Habari ndugu zangu wana Jf,
Naombeni mwenye ufahamu kuhusu kozi ya microbiology na kpzi molecular biology and biotechnology anisaidie kunielezea baada ya kuhitimu wanafanya kazi gani hasa? uwezekano wa kupata kazi au kujiajiri kwa hapa Tanzania upoje
Hello bosses.
Kwenye technology yoyote ile kwa sasa kuna watu muhimu sana ambao wengi hawawafahamu bali wanaishia kuona maajabu yao tu, watu hao sio wengine bali ni COMPUTER PROGRAMMERS au SOFTWARE DEVELOPERS. Iwe unaangalia TV, una-surf mtandaoni, unacheza game au unafanya kitu chochote...
Habari wana jukwa kama nilivo eleza apo juu mim ni mtumiaji wa computer ila sina utundu nayo sana kwa undani baada yakununua yangu nina kama miezii sita ivi natumia sana san kwa matumizi ya mtandaoni pamoja na kujisomea coz napenda kusoma san mtandaoni.
1;je application gani nizamuhimu kuwa...
Kenya plans to leverage on alternative building technology in order to bridge the housing deficit, a government official said on Monday.
Gordon Kihalangwa, principal secretary, State Department of Public Works told journalists in Nairobi that use of technology such as expanded polystyrene (EPS)...
Hello bosses,
Niko hapa na-code huku naangalia Azamtv, kiukweli wana graphics kali sana. Sasa nikawa najiuliza hivi hio speed ya transmission inachezea kwenye mb/s ngapi kwa sababu nikisema niangalie video yenye quality hio kwa kutumia intaneti kwanza inabidi niwe na bando la kutosha na pia...
Habarini wana tech JF, katika pita pita zangu za kuwatch movie na nini, nikakutana na movie(sikuweza kulijua jina lake) inahusisha maswala ya pre crime technology ambayo kwa humo ndani police wanatumia science fulan kuzuia crimes kabla hazijatokea ni kama kuna namna kuna watu wanaprophesy next...
Habari zenu wadau,
Kuna technology mbalimbali hasa technology ya kuunda internet, technology kurusha kombora na rocket kupitia computer pia technology ya kuunda satelite na kuirusha angani.
Natamani na mimi kuwa miongoni mwa hao wenye ujuzi wa kuwa na hiyo technology ya kurusha ivo vitu na...
Nimemsikia Lissu akisema vitambulisho vya machinga havina hadhi na huwezi kuvitumika popote na havina picha wala sahihi, nipende kumsahihisha kidogo.
Vitambulisho vya machinga vimetengenezwa kwa technologia ya smart card na vinatumia visimbusi vya barcode hii ni technology ya kisasa kabisa...
I'm well experienced, reliable and affordable IT expert, Able to attend calls and work anywhere inside and outside Tanzania.
My customers are Organizations, Institutions, Businesses and Private individuals.
You can hire me for one time job or long term contract
I'm specialized in the...
Post iliyo pita nilikuelezea kuwa utajiri mkubwa upo kwa wawekezaji walio wekeza kwenye teknolojia , sikatai kwamba wawekezaji wa kwenye mafuta na Madini na wengine wapo ila tunaona kwenye teknolojia ya mawasiliano wamezidi kuwa juu
HII NI ORODHA YA MATAJIRI 10 WAKUBWA DUNIANI
karibia asilimia...
Jana nilikuwa ninasoma kuhusu franchise ya the matrix, nilistaajabu kwamba filamu ya the matrix revolution ilihusisha wataalaamu wa hesabu, aerodynamics, fluid dynamics, physics, computer engineers, programmers, graphic and animators zaidi ya 200 kuifanikisha. Walienda mbali zaidi mpaka...
Head; Technology Infrastructure
Job Purpose
Driving strategy and execution of operations of the bank’s technology infrastructure and ensuring operational availability, performance, scalability, recoverability, security and continuous improvement of these infrastructure.
Main Responsibilities...
GTs na wadau wote wa JamiiForums kwa ujumla, habarini!
Kabla ya yote, niombe ukaribu wenu hapa katika hiki ninachokwenda kukiwasilisha kwenu. Natumai tutakuwa pamoja kuanzia mwanzo hadi mwisho katika uchambuzi wa kina kuhusiana na teknolojia ya stealth ambayo imekuwa ikisifika hasa katika...
Even though our leaders contribute to the cause of our poverty, but the main and real cause is our stupidity all of us, not leaders.
Stop running away from your responsibilities to learn and work hard to save yourself from poverty, is when the whole of Africa will be saved if everyone works and...
As the world has come to be with the impact of Covid-19, cracks and fissures have come to be seen in the established economic, political and social norms that have prevailed for hundreds of years if not thousands.
We are now in the midst of juxtaposition of global dominance by the powers that...
Habari ni za saizi,
Ndugu wa Tanzania kutokana na Janga la corona ningeshauri serikali na NEC wachukue maamuz ya kutumia technologia katika kipindi cha uchaguzi.
Technologia ninazo pendekeza ni kama vile Video conference na matumizi ya radio +TV's kufanyia Kampeni.
Mbili ni app maalum ya...
South Korea has provided a Sh9.6 billion loan for construction of a postgraduate studies university at Konza Technopolis.
The Kenya Advanced Institute of Science and Technology (Kaist Kenya) to sit on 22 acres is modelled on the Korean Advanced Institute of Science and Technology whose emphasis...
Information and Communications Technology Officer
The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent, world class regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and quality of service regulation of the electricity, water, petroleum and Natural gas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.