technology

  1. JamiiForums Tanzania Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

    Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
  2. JamiiForums Tanzania 14 Job Vacancies at Mbeya University of Science and Technology (MUST)

    Mbeya University of Science and Technology (MUST) is seeking qualified candidates for various academic positions. Below are the available job postings: Post: Assistant Lecturer – Health Informatics – 1 Post Employer: Mbeya University of Science and Technology (MUST) More Details Application...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Iran contribution to world technology development

    Watu wengi wanauliza mchango wa kobaz wakijumlisha watu wa mashariki ya kati katika mchango wa teknolojia duniani. Nawaletea makala kuhusu mchango wa Iran katika maendeleo ya teknolojia duniani. Baada ya Iran zitafuata nchi zingine za mashariki ya kati. stormryder ward41 Bams dudus and 100...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wajuzi nielimishe: Kuna tofauti gani kati ya Youtube na TikTok katika technology wanazozitumia, nani alimuigilizia mwenzake

    Mfano magari yote yanatumi carnot cycle invention! Mengine yote baada ya carnot cycle invention, I can call it Industrial designs tu ndizo tofauti! Sasa hawa Youtube na Tiktok wanatofaunian namna gani technologywise!
  5. JamiiForums Tanzania Ordinary Diploma in Laboratory Science and Technology

    Habari wakuu naomba msaada mwenye ufahamu na kozi ya laboratory science and technology kwenye upande wa fursa baada ya kuhitimu, pia ningependa kujua changamoto zake baada ya kuhitimu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili?

    Hivi Kuna tofauti kati bachelor of science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa technology

    Habari, Naitaji mtaalamu anayejua kutengeneza website na aka unda mfumo wa hosting reseller..... Nitext WhatsApp 0678650509
  8. JamiiForums Tanzania DIPLOMA IN SEED TECHNOLOGY

    mdogo wangu kachaguliwa SUA diploma in seed technology baada ya kumaliza form four na kupata two akaomba akapata hiyo anaeijua kiundani Kwa WiGo mpana naomba msaada? na Inatofauti ipi na crop science?
  9. JamiiForums Tanzania Hii technology ya Israel ya kulipua kwa Simu na laptop wangekuwa nayo hawa watekaji na Wauaji hali ingekuwa mbaya sana .

    Haya mapinduzi ya kiteknolojia ya Israel ni ya hali ya juu sana na hayapaswi kufurahiwa sana Yasifike tu huku Africa hasa Tanzania katika hali hii ya utekaji ,vingekuwa vinasingiziwa tu vifaa
  10. JamiiForums Tanzania Information Technology [TEHAMA]ni Taaluma Pana

    Kuwepo Kwa jambo kubwa ambalo ni zuri , ambalo unalimiliki wewe unakuwa na furaha sana na ikiwa jambo hilo anamiliki mtu mwingine basi wewe muda mwingine unakuwa na mawazo labda yule mwenye nalo anajiskia furaha sana, ningekuwa Mimi ningekuwa na furaha pia. Lakini kuwa nalo jambo hilo au kuwepo...
  11. JamiiForums Tanzania Kozi ya Educational Technology inahusiana na nini hasa?

    Jamani mi nauliza hivi kozi ya Educational Technology inahusiana na nini hasa? Na mtu akisoma hii kozi anakuwa nani au fursa zake zinapatikanaje?
  12. JamiiForums Tanzania Ideas to establish "Tantech Association: Empowering Youth Innovation Through Technology Partnerships"

    Hello, I am a Form Five student at Tambaza High School, studying the PMCs combination (Physics, Mathematics, and Computer Science). My name is Baraka Range. I would like to share my idea with all stakeholders in the technology industry about establishing something called Tantech Association...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

    Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
  14. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa jukwaa la technology, kuuliza si ujinga

    Habar wana technology, kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu keamba kuuliza si ujinga Naomba kufaham , hivi unaweza uka dowload app ya camera kwenye pc? Kama inawezekana , ipi ni camera kali yenye picha nzur na hd? Laptop ni Dell 13 generation chief mkwawa
  15. JamiiForums Tanzania Naona kabisa wababe wa AI ni FLUX.1, zile nyingine bado wapo njiani

    Ijumaa muswano ndg yangu. Napenda tech inavyokimbia kwa spidi sana na napenda baadhi ya binadamu ambao wapo nyuma kutojua tulipo na tunapoenda, hawa wanajua jana na muda huu alipo basi. Hii chini ndiyo zile fake, zoom mikono uone inafanana na miguu ya nyani au tembo 😂 Twende sote...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Magufuli University of Science & Technology Memorial (MUSTM) Kujengwa Chato?

    1. Jabali la siasa na Sayansi Dr Magufuli (PhD) amelala Chato. 2. Ameacha kumbukumbu ya kurithishwa vizazi na vizazi kupitia elimu ya Sayansi na Teknolojia. 3. Yafaa, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Kujengwa Chato kwa heshima yake. RIP SHUJAA Dr Mheshimiwa JPM
  17. JamiiForums Tanzania Wataalam wa technology msaadaplz juu ya aka kasimu kangu

    Habar za asubuh wana jf...! Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, ndugu yenu natumia simu ya samsung A04 Hivi juzi nili restore sababu simu ilikuwa nzito sana hivyo nikaamua kufuta vitu vyote ili nianze ku install vitu vingine upya Sasa baada ya kumaliza huo mchakato mzima wa ku restore na...
  18. JamiiForums Tanzania Teknolojia iwe nyundo yetu

    Jamii yetu ina changamoto nyingi sana ambazo tunaweza kuzifanyia kazi na kuzipatia ufumbuzi kwa kutumia technology. Tumeshatoka kwenye zama za kutumia nyundo (figuratively) katika kila kitu. Tukianza kuorodhesha changamoto ambazo jamii yetu inazo, nafikiri zitakuwa ni nyingi sana na wala siku...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Comparative analysis of gen z demonstrations

    “Insights from Kenya and Tanzania” Introduction Recently, Comrade Amos Makalla, Secretary of the Central Committee of Ideology, Publicity, and Training of Chama Cha Mapinduzi (CCM), commented on the Generation Z (Gen Z, typically is defined as individuals born from the late 1990s to the early...
  20. JamiiForums Tanzania What's behind China's breakthrough in space science and technology in recent years?

    Ni nini kipo nyuma(siri) ya mafanikio makubwa ya nchi ya china katika sayansi ya anga za mbali na teknolojia? Nimekuwa nikijiuliza swali hili na nimeona vema kushiriki na wanajamvi la jamii intelligence ili kuweza kupata chochote kwani Nina amini uwepo wa watu wenye dondoo kuhusu jamuhuri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…