cliff

    Kodi za mabango ya biashara zikoje?

    Miye ni mjasirialmali mwenye hamu ya kujikwamua kiuchumi. Naomba kujua yafuatayo kuhusu kodi ya mabango ya matangazo ya biashara: 1. Ukiweka bango kwenye Barababa, kwa mfano ya Sirari - Mwanza linatozwa kodi na TARURA au na TANROADS? Nauliza kuhusu hizi taasisi mbili kwa vile inavyoelekea hili...
  6. mgt software

    TARURA, TANROADS na RC Kunenge kataa uharibifu huu, wana Dar es Salaam tuishi kwa uhuru

    Wanna JF, Tanzania inajipambanua kama kisima cha amani ila watu wake hawana amani. Hii imetokea baada ya kushuhudia kipigo cha mtoza ushuru Wa Magari pale Kariakoo mtaa wa Aggrey, walizozana kwamba machinga anaziba njia kuzuia parking za watu, mtoza ushuru analinda kazi yake maana ukipewa mtaa...
  7. N'yadikwa

    TARURA, ni wakati sasa mkajikita kurekebisha kwa kiwango cha lami barabara za mitaani Dar es salaam

    Nawakumbusha tu TARURA wakati serikali mpya ikiingia madarakani ni muhimu sasa barabara za mitaani katika jiji la kibiashara la Dar es salaam zikajengwa kwa kiwango cha lami. kusema kweli ni aibu kwamba barabara nyingi za mitaani hata katika maeneo yaliyopangiliwa kama vile Mbezi Beach...
  8. D

    Mkandarasi anayejenga lami Kigamboni baada ya daraja (Mnadani) hazingatii kanuni za ujenzi; ni kero kubwa kwa wapita njia

    Mkandarasi aliyepewa kumalizia kuweka lami eneo korofi baada ya kuvuka daraja la Kigamboni (Mnadani) amegeuka kero kubwa Sana kutokana na staili yake ya ujenzi usiozingatia kanuni za ujenzi! Kanuni za ujenzi zinamtaka Mkandarasi kutumia Alama na michoro (posters) kutoa maelekezo kwa watumia...
  9. B

    TANROADS Biharamulo, Ngara wanadunda TARURA Arusha kama vile

    Maajabu ya tumbuzi ya Arusha ya meneja TARURA kuwa hajaleta wananchi kushuhudia vishindo vya awamu ya tano tumeyaona. Kuwa TANROADS au TARURA Biharamulo na Ngara wangali wanadunda maofisini hata katika ubovu huu wa barabara uliopo usio mfano? Ama kweli kama hii si moja ya maajabu ya Mussa basi...
  10. Influenza

    Waziri Jafo amuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA jijini Arusha kwa kushindwa kuita Wananchi kushuhudia ufunguzi wa barabara

    Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amemuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA Jijini Arusha, Podia Mwankenja kwa kushindwa kukusanya Wananchi kushuhudia barabara zilizokamilika alizokuwa akizitembelea. Waziri Jafo amesema, “Mnataka Serikali ionekane haijafanya kitu wakati Wananchi ndio...
  11. L

    Kwenu Kikosi cha Usalama Barabarani na TARURA

    Yah! Barabara ya External-Maji Chumvi-Kwa Mkuwa-Korogwe Kichwa cha habari cha husika. Kwa masikitiko makubwa sana, naleta kwenu ombi la kuweka vibao vya spidi ya vyimbo vya moto. Barabara hii imekuwa na Ajali nyingi zinazotokana hasa na spidi, ingawa kutoka Korogwe-kwa Mkuwa- Maji...
  12. Tabutupu

    Building a Great Gravel Road: 10 Basic Principles

    Building a gravel road takes planning, preparation and the use of specialised grading and compacting equipment. Ideally, you want a smooth, uniform surface that can handle heavy loads and heavy weather without breaking up. For highly detailed instructions and insights on how to build a gravel...
Back
Top Bottom