habari wadau..
Naomba kujua mshahara (basic salary) kwa technician wa electronics and telecommunications engineering katika hayo maeneo: TBS, TBC, TTCL, TPA na sehem nyingine ambazo ana apply. NB: NI technician mwenye diploma, registered as technician II by ERB and soon to become technician I