IKUNGI-SINGIDA
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kuna taarifa kutoka jimbo la Singida Mashariki mkoani Singida kwamba Mbunge wa jimbo hilo Miraji Mtaturu ameshirikiana na baadhi ya viongozi wa Kata ya Ntuntu katika Wilaya ya Ikungi kukata pesa kwa ajili ya kunusuru kaya maskini almaarufu kama...
AMOS MAKALLA, MKUU WA MKOA WA DAR
Kwanza niseme hali ya mkoa ipo salama, hali nishwari tunaendelea na shughuli zetu. Kwahiyo, hata ile operesheni ya panya buku na panya road imefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Kimya kabisa! Lakini, nikuahidi kuwa ni operesheni endelevu.
…juzi tulipata matukio ya...
Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
Habarini Wadau
Tunasikitika sana Kuleta Tangazo la Kifo cha Ajali ya Gari iliyotokea leo Iguguno shamba high way ya Singida Mwanza.
Mr. Adam Msangi aliekuwa mratibu wa Tasaf Wilaya ya Iramba amefariki kwa ajali hiyo ya gari majira ya alfajili ya kuamka leo.
Inauumiza sana kwani Mratibu huyu...
TASAF Mwanza ni kichaka cha wajanja kupigia pesa
Mkoa wa Mwanza ni miongoni mwa mikoa nchini yenye watu wanaoishi katika mazingira magumu na maisha duni.
Mkoa huu ni kati ya mikoa nchini ambayo imeingizwa katika mpango wa kusaidia kaya zinazoishi maisha duni.
Agosti 2012 Serikali ilizindua...
Kama kichwa cha thread kinavyosema hili shirika la TASAF lilitoa nafasi za kazi katika kada mbalimbali toka mwezi juni tukaja kuitwa kwenye interview kupitia utumishi mwezi November.
Ila toka tulipofanya ile written na oral interview sasa huu unaenda mwezi wa 3 bilabila si utumishi wala tasaf...
Nilifanya oral na written interview ya TASAF, ila mpaka leo imekuwa kimya.
Kwa mwenye taarifa yoyote atujuze kama watu walishaitwa kazini au tuendelee kusubiri.
Adios!
HESLB YATOA SIKU TANO (05) ZAIDI KUOMBA MKOPO
Ni kuanzia Oktoba 1 hadi 5, 2020
Lengo ni kuwapa fursa vijana waliokuwa JKT kuomba
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawajulisha wanafunzi waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) hivi karibuni kuwa mfumo wa kuomba...
Habarini want bodi, ninaomba msaada kwa anayejua kinachoendelea juu ya ajira zilizotangazwa na TASAF ukizingatia leo ni wiki imeshapita toka deadline na walisema baada ya wiki mbili mchezo utakua umeisha sasa naomba tufahamiane mapema pliz Kujua status na mchakato unaendaje
Tanzania Social Action Fund (TASAF) is currently implementing Productive Social Safety Net Program which aims at protecting the vulnerable poor households from severest consequences of poverty by implementing interventions that will lead to increased household incomes and opportunities while...
Imeelezwa kuwa takwimu za hali ya umaskini wa kipato hapa nchini kwa mwaka 2017, zimepungua kwa kiasi kikubwa na kufikia asilimia 26.
Hayo yamebainishwa leo Februari 17, 2020 na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt Albina Chuwa na kusema kuwa jukumu la kuondoa umaskini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.