Mama samia raisi wetu mpendwa mama yetu msikivu naomba tondole hii kero ya muda mrefu sana wazuie TRA na TPA wasiuze mizigo ya Watanzania bandarini kwakisingizio cha kukosa pesa za kulipia kodi mizigo.
umewatia watu wengi umasikini mtu anaagiza mzigo kutoka nje ya nchi mzigo unafika...
Viongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa
Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea...
Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.
Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
DISCLAIMER: Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu hili suala kwa jinsi nilivyoliona na kulishuhudia. Sina maslahi yoyote na suala hili.
=========
Ni maajabu juu ya maajabu. Nchi ina maajabu sana hii.
Iko hivi:
Hivi karibuni bungeni, Mb. Shabiby na Tabasamu waliibua hoja kwamba serikali imepigwa...
SUMUKUVU, VICHOCHEZI,
MADHARA YAKE NA UDHIBITI
________________________________
______
19 AUG, 2020
USUNGILO HOTEL
(Yusto Wallace)
Utangulizi
Shirika la Viwango Tanzania (TBS)
Ni shirika la umma chini ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, lililoundwa chini ya Sheria ya Viwango, Nambari 3...
JPM tutumbulie hawa watu..wanyonge tunapa tabu sana,kuna vifaa feki vinaingia ,kwa mfano hivi sijui wanaviita burners vya majiko ya gesi madogo ,ni feki sana!wameleta feki vinaharibika mapema na sokoni vimemwagwa vingiii ili tununue in routine basis..huu ni utapeli wa wazi kabsa.TBS mmelala...
Mh, yani process hizi zinavyozidi kuwa nyingi hofu yangu ni kwamba kuna dili zinaweza kuanza.
Ukaguzi huu ataelipia ni mnunuaji hakika ni maumivu ukiachilia mbali kodi zilizoongezeka kuagiza magari.
Sasa kitu nachowazia yale mambo ya kutoa kitu kidogo au za kujuana yakianza tutaumia kweli...
Tangazo la TBS lililotolewa majuzi, ati sasa ukaguzi wa magari used utafanyika hapahapa Bandarini linatia wasiwasi.
Huu utaratibu ulikuwepo zamani na uliondolewa kutokana na urasimu wake na uchelewashaji mkubwa wa kukaguliwa mali ya mteja.
Tukubali tusikubali palipo na urasimu na ucheleweshaji...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu waagizaji na wauzaji wa magari kutoka nje ya nchi kuwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021, utaratibu wa kukagua magarikutoka nje ya nchi utafanyika baada ya kuwasili hapa nchini (Destination Inspection). Hivyo,magari yote yatakayosafirishwa...
Wazalishaji na wasambazaji wa vifungshio wamepewa miezi mitatu kuondoa sokoni bidhaa hizo zisizokidhi vigezo vinginevyo wajiandae kukutana na mkono wa sheria.
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Ummy Mwalimu ametoa agizo hilo leo Januari 8 alipozungumza na waandishi wa...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema vifungashio vinavyotokana na malighafi ya plastiki na ambavyo havina nembo ya Shirika la Viwango (TBS), haviruhuwi kutumika kuanzia leo.
Jana, Kaimu Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini, Nancy Nyenga, aliiambia Nipashe kwamba...
Jf oyee
Kwako Dkt. Ndugulile, vyombo hivyo Hapo juu vimekuwa vikilalamikiwa kwa kutokuwa makini, kweli vyombo hivi vinatumia gharama Kubwa kuwepo huku ufanisi Wa kazi upo chini sana.
Nikianza na TRA, hawa wanaruhusu kuingia kwa vifaa ambavyo havina certificate of compliance. Hi yo kuruhusu...
Wana JF,
Vyombo muhimu vya serikali vyote kwa pamoja vimeshindwa kudhibiti Simu feki hivyo kuongezeka kwa uharifu pamoja nakuikosesha serikali mapato.
Kazi ya kudhibiti bidhaa feki ni ya TBS kazi ya kukagua uingiaji bidhaa halali kutoka viwanda vinavyotambulika na kutoza kodi ni TRA. Tra...
Wana Jf
Serilikali kupitia ajent zake za kitaifa kwa pamoja wanaungana kuikosesha mapata serikali na kuleta mtafaruku mkubwa kati ya mafundi simu na wateja wao.
TBS, TCRA na TRA zilivyoshindwa Nazi zao kila moja nitaelezea makosa yao
TBS wameshindwa kuajiri vijana wenye weledi kutambua vitu...
Wakuu kuna yeyote mwenye update zozote kuhusu intern zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) August 2020 na kusema mwishoni mwa September waliofanikiwa kupata nafasi wataanza.
Kama unafaham lolote tujuzane hapa wakuu.
Wana JF,
Katika serikali makini TBS na TCRA wametuangusha sana kwa kuruhusu wizi wa kichina.
Anavyokuwa: watu ambao hawana fani yeyote ya ufundi, wamevamia mitaa na kulaghai watumiaji wa smart phone kuwa wanatengeneza kioo cha simu kwa kuweka liquid ambayo inakifanya kiwe imara, kwamba...
TBS imetoa tangazo na muda kwa wenye biashara tajwa hapo juu kujiandikisha.
Jambo la kwanza ni kuwa muda waliotoa ni mfupi sana kwa mfano kwa posho mills ambazo zimesambaa mpaka vijijini sidhani kama muda huo utatosha.
La pili, ndani ya website yao hakuna application form kwa ajili ya kuomba...
Tanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania’s sole Standards body, formerly established by the Standards Act No. 3 of 1975, which was repealed and replaced by the Standards Act No. 2 of 2009. It is a Parastatal Organization under the Ministry of Industry and Trade.
TBS introduced internship...
Mh Ummy, nakuhakikishia Mungu yupo hilo lielewe kabisa.. Najua kama binadamu unafanya mambo ili kumfurahisha anayekupa ugali na tabasamu, ila tambua Mungu alisema, AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU na KUMFANYA KUWA KINGA YAKE.
Hivi tujiulize tu, hao watu wanaokufa na kuzikwa usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.