tbc

To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.

View More On Wikipedia.org
  1. Uchaguzi 2020 CHADEMA, TBC TV wanawaharibia kampeni ya mgombea Urais wenu Tundu Lissu; chukueni hatua sasa na haraka kabla hawajaharibu zaidi!

    å Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC. å Taarifa ya kwanza ilikuwa ni kuripoti matukio ya kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020 ya vyama tofauti tofauti. å Wa kwanza kuripotiwa ni mgombea wa CCM, John Pombe...
  2. M

    Hivi TBC kazi yake ni kumwonyesha Magufuli peke yake?

    TBC inaendeshwa kwa kodi za Watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya Taifa? Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
  3. J

    Uchaguzi 2020 TBC ni waungwana sana leo wameripoti mkutano wa kampeni wa CHADEMA kule Zanzibar

    Pamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo. Leo wameripoti katika taarifa ya habari yaliyojiri katika mkutano wa Chadema pale Unguja. Hongereni TBC...
  4. M

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

    TBC katika taarifa yao kwa maelekezo kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa wametoa maangalizo mengi lakini mimi moja ambalo nimeliona kama mgombea Urais kupitia CCM analikiuka sana. Lile tangazo linasema kuwa kama mgombea atakuwa jukwaani anamwaga sera basi atumie lugha ya Kiswahili tu, kama...
  5. Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

    Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali Prof. Lipumba amesema...
  6. Uchaguzi 2020 TBC ni pasua kichwa na wala hawaaminiki, Wamechakachua matangazo mbashara ya NCCR na CHAUMMA

    Wameona Mbatia anatema cheche wamekata matangazo na kutupeleka kwa rungwe Hivi wataacha lini huu uhuni? Hakuna anaetaka kumsifia jiwe tena nchi hii Update Rungwe kwanza kuongelea juu ya ulafi wa serikali kutoza Jodi maiti wamekata na huko Hawa majamaa hawaaminiki kabisa I
  7. M

    Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV, lakini TBC na Vyombo vingine vinadhulumu historia ya Taifa hili

    Kila siku ipitayo kwa Mungu historia mpya ya nchi hii inaandikwa. Historia hii ina jambo la kijifunza ili kusaidia kujenga taifa kutokana na experience inayopata. Napenda kuchukua nafasi hii kama Mtanzania kuwasifu na kuwashukuru ITV kwa kutuandalia mahojiano muhimu sana na mazuri sana ya Mh...
  8. Mzozo wa CHADEMA na TBC: Nitasema mimi kiazi, wewe muhogo una mzizi'!

    MZOZO WA CHADEMA NA TBC: 'NITASEMA MIMI KIAZI, WEWE MUHOGO UNA MZIZI'! Wiki iliyopita nilihudhuria Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Tundu Lissu katika Viwanja vya Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Kama kawaida yangu, nilitoa nasaha au...
  9. CHADEMA wakaziwa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kanda ya Pwani

    Tuseme ule ukweli tuu, kitendo cha Mbowe kuwafukuza TBC hakikuwa cha ustaarabu hata. Jamaa walikuwa wanafuata taratibu zao tuu kama kawaida, daily wanalia uhuru wa habari afu wao ndo hivi daaah Say something!
  10. C

    Uchaguzi 2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

    Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri. ===== Maalim Seif: Nasema...
  11. C

    Uchaguzi 2020 TBC kama inahisi mikutano ya Wapinzani ina shida bora isiende Live kuliko wanavyofanya

    Leo ACT-Wazalendo wako Lindi wanazindua kampeni, Mic akashika mtu anayeitwa Chaurembo. Japo maneno yalikuwa makali kiasi chake, TBC wakaamua kurudi studio na ku-buy time mpaka mhusika amalize ndio sauti ikarudi ya uwanjani. Inaleta impression mbaya kwa shirika, ama wachague kwenda au kutokwenda...
  12. Nawauliza viongozi wa Dini wanaionaje TBC kama Sauti ya Taifa letu?

    Kwa unyenyekevu mkubwa na hofu ya Mungu naomba niwaulize viongozi wa Dini zote Tanzania je? Wanalionaje Shirika la Utangazaji la Taifa TBC katika utendaji wake?
  13. Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi. ===== LIVE FEED: MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA...
  14. Uchaguzi 2020 Uongozi wa CHADEMA ulikuwa sahihi "kuwatimua" TBC katika uzinduzi wa kampeni zake

    Nianze mada yangu kwa kunukuu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 18(1) nayo inasema hivi "Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila kujali mipaka ya nchi na pia uhuru...
  15. CHADEMA wanapenda sana kuwaonea TBC, wengine wenye makosa sawa sio tu kuwafukuza bali hata kulalama hamjawahi

    Pichani ni marehemu Marine Hassan Marine akisindikizwa na askari kutoka kwenye viwanja vya kampeni Jangwani mwaka 2010 baada ya wapenzi na mashabiki wa CHADEMA wenye jazba kulalama na kumzonga kufuatia matangazo ya moja kwa moja ya TBC kukatika hewani. August 4, 2020 kulikuwa na mkutano mkuu...
  16. Uchaguzi 2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

    Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii. TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma...
  17. Uchaguzi 2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

    Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji. Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia kama aonyeshe je anasikika live? Yule mtu alitoa ishara ya Siri ya kuwa ndiyo. Akaona akiwakaribisha Lissu na Salum...
  18. G

    TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

    Kinachofanyika ni kwamba muongeaji akianzankuigusa Serikali na taasisi zake wao wanazima matangazo na watangazaji kujitia waongeaji na wachambuzi. Hili nililitegemea.
  19. Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    Salaam Mkuu, leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
  20. Msimamo: Napinga TBC kurusha Live Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

    Kwa miaka mingi sana tangu kuondolewa kwa Tido Mhando kwenye uongozi wa TBC , Channel hii imejipambanua bila kificho wala uoga wowote kama channel ya ccm , kwa kuonyesha kila kinachofanywa na ccm hata mambo ya hovyo na yasiyo na tija kwa Taifa hili , imewapuuza wapinzani katika kipindi chote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…