Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto ya control number fedha lazima zitakuwa zinapigwa kwa sababu huduma zinatolewa manually kitu ambacho...
Tasac mfumo wao nao haupatikani hewani itakikanavyo.
Kwa nini mifumo mingi inasumbua sana jamani kwa sasa?!
Mfumo wa mikopo benki mbovu mwezi unaenda wa pili sasa.
Inakwaza sana!
DKT. NDUGULILE ATEMBELEA MAONESHO YA MAKISATU.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametembelea mabanda ya wabunifu mbalimbali kwenye Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini...
Nafasi ya kazi kuuza duka la vifaa vya TEHAMA:
Kituo cha kazi: Arusha mjini
Mwisho wa kupokea maombi: 14 May 2021
Taarifa kuhusu kazi:
Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA (Computer networking accessories).
Kazi za kufanya:
• Kuuza vifaa vya data kwa wateja watakaofika...
DKT. NDUGULILE ATOA MAELEKEZO JUU YA KUBORESHA MIFUMO YA TEHAMA NCHINI
Na Faraja Mpina, WMTH, Dodoma
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametoa maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula kuitisha kikao cha wadau wataalamu wa Mifumo ya TEHAMA...
Kwanza pongezi kwa kuingoza Tanzania kwa busara.
Ombi langu tusaidie wananchi kuhusu Huduma za tehama. Ni aibu kwa taifa hili lenye miaka zaidi ya 50 lakini huduma zetu za Tehema ni very poor, unprofessional.
Ukiboresha huduma za tehama, utasaidia wananchi wengi kupata huduma kwa wakati na...
Hapa kuna mkang'anyiko wa Malengo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Shule za Msingi wanafunzi wanafundishwa somo la TEHAMA. Angalau nadharia wanayotoka nayo huko Msingi ingeliendelezwa pale wanapofika Sekondari lakini ukweli ni kwamba Shule nyingi za Sekondari, hasa za SERIKALI hakuna...
Habari na Heri ya Mwaka Mpya 2021!
Nimeamua kila nipatapo wasaa kujaribu kusaidia kuelimisha na kushirikisha mawazo wadau mbalimbali juu ya Teknolojia na Biashara, hasa Teknolojia ya Habari na Mawasialiano. Mara ya kwanza na ilikuwa ya mwisho kwa mwaka 2020 ilikuwa ni mwezi Septembe. Tafadhali...
Wenye experience na market ya Tanzania naombeni mawazo yenu kuhusu biashara zinazohusisha teknolojia ya tehama IT.
Iwe ni biashara ambayo ni fully IT based au ambayo uendeshaji wake unategemea Tehama kwa asilimia kubwa.
Izi traditional businesses tunazofanya naona kama zimeshajaa yani kila...
Pengine wapo watu hawaelewi maana ya teuzi za mawaziri na namna zinavyoweza kubadilisha mambo.
Ngoja niwaeleze...
Mawaziri ni influencers na watekelezaji wa sera. Sera ndizo zinazoendesha mambo mengi kama sio yote kwenye sekta mbalimbali. Hakuna linaloenda bila ya sera, hivyo sera zikiwa nzuri...
Kutokana na maendeleo ya TEHAMA nchini na azma ya Serikali kuendeleza teknolojia ya TEHAMA nchini kwa kuwatambua wataalamu wa tehama nashauri kama ilivyo kwa wahasibu ianzishwe Bodi inayosimamia maendeleo ya sekta hii.
Rais katika hotuba yake ya ufunguzi wa Bunge la 12 ameonnyesha nia ya...
Mi nafikiri ni kutopenda kusoma na kutozitambua fursa kijamii, zaidi ya hapo ni kutojua hali ya mtaa kiuhalisia.
Je, wewe unasemaje?
Tuwasaidie watakao drop baadae😊
Nimeamua kila nipatapo wasaa kujaribu kusaidia kuelimisha na kushirikisha mawazo wadau mbalimbali juu ya Teknolojia na Biashara, hasa Teknolojia ya Habari na Mawasialiano. So haya na maswali ya Mwezi wa tisa kwenye Ask Me Anything Technology and Business (AMATB). Mambo ya kuzingatia katika...
IMEI NUMBER NI NINI?
IMEI ni kifupi cha " International Mobile Equipment Identity". Hii ni number ambayo inatumiwa kukitambua na kutofautisha
vifaa ambavyo vinatumia cellular network. Cellular network ni network ambayo unatumia kupiga simu au kuunganishwa na internet.
Kwa simu zenye sim card...
Je, una swali kuhusu mambo ya computer? ama Tehama kwa ujumla yani (Information Technology?).
Basi naomba nikukaribishe iwe maswali kuhusu printer, computer gani nzuri?, Naweza kufanyaje kwa ajili ya suala fulani? .
Mambo ya website mambo ya mitandao ya jamii.
Nitafurahi sana kuona maswali yako!.
Meneja wa Tehama pale Clouds Media, Stanley William amechukua fomu za kugombea Udiwani kata ya makongo kupitia chama cha CHADEMA
Naye mtangazaji Tupatupa amechukua fomu za kugombea udiwani kata ya Mbezi juu kwa tiketi ya CCM.
Chanzo: Clouds tv
Maendeleo hayana vyama!
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA) ikitumika vizuri katika sekta ya elimu itasaidia kujenga mazingira mazuri na kuwezesha kuwepo kwa mbinu bora katika ufundishaji na ujifunzaji. Nimetembelea tovuti mbalimbali za elimu hapa TANZANIA, Nimeona mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu hasa...
Habarini za asubuhi wanajamvi wenzangu, imani yangu mko salama na tunaendelea kupambana kila kukicha huku tukiombea JF idumu milele.
Naomba kwenda kwenye mada ama ulizo fupi. Kuna rafiki yangu anataka kutengeneza darasa la online na kuna elimu ambayo atakuwa anaitoa japo kwa sasa bado ni siri...
Katibu mkuu wa wizara ya elimu, sayansi na teknolojia , dk Leonard Akwilapo leo tarehe 27 January 2020, amefungua programu ya mafunzo ya matumizi ya tehama na vifaa saidizi kwa wakufunzi.
Wa vyuo vya ualimu na waalimu wa sekondari wenye mahitaji maalum dar es salaam
Wakufunzi hao wapatao 140...
Salam wana JF.
Leo ningependa tujadili lawama anazopewa CDF General Mabeyo baada ya kuonekana kama ameleeza mengi yaliyo paswa kuwa siri kuhusu ujenzi wa Makao Makuu Ya Jeshi la Wnanchi (JWTZ) kule Dodoma.
Katika kutoa maelezo yake ilionekana kama amefichua sehemu za kimkakati ambazo zitakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.