Serikali imesema miradi yote inayotekelezwa na TASAF (Mpango wa kunusuru kaya maskini) huibuliwa na jamii kwa kutumia utaratibu shirikishi unaohusisha na jamii yote na kwamba serikali itaendelea kutoa elimu kwa jamii nzima nchini kuhakikisha inaibua miradi inayotatua changamoto zao katika maeneo...
Halafu kuna wabunge wanang'ang'ana na picha ya Rais kuwekwa kwenye hela , hii nchi kiukweli aliyeipiga jini ana roho ya kikatili sana !
Kailoga bila huruma kabisa !
Imeibainika kuwa baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki na hata majirani wanaowachakulia fedha za mfuko wa TASAF wahusika wa makundi maalumu kama vile watu wenye ulemavu. Vipofu, wazee nk. ambao hawawezi kufuata wenyewe fedha za mfuko huo, wamekuwa wakiibiwa kwa kupewa fedha Pungufu au kutopewa kabisa...
Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
Position: Executive Director (ED)
Appointing Authority: The President of the United Republic of Tanzania
Reporting Relationship: National Steering Committee (NSC)
Duration of Contract: Terms of Contract is two (2) years renewable on the basis of performance.
Duty Station: TASAF Head Office –...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumla ya Bilioni 51 kwa ajili ya kwenda kunufaisha Watanzania waishio katika mazingira magumu kupitia Mpango wa kuokoa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene (wapili kushoto) akielekea kukagua moja ya jengo kati ya majengo matatu ya upasuaji, afya ya uzazi na mahabara yanayojengwa na Tasaf katika Kituo cha Afya Budushi wilayani Kwimba. Picha na Saada...
Baadhi ya wananchi wa Jiji la Arusha wamesikitishwa na upendeleo unaofanywa na TASAF kwa kuwapatia vijana wenye nguvu na wenye kujiweza pesa badala ya wahitaji wa mfuko huo ambao ni wazee wasiojiweza, na kaya maskini.
Akizungumzia suala hilo Mwenyekiti wa Mtaa wa Olkirowa, Kata ya Lemara...
Juzi nilileta malamiko kuhusu tafas kuwakandamiza wananchi embu niambieni ninyi mnaweza kuishi kwa 40000 huu ni utapel unaofanywa
Bado taasisi zingine next week nakuja nazo
Sikilizq mpaka mwisho
Hellow
Tasaf mmekuwa kero sana kwa wananchi hasa vijijini mnaandika majina yenu ndio mnakuwa mnapokea ninyi hii sio sawa hata kidogo jana nimeshuhudia mwananch akirudi analia baada ya kwenda kupokea fedha za TASAF alitakiwa kupokea 30000 lakini kakatwa pesa kabakia 12000 je hii ni sawa...
Baada ya Wadau wa JamiiForums.com kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro na Kilindi Mkoani Tanga kudai kuwa wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) hawajalipwa malipo yao pamoja na wengine kudai wazee wanatumikishwa kufanya kazi, mamlaka ya TASAF imefafanua.
Mkuu wa Kitengo cha Habari na...
Nionavyo Mimi,
Kweli mpango ulikuwa ni mzuri kusaidia kaya masikini.
Lakini kwa Hali inavyoendelea kama kuna pesa zimeliwa nchi hii basi ni hizi za TASAF. Zimeliwa kweli.
Lakini hapa unamsaidiaje mwananchi kwa kumpa elfu hamsini? Hapa ni kutumia umaskini na ukosefu wa elimu ya mtu kama fursa...
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana.
Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo.
Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni...
Ndugu zangu naomba elimu ya malengo ya mfuko wa TASAF, maana hapa kijijini kwetu Nanyamba Mkumbwanana, hii hela hupewa vijana na kuambiwa wafukue barabara. Je, ndio malengo ya TASAF?
Naomba elimu kidogo, na kama sioni maudhui ya mfuko huo, tunaomba tufanyeje ili zitumike kwa malengo kusudiwa.
Wanufaika wa TASAF kutoka katika baadhi ya Kata za Machame Mashariki, pia baadhi ya kata zilizopo katika Wilaya ya Moshi na Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro wamekosa malipo yao tangu kuanza kwa mwaka huu Januari hadi sasa Mei 2023.
Ndani ya hiyo kata hiyo kuna Kijiji kadhaa vikiwemo Narumu...
MHE. KIKWETE AELEKEZA WARATIBU WA TASAF KATIKA HALMASHAURI KUPATIWA ELIMU YA KUWAHUDUMIA WALENGWA KWA UPENDO.
Lengo la kuanzishwa kwa TASAF ni kuwawezesha watu wasiojiweza kabisa kiuchumi kuondokana na hali iyo duni kuwapa ruzuku itakayowasaidia kupiga hatua ya maendeleo kiuchumi, hivyo ni...
KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA YARIDHISHWA NA JITIHADA ZA MLENGWA WA TASAF WILAYANI UYUI NA KUMCHANGIA 530,000/= KUMUWEZESHA KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YA KUISHI.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Florent Kyombo amesema kamati yake imeridhishwa na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kila mlengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini anaishi maisha bora kama ambavyo Serikali imekusudia...
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deo Ndejembi amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali wanufaika wa mradi wa kunusuru kaya maskini (TASAF) kwa kuuongezea muda mradi huo hadi mwaka 2025 ambapo awali ulikua uishie mwaka 2023.
Moja ya manufaa ya mpango huo ni kuendelea...
TASAF imesitisha mnada iliYotangaza awali wa magari 61 aina ya Land Rover uliYokuwa ufanyike jana. Tangazo la TASAF halijaeleza sababu za kuahirisha mnada huo.
=====
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.