Tec mkiamua mnaweza vzr san kubadili siasa za nch hii

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,753
Reaction score
18,781
Kama katoli Ikisimama imara bas serekali hiz dhalimu itachutama na jeuri itakwisha

Mnaweza kupeleka waraka kote kanisa I waeleze waahumini wenu kuwa msishiriki ktk chaguzi zenye dhuluma na uonevu nakuakikishieni kwa idadi yenu lzm serekali ije kwa upole San kuzungumza na wapinzani

Tec mnaweza mnaweza sna . Ujumbe ufike kila jumui kila kigango na parokia zote

Ingawa huwa mnaangalia aliepo ni ni mtec ila vyovyote hvyo itasadiaaa sana na ccm lzm watawaheshimu tu
 
TEC wanaitishia uhai CCM
 
Back
Top Bottom