tec

The TEC Awards is an annual program recognizing the achievements of audio professionals. The awards are given to honor technically innovative products as well as companies and individuals who have excelled in sound for television, film, recordings, and concerts. TEC is an acronym for Technical Excellence and Creativity.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Amani na utengamano wa nchi yetu. Ushauri kwa TEC

    Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church.. Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema...
  2. JamiiForums Tanzania Niwaombe TEC , kwakua CCM ni Sikio la Kufa , TEC itoe waraka Rasimi kuwataka Waumini kutoshiriki Uchaguzi au Maandamano ya Amani

    CCM Kwa aina ya Maisha yao ya nyuma na Sasa, Hofu kuhusu nini kitakachotokea mbeleni ndio inayowafanya wawe wagumu wa Mioyo Kuruhusu Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi. Ofcoz Kuna mambo ambayo ni lazima yajulikane ilikuaje kuaje tukafikie hapa , Mauaji ya Mzee Kibao, Tundu LISSU Kupigwa Risasi...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi. Rais wa TEC na Askofu...
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Mhashamu Wolfgang: Ni jukumu letu sisi wananchi kulinda amani ya nchi yetu kwa sababu amani inapatikana kwa shida sana

    "Ni jukumu letu sisi wananchi kulinda amani ya nchi yetu kwa sababu amani inapatikana kwa shida sana na tukiipoteza hatutaipata" Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa.
  5. JamiiForums Tanzania Tec mkiamua mnaweza vzr san kubadili siasa za nch hii

    Kama katoli Ikisimama imara bas serekali hiz dhalimu itachutama na jeuri itakwisha Mnaweza kupeleka waraka kote kanisa I waeleze waahumini wenu kuwa msishiriki ktk chaguzi zenye dhuluma na uonevu nakuakikishieni kwa idadi yenu lzm serekali ije kwa upole San kuzungumza na wapinzani Tec mnaweza...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC yasema Muda unatosha Kufanya Mabadiliko kwenye changamoto zilizojitokeza kwenye chaguzi !!!

    Baraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa. Aidha amesisitiza...
  7. JamiiForums Tanzania Hongereni TEC Kwa Tamko lenu , HAKI HAKI HAKI ndio msingi wa Amani, Mkipuuzwa, Itisheni Maandamano, Mimi ni Msabato, ila Nitawaunga Mkono !

    Ninafuraha sana na Tamko hili la TEC , Moja ya Tatizo kubwa la Kanisan langu SDA, ni UKIMYA . UKIMYA hata kwenye masuala ya HAKI, DHULUMA. TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeandaa popcorn zangu nasubiri Waraka wa Pasaka kutoka TEC. Mungu Ibariki Tanzania

    Duniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki. Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na udhalimu, hawajawahi kuwa sawa na Uzandiki. Baada ya CHADEMA kuanzisha No Reform No Election, sasa ni...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Serikali na TEC chukueni hatua za haraka kuinusuru hospitali Bugando baada ya aliyekuwa mkurugenzi mkuu kutolewa

    Serikali yetu sikivu ikiongozwa na Raisi Samia Suluhu ,Chukueni hatua za haraka mkishirikiana na Baraza la Maaskofu TEC, Wagonjwa tunaoumia , Madactari wameanza kuomba rushwa na kuongea lugha mbaya ya vitisho Mfano siku nimepeleka mama yangu kutibiwa nilikutana na Dactari wa kinamama...
  10. JamiiForums Tanzania Wazee wa Tec: Hizi All in One PC kuna kitu pale au takataka tu?

    Nataka nianze work from home. Sasa naulizia hizi PC naziona online bei Tsh 550-750k All in One, majina makubwa kama Dell, HP, Lenovo. Sasa niko hapa najiuliza, zina faa au danganya toto? Kama aliewahi kutumia matumizi mbalimbali anao mrejesho.
  11. JamiiForums Tanzania "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu" Ina maana gani kwenye hii barua ya TEC?

    Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
  12. JamiiForums Tanzania TEC yatahadharisha matumizi ya Akili Mnemba (AI ) dira 2050

    Kueleka mwaka 2050 serikali ya Tanzania imehimizwa kuweka lengo la kuhakikisha kuwa kunakuwa na muongozo sahihi wa matumizi na ulinzi ya akili mnemba (Artificial Inteligence) ili kuhakikisha kuwa kama taifa linajilinda dhidi ya hatari mbalimbali zinazoweza kuibuka kwenye matumizi makubwa ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoisibu SAUT Mwanza

    To: President, Bishop Wolfgang Pisa, OFM Tanzania Episcopal Conference (TEC) Kurasini Centre P.O Box 2133 Dar es Salaam. 7 January 2025 Mhashamu Baba Askofu Pisa, YAH: MAMBO YANAYOISIBU SAUT MWANZA. Tumsifu Yesu Kristo. Kwanza nikupe hongera kwa kuchaguliwa kwako kuwa Rais wa TEC...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mbona TEC wananivua nguo kila siku. Kwani kuna nini. Zamani walikuwa wakitoa tamko limeshiba kweli kweli.

    Ukizingatia matamko ya siku hizi ni kwamba yako juu juu sana na hayana uchambuzi makini. Ni kana kwamba wanaandika wakiwa wanawahi kuwa wa kwanza wasiwahiwe ni kkkt nk. Au wanaandika wakiwa wanampango wa kumkomoa mtu. Imagine matamko yale ya dp world, hivi kweli walikaa chini wakafikiri na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania TEC, BAKWATA na CCT saidieni kuinusuru Nchi hii.

    Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana ni hatari tupu. Mambo ya ovyo yalifanyika wakati wa uandikishaji, uchukuaji fomu za kugombea, urudishaji fomu, uapishaji mawakala, kabla, wakati na baada ya uchaguzi ni viini macho vitupu. Ndugu zangu viongozi wa Dini, nafikiri sasa ni wakati wa...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anasema serikali inahonga hela nyingi kwa viongozi wa dini

    Friends and Our Enemies, Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo. Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini kauli za kawaida za matajiri bongo huwa zina uzito mkubwa sana?

    Yani bongo Tajiri akiongea mahali au akitoa ushauri wake hata kama maneno yake ni ya kawaida sana tu anaonekana kama mwanafilosofia au mwanauzoni hivi, Mfano mwingine tangu yule tajiri wa timu fulani anayesemekana hajui kuzungumza aje na msemo wa "Yanga bingwa" sasa kila mtu mjini ni Yanga...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  20. JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu TEC linapobariki pesa chafu za CCM

    MOja kwa moja kwenye mada,siku za karibuni kumekuwa na zoezi la serikali kutoa pesa kuchangia makanisa. Makanisa mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume, ambalo makanisa yake yamepokea pesa za serikali ya CCM. Nataka kuchukua mfano Jimbo la Zanzibar hasa ambalo limepokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…