Ukisoma na kutafakari kwa umakini kuhusu Yesu unagundua kwamba alikuwa ni wale watu ambao jamii inawachukulia kwamba wamepinda yani outcast.
Hata wale wanafunzi wake aliokuwa akiongozana nao jamii inaonekaan ilikuwa inawachukulia kama watu wasiokuwa na maadili waliopotoka yani waliopinda.
Ndio...
Wote tulisikia na tulielewa!! Kuwa mama amewaahidi simba sh 10M kwa kila goli watakalofunga!! Hayo maelezo ya ziada hakuyasema na hatukuyasikia (kuwa simba mpaka ishinde, kama angekuwa amesema hivyo, Msigwa asingekuwa na sababu ya kutoa maelezo na Simba isingetarajia pesa hizo) na yamekuja...
Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu?
Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu?
---
- Rais Samia ateua Katibu...
Huenda kuna maarifa mengine tusiyoyajua ila muonekano wa Podium au jukwaa za kuhutumia viongozi hauko katika muonekano nadhifu zaidi kutokana kuwa kuweka material ya bati, ambazo zimeonekana kuwa na michubuko na mabonde mabonde.
Kwa utajiri wetu wa misitu na aina mbalimbali za miti tungeweza...
Mabingwa watetezi wa EPL, Man City watakuwa nyumbani Etihad kuwakaribisha vinara wa ligi hiyo Arsenal.
Arsenal amemuacha Man City kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi mbili zaidi ya City.
Mara ya mwisho Arsenal kumfunga City katika ligi ni mwaka 2015. Utaona ni namna gani mchezo wa leo ulivyo...
Wasaalam wanajamvi naendelea na namna maskari Eli eli, afande zawadi na mgambo ajulikanae kwa jina Samwel wanavyoharibu sifa nzuri ya jeshi la polisi wilayani Bunda.
Huyu mgambo ambaye vijana wa mjini wanamuita "Mundu" wa afande li eli kapewa mamlaka ya kutembea na pingu ambazo amekuwa...
Wasalaam JF
Niende kwenye mada moja Kwa moja, hivi makatazo ya mikutano na uhuru wa kisiasa ilijikita katika muktadha upi na hi dhana ama kasumba ya viongozi na serikali ya CCM kuogopa kukosolewa, ni nini kama sio umwinyi na ujima wa kizandiki, na kama wanajiita chama Cha mapinduzi hayo...
Januari Yusuph Makamba, Mwanasiasa kijana mwenye ushawishi mkumbwa ndani ya Chama cha Mapinduzi ambaye Mwaka 2015 aliingia 5 bora ya wagombea wa Urais.
Hivi majuzi tumeona kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) akishika nafasi ya 11 kwa kupata kura...
Watu wa aina ya Mdude Nyangali wa CHADEMA wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi.
Siasa za Mdude Nyangali sio za kiuanaharakati, sio za kistaarabu, sio za kushindana kwa hoja. Siasa za huyo jamaa wa CHADEMA ni za kishari, mihemko na kutukana...
Makamu wa Rais Dkt. Phili Mpango amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Camillus Wambura, kuangazia malalamiko yanayotolewa na #Wananchi kwa Jeshi la Polisi na kuwachukulia hatua askari wachache wanaoharibu taswira yake.
Dkt. Mpango amelitaka Jeshi hilo kutenda haki pasipo kuonea mtu yeyote na kwa...
Uteuzi wa wamama hawa wawili unadhihirisha tatizo kubwa la Mamlaka ya Urais wa Kisultani hapa Tanzania. Miaka yote Marais wetu wamekuwa wakigawa nafasi za URC na UDC kwa marafiki , maswahiba na hata wapenzi wao.
Inachukia sana . Tabia hizi zilikuwa bayana wakati wa JK, zikaota mizizi kwa JPM...
Heshima sana wanajamvi,
Uwanja wa ndege wa kimataifa (KIA) Kilimajaro International Airport ni lango la utalii Tanzania.Uwanja huu umekuwa ukipokea wageni wengi wanaokuja kutalii katika Hifadhi zetu zilizojaliwa kila aina ya vivutio.
Bahati mbaya yupo askari mmoja kijana Mwanaume anayevalia...
Jarida maarufu duniani la 'The New Yorker' lililoasisiwa mwaka 1925 nchini Marekani limeongelea ziara ya Rais Samia Central Park, Marekani. Jarida limemtaja Rais Samia kama Rais wa kwanza mwanamke Tanzania ambae alifika nchini Marekani kuupamba Utalii, kuonana na Kamala Harris na kuhudhuria...
Soko la Karume limechomwa lote na hakikusalia kitu hata kimoja na wamachinga wapo hoi bin taaban yaani "they are devastated big time".
Soko la Kariakoo nalo liliunguzwa na sasa lipo kwenye matengenezo.
Yapo masoko mengine ambayo yamechomwa moto yote na kutekeketea kama lile soko maarufu ya...
Na Kelly Ogome
Kwa kipindi cha miaka minne iliyopita, mataifa ya Afrika Mashariki yameshuhudia mabadiliko makubwa katika uchumi na miundombinu. Haya ni kulingana na ripoti ya tathmini ya miradi ya Ukanda Mmoja,Njia Moja(BRI) iliyotolewa na Taasisi ya Sera ya Africa API.
Kenya ni miongoni mwa...
Alisikika Jaji Mkuu kwenye hafla ya kuapishwa Jaji Siyani:
"Hukumu zenu zizingatie mitizamo ya mihimili mingine."
Tulipo sasa tumemalizana na shahidi ambaye ushahidi wake umepokelewa kama ulivyo. Hii ni pamoja na kukutwa akiwa na maandiko ya chabo yaliyo batili kizimbani.
Huyu ni shahidi...
Binafsi upenda kumuangalia sana Kenyatta na kupata wazo kuna aja ya kuwapa uongozi damu ya wapigania uhuru.
Uhuru Kenyatta anatakiwa kuwa kitabu shule na vikaoni tumsome.
Utu
Demokrasia
Haki na usawa
Vitu hivi vitatu kwa Africa ni changamoto isipokua Kenya kwa Kenyatta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.