TARURA mko wapi?
Mnatufanyia kazi nzuri sana kwa barabara zetu za mitaa. Changamoto ni pale mnapokuja kudhibiti zile sehemu korofi ambazo mvua zikinyesha zinajaa maji.
Mfano huku kwetu Tanga, maeneo ya kange kwa mmsai mpaka kwenda mbugani ni kero. Mmeziba njia za kwenye kona kwajili ya kuweka...
Asalam!
Nianze kwa kuipongeza Serikali chini ya Rais Mama Samia kwa kuipa Elimu kipaumbele hasa eneo la miundo mbinu. Hili limekuwa likisumbua kila mwaka. Tunashukuru kwa kazi hii njema.
Pili, baada ya miundo mbinu Sasa tumuombe Mama Samia Ajielekeze kwenye Walimu na Vifaa vya ufundishaji...
Manzi wangu aliniomba niende na nyama choma home wakati natoka kumsindikiza mshikaji wangu Airport.
Basi nikapitia pale Mwenge kwa huku nyuma karibu na jengo la zamani la HESLB kuna restaurant wanachoma nyama kizazi sana.
Nikafika pale, nikaenda kuweka order nikawaambia wanifungie.
Wakati...
Waaungwana Kama heading inavyoonesha hapo juu.
TARURA amekuja na namna nyingine ya kukusanya ushuru wa Maegesho ya Magari, Mfumo huu Mpya ni wa kielektroniki na uko based on Control Number.
Nimefanya Research ndogo na kugundua kuwa Huu utaratibu mpya mbao ni Mzuri umegeuka kuwa ainia ya Wizi...
Wadamu mnaomiliki mikoko hii ni muhimu.
Wiki iliyopita nilipita zangu kariakoo nikatafuta maegesho weee nikakosa mitaa yote ya shimoni. kwa bahati nikabahatisha private paking moja hivi nikawasha hazadi nikaegesha nikaingia dukani chini ya dakika tano nikawanimeshalipia ninachotaka nikapata na...
Unaweza kushangaa kwa nini nimepost hapa kwenye jukwaa la siasa.. Lakini huu ni uhujumu uchumi.. Juzi nikiwa Mwenge sokoni mtu wa parking alinielekeza vizuri sehemu ya kupaki gari.
Nikapaki nikafanya ghughuli iliyonipeleka ndani ya dakika ishirini nikawa nimemaliza naondoka.
Jamaa akaja na...
Hivi hili jimbo liko Dar au nje ya Dar?! Make si kwa ubovu wa barabara. Jimbo zima lami ni changamoto. Kuna barabara zimetengwa kwa ajili ya TANROADS na zina connections nzuri sana ila kuzijenga sasa imekuwa changamoto.
Mfano barabara inayotokea mbezi mwisho kuunganisha mpaka bunju kupitia...
Kama nilivyowaomba ushauri kwenye post yangu ya 8/1/2021 nikitakiwa kuchagua kati ya gari tajwa hapo juu na kampuni moja ya ujenzi kama fidia ya deni nililowadai kwa muda mrefu bila malipo.
Nawashukuru sana wana Jf na members wa forum hii kwa ujumla kwa mchango wenu wa ushauri , maoni na mawazo...
Kazi imeiva katika mkoa wa DSM baada ya TARURA kuingia mkataba na wakandarasi wazawa kujenga barabara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa DSM. Billioni 14 tayari zimemwagwa.
Sasa tunataka kazi zionekane, wakandarasi wazawa pigeni kazi muache visingizio, kazi mmepewa hela mmepewa sasa ole wenu...
Hali ya Barbara za Halmashauri za wilaya maeneoya vijijini NCHINI ni mbaya. Kuna uwezekano TARURA haijapewa fedha kuanzia July 2020 Kwa ajili ya bajeti ya 2021/2022. Au serikali inasubiri Nini kutatua changamoto ya Barabara za vijijini? CCM imenyamaza kimya ilihali waliomba kura na kupewa kura...
Taasisi nilizozitaja hapo juu, zimekuwa zikifanya kazi vijiji . Miradi Yao haimaliziki, ikimalizika ni miradi ya ajabu. Unakuta mradu wa REA nguzo zimelazwa chini miaka miwili na haijulikani wanafunga Umeme lini.
Cha ajabu mradi wenyewe wananchi hawajui mradi ni dhamani Gani na ubora wa vifaa...
PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
askofu
askofu gwajima
daraja
gwajima
habari
kwanza
mambo
mamlaka
mbunge
miradi
miti
mlimba
morogoro
msingi
nchi
picha
tanzania
tarura
ujenzi
uvccm
wataalam
SIKU Moja baada ya Mbunge wa Jimbo la Mlimba Mkoani Morogoro, Godwin Kunambi kutembelea Daraja la Mto Mngeta lililogharimu Sh Milioni 30 hatimaye Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Kilombero ametolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo.
Mhandisi Robert Magogo ambaye...
Wasimamizi wa barabara kama ni TARURA au TANROAD tunaomba mzifanyie setting upya taa za barabarani Changombe polisi kwani imekuwa kero kwa watu wanaotoka Serengeti kuelekea Temeke.
Barabara inayotokea maduka mawili inahudumia magari mengi ambayo yanaelekea Temeke au Tandika laakini zinapofika...
Wadau habari za mchana wa leo
Naandika UZI huu kwa masikitiko makubwa sanaaa kwa kile nilichojionea na kukumbana nacho wakati nimepita njia ya Kutoka picha yq Ndege kwenda Boko kupitia kata ya SOFU.
TARURA Kibaha TC tambueni pembezoni mwa barabara hii kuna makazi ya watu, mmeichonga barabara...
Habari wana JF
Naomba kuwauliza, hivi TARURA walitoaga shindano la kutengeneza logo yao, je walishapata mshindi na je imeshaanza kutumika logo mpya kwa anaejua?
Maeneo mengi sana Tarura na manispaa huwa wahangaika kutia na kusambaza vifusi wakati wa mvua jambo linalozalisha tope!
Niwaombe sasa nia ileile ya kufukia mashimo msimu wa mvua, Tumieni wakati huu wa jua kusawazisha na kufukia mashimo korofi italeta maana kuliko kusubiri mvua zianze!
Waziri...
Hawa jamaa wakikukamata kwa kosa la kupaki gari vibaya (wrong parking) ukienda kulipa ofisini kwao (zilipo ofisi za TEMESA/UJENZI), wanaomba rushwa waziwazi bila kificho wala aibu. Dau lao ni 30k (faini ni 50k). Mpokeaji ni mama mmoja anaye-register magari yanayoingia kwao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.