Habari walimu!!
Nimetafakari kwa kima kuhusu swala la ajira kwa upande wa sekta ya elimu, nimeona ni changamoto sana serikali kutimiza swala la ajira kwa wahitimu wa sekta ya elimu kutokana na wingi wa walimu waliopo na wanaoendelea kumaliza kila mwaka. Kutokana na utafiti niliyofanya kuhusu...
Mifumo ya TEHAMA Serikalini inalenga kuongeza udhibiti wa makusanyo ya Fedha za Umma, ufanisi wa utoaji huduma za Kijamii, kuongeza Mapato na kuleta tija katika Matumizi ya Fedha ya Umma
Ukaguzi wa CAG ulibaini Mamlaka za Serikali za Mitaa 18 pamoja na baadhi ya Taasisi za Serikali hazina Sera...
Limkutano huko Arusha lilikuwa na mbwembwe kwelikweli aisee yaani nimekaaa hapa natengeneza apps fulani bando limeisha kabisa kushoto kulia hata buku 3 ya kupata gb 2 sina niweze kuchukua baadhi ya vitu online na kucheki tutorials
Ama kweli hili li nchi nuksi sana , walivyokuwa wanajiliza...
Yaani kuna watu kabisa wanalipana posho KWENYE UTOPOLO KAMA HUU, mnavyozungumzia watu kujiajiri na mtu akiwakuta kwenye makongamano kama haya jinsi mnavyojifanya mnaipenda teknolojia na internet huku mkitoa mifano ya nchi nyingine zinavyopiga hatua na kuzalisha ajira sababu ya internet yenye...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema TEHAMA ina nafasi kubwa katika maendeleo na Tanzania haiko nyuma, inajipanga kujenga chuo kikubwa cha TEHAMA
Amesema hivi karibuni, Instagram, Facebook na WhatsApp zilipotea kwa saa saba na mmliki akapata hasara ya Tsh. Trilioni 15 ambapo kuna uwezekano wa...
Kumeibuka tabia ya kila mtu anafunga CCTV camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga CCTV camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za...
22 SEPTEMBA 2021
Na Raya Hamad – Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
Maafisa Tehama na wakuu wa vitengo wametakiwa kuwa wabunifu na kushirikiana katika majukumu yao ya kazi ili kuendana na kasi iliyopo ya ukuwaji wa teknologia ulimwenguni.
Mkurugenzi Mipango, sera na utafiti Ofisi ya...
"Mapinduzi yanaletwa na watu, watu wanaofikiri kama watu wa vitendo na kutenda kama watu wenye fikra” aliwahi kusema Rais wa Ghana Nkwame Nkuruma wakati wa uhai wake.
Maendeleo Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) yamechukua nafasi kubwa katika maisha ya Watanzania. Fikira zetu zote...
Habarini wana Jamii Forum ni matumaini yangu yote ni wazima.
Andiko langu linahusu jinsi TEHAMA inavyoweza kusaidia vijana katika kupanua uwelewa wao na kuweza kutumia ili wajipatie kipato.
Utangulizi:
Idara ya Teknolojgia na Mawasiliano imekuwa sehemu muhimu sana katika karne hii ya kisasa...
Wakuu,
Nimetembelea leo tovuti ya chuo cha Uhasibu TIA kupitia domain yao ya tia.ac.tz hicho nilichokutana nacho nimeshangaa!
Tovuti inaonekana haina SSL Certificate, Sasa ukienda Google chrome wanakupa warning. "Your connection is not private
Attackers might be trying to steal your...
Maana ya baadhi ya maneno
Application
Mfumo ambao hutumika kwa shughuli husika
Android application
Mfumo unaofanyakazi kwenye simu zinazotumia OS ya android
Apple application
Mfumo unaofanyakazi kwenye simu zinazotumia OS ya apple
Apple store
Sehemu ambayo imehifadhiwa mifumo mbalimbali ya...
Hivi karibuni tovuti ya Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC iliandika makala moja ya Propaganda yenye kichwa cha habari “Jinsi mtandao feki unavyoeneza propaganda kuhusu China”. Kimsingi makala hiyo inaonesha maoni ya mwandishi wake kuhusu kutofurahia China inavyoeleza yenyewe hali yake...
Habarini za asubuhi watu wote wa humu ndani.
Mimi ni mdogo wenu nimejitokeza mbele yenu kuomba ajira yoyote itakayoniwezesha kupatapa kipato halali.
Elimu yangu ni degree katika maswala ya TEHAMA. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote ndani na nje ya Tanzania.
Habari wana JF
Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) .
Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
UCSAF YATAKIWA KUDHIBITI MFUMO WA TARATIBU ZA MANUNUZI NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA TEHAMA MASHULENI
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew ameitaka taasisi ya mawasiliano ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuimarisha na kusimamia ipasavyo taratibu za...
ZIARA: Waziri wa TEHAMA na Ubunifu wa Rwanda Mhe. Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL ikiwa ni ziara ya kuimarisha Mahusiano katika sekta ya Mawasiliano na kukuza biashara...
BADO TUNAFANYA MAONESHO KATIKA KUWAJENGEA VIJANA UJUZI WA TEHAMA
Miaka michache nyuma kabla ya kuingia kwenye karne ya 21 kauli mbiu ya Karne ya 21 kuwa ni karne ya sayansi na teknolojia ilitamalaki katika midomo ya watu wengi sana ulimwenguni na sisi kama nchi watawala walihubiri sana juu ya...
Tanzania na Rwanda zamekubaliana kushirikiana katika kukuza Sekta ya mawasiliano hasa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ili kuongeza tija katika mchango wa sekta hiyo katika maendeleo ya wananchi baina ya nchi hizo mbili.
Hayo yamebainika Julai 16, 2021 wakati wa ziara ya Waziri wa Habari na...
Katibu wa Wizara ya TEHAMA, Dk Zainab Chaula, na Waziri wake, Dk Ndungulile wakiteta jambo
Wizara ya Tekinolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imezindua mpango wake wa maendeleo wa miaka mitano (2021-2026), mjini Dodoma leo.
Ni wizara ya kwanza kufanya hivyo ndani ya siku mbili baada ya...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema watafuta tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana vijana katika kujiajiri kwa kuendesha YouTube channels au blogs.
Amesema vijana walikuwa wanapata shida kutokana na kodi na tozo zilizowekwa ktk uendeshaji wa blogs na YouTube...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.