tbs

  1. J

    TBS kuandaa viwango vya Mbege na Ulanzi katika kukuza viwanda vidogo vidogo

    Msemaji wa Shirika la Viwango TBS kanda ya kusini amesema taasisi yake inaandaa viwango vya pombe za kienyeji Mbege na Ulanzi ili zitengenezwe na kusindikwa katika ubora unaostahili. Msemaji huyo amesema viwangi hivyo vitasaidia Mbege na Ulanzi ziweze kushindanishwa na Chibuku na hivyo kusaidia...
  2. Bonde la Baraka

    Hiki ni kipimo kilichothibitishwa na TBS, ukitumia kipimo hiki utajua kuwa mwanamke anakupenda au anakuona ndezi(hakupendi)

    Mpange demu au mchumba wako mukutane mahali fulani, aidha kwake au popote pale. Ukikaribia kufika mahali alipo kwa kuchelewa mpigie simu na kumwambia hivi "Mpenzi wangu daaah hapa nimevurugwa sijui hata la kufanya, nikitoka home nimebeba nauli tu nilijua nitatoa fedha kwenye ATM machine, kumbe...
  3. GENTAMYCINE

    Je, Serikali kupitia Wizara ya Afya na TBS wana taarifa kuhusu tangazo la ‘kitapeli‘ la Dawa ya Kumfanya Mtu aachane na Ulevi?

    Tangazo hilo linachezwa sana Wasafi fm (sijajua kwa Vituo vingine vya habari). Tangazo hilo linalosema kwamba hii dawa ya Hans Maks (naomba radhi kama nimeiandika vibaya) ukimpa tu Mtu Mlevi wa pombe ambaye ameshindakana kwa kila namna hasa ile ya ‘kimaombi‘ basi ukimpa hii Dawa ndani ya dakika...
  4. Sychbh

    Mishahara (Basic Salary) kwa electronics and telecommunication engineering technician, katika mashirika/kampuni hizi(TBC, TTCL, TBS, TANESCO na TPA)

    habari wadau.. Naomba kujua mshahara (basic salary) kwa technician wa electronics and telecommunications engineering katika hayo maeneo: TBS, TBC, TTCL, TPA na sehem nyingine ambazo ana apply. NB: NI technician mwenye diploma, registered as technician II by ERB and soon to become technician I
Back
Top Bottom