Jana nilikuwa ninasoma kuhusu franchise ya the matrix, nilistaajabu kwamba filamu ya the matrix revolution ilihusisha wataalaamu wa hesabu, aerodynamics, fluid dynamics, physics, computer engineers, programmers, graphic and animators zaidi ya 200 kuifanikisha. Walienda mbali zaidi mpaka...