technology

  1. The Festival

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukweli mchungu juu ya Nukta 3 za Kiuchambuzi kuhusu Mapinduzi ya Viwanda Tanzania

    UTANGULIZI Kila sifa njema anastahiki Mwenyezi. Ama baada, ningependa kuzibainisha nukta 03 zitakazo chambuliwa katika mnakasha huu. 01) Mapinduzi ya Viwanda kwa ujumla wake. 02) Hali ya Mapinduzi ya Viwanda Nchini Tanzania. 03) Mtazamo Juu ya Nini Kifanyike. 01) MAPINDUZI YA VIWANDA KWA...
  2. dennoo_appliances

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanafunzi aliyesoma bachelor in computer science or information technology, awe anakaa Dar es Salaam

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri.
  3. Allist

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi kuendana na Kasi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology)

    Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi iendane na spidi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology). Blockchain technology ni teknolojia mpya iliyogunduliwa mwaka 2008 na kushika kasi kuanzia 2014, ni mfumo madhubuti ambao ni ngumu Ku hack na kuiba data au pesa. kwa...
  4. noobmaster69

    JamiiForums Tanzania Mobile Technology Drives Africa's Growth

    Mbezi, Dar es salaam ---- The capacities of mobile technology include enhanced communication via SMS messaging, as well as more accessible online education. Internet-based services are growing in popularity in developing nations, resulting in new jobs and revenue for people. Advances in mobile...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi ranked as the city with the largest fintech ecosystem in Africa.....

    Tukiwaambia muache kulinganisha Nairobi na miji uchwara mnaona kama mnatukanwa... Nairobi has been ranked as the only African city in the top 50 category of cities around the globe according to the 2021 Global Fintech Rankings. The city was ranked in position 37 ahead of Lagos which dropped to...
  6. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Fursa zipo nyingi sana, 5 Online Projects

    Habari wana board! Namshukuru Mungu kwa uzima aliotukirimia, sifa, heshima na utukufu ni kwake Yeye Pekee! Miaka 5 iliyopita nilianza kupata hamasa ya kujifunga mambo ya kuunda tovuti, hii ilichochewa na kuwepo kwa fursa nyingi sana ambazo mimi binafsi niliziona kwenye upate wa IT...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan High School Students Invent Telemedicine Technology

    Two students of Kanga High school have invented a mobile phone application that will connect patients and doctors remotely. The Covid-19 pandemic inspired the two, Ian Alindi and Keith Tren to come up with the invention owing to the fact that doctors risk their lives by being in contact with...
  8. Raaj

    JamiiForums Tanzania Nichague ipi kati ya Shahada ya Microbiology au Shahada ya Molecular Biology and technology

    Habari ndugu zangu wana Jf, Naombeni mwenye ufahamu kuhusu kozi ya microbiology na kpzi molecular biology and biotechnology anisaidie kunielezea baada ya kuhitimu wanafanya kazi gani hasa? uwezekano wa kupata kazi au kujiajiri kwa hapa Tanzania upoje
  9. kali linux

    JamiiForums Tanzania BLINDNESS IN TECH : Wadau na Wawekezaji kwenye technology wanakimbilia kuboresha hardware processing power bila kujali "Software efficiency"

    Hello bosses. Kwenye technology yoyote ile kwa sasa kuna watu muhimu sana ambao wengi hawawafahamu bali wanaishia kuona maajabu yao tu, watu hao sio wengine bali ni COMPUTER PROGRAMMERS au SOFTWARE DEVELOPERS. Iwe unaangalia TV, una-surf mtandaoni, unacheza game au unafanya kitu chochote...
  10. mbotoro kivoi

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa watumiaji wa computer au walio somea information and technology ( IT)

    Habari wana jukwa kama nilivo eleza apo juu mim ni mtumiaji wa computer ila sina utundu nayo sana kwa undani baada yakununua yangu nina kama miezii sita ivi natumia sana san kwa matumizi ya mtandaoni pamoja na kujisomea coz napenda kusoma san mtandaoni. 1;je application gani nizamuhimu kuwa...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya to leverage on alternative building technology to bridge housing deficit

    Kenya plans to leverage on alternative building technology in order to bridge the housing deficit, a government official said on Monday. Gordon Kihalangwa, principal secretary, State Department of Public Works told journalists in Nairobi that use of technology such as expanded polystyrene (EPS)...
  12. kali linux

    JamiiForums Tanzania Kwa nini technology inayotumika kutuma signals za Channeli za TV isitumike kusambaza intaneti?

    Hello bosses, Niko hapa na-code huku naangalia Azamtv, kiukweli wana graphics kali sana. Sasa nikawa najiuliza hivi hio speed ya transmission inachezea kwenye mb/s ngapi kwa sababu nikisema niangalie video yenye quality hio kwa kutumia intaneti kwanza inabidi niwe na bando la kutosha na pia...
  13. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Pre crime technology ni nini?

    Habarini wana tech JF, katika pita pita zangu za kuwatch movie na nini, nikakutana na movie(sikuweza kulijua jina lake) inahusisha maswala ya pre crime technology ambayo kwa humo ndani police wanatumia science fulan kuzuia crimes kabla hazijatokea ni kama kuna namna kuna watu wanaprophesy next...
  14. babuumzuri

    JamiiForums Tanzania Natamani kuijua teknolojia ya kurusha makombora

    Habari zenu wadau, Kuna technology mbalimbali hasa technology ya kuunda internet, technology kurusha kombora na rocket kupitia computer pia technology ya kuunda satelite na kuirusha angani. Natamani na mimi kuwa miongoni mwa hao wenye ujuzi wa kuwa na hiyo technology ya kurusha ivo vitu na...
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unique Technology Behind Ksh65B Road Nairobi Expressway

  16. mwaswast

    JamiiForums Tanzania Hidden Ancient Machining Technology

    Je Watu hawa walituzidi in Terms of Teknologia?
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha machinga kimetengenezwa kwa technology ya kisasa kabisa ya smart card na barcode

    Nimemsikia Lissu akisema vitambulisho vya machinga havina hadhi na huwezi kuvitumika popote na havina picha wala sahihi, nipende kumsahihisha kidogo. Vitambulisho vya machinga vimetengenezwa kwa technologia ya smart card na vinatumia visimbusi vya barcode hii ni technology ya kisasa kabisa...
  18. alphonce.NET

    JamiiForums Tanzania Information Technology expert - For Hire

    I'm well experienced, reliable and affordable IT expert, Able to attend calls and work anywhere inside and outside Tanzania. My customers are Organizations, Institutions, Businesses and Private individuals. You can hire me for one time job or long term contract I'm specialized in the...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Matajiri 10 hawa hapa na 80% wamewekeza kwenye technology

    Post iliyo pita nilikuelezea kuwa utajiri mkubwa upo kwa wawekezaji walio wekeza kwenye teknolojia , sikatai kwamba wawekezaji wa kwenye mafuta na Madini na wengine wapo ila tunaona kwenye teknolojia ya mawasiliano wamezidi kuwa juu HII NI ORODHA YA MATAJIRI 10 WAKUBWA DUNIANI karibia asilimia...
  20. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Technology nyuma ya film making

    Jana nilikuwa ninasoma kuhusu franchise ya the matrix, nilistaajabu kwamba filamu ya the matrix revolution ilihusisha wataalaamu wa hesabu, aerodynamics, fluid dynamics, physics, computer engineers, programmers, graphic and animators zaidi ya 200 kuifanikisha. Walienda mbali zaidi mpaka...
Back
Top Bottom