teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Davidmmarista

    Nani mwenye Teknolojia zaidi? Sisi Waafrika au wenzetu?

    Habari zenu wadau wa JamiiForums! Leo nimekuja na mada 🔥 inayogusa maendeleo yetu kama Waafrika. Tumeona dunia ikibadilika kwa kasi kutokana na teknolojia, lakini swali ni moja: Kati yetu Waafrika na mataifa mengine ni nani mwenye teknolojia zaidi? Tukitazama historia, Afrika ilikuwa na...
  2. Lethergo

    Nitakuwepo ifikapo Mwaka 2100

    Nimeangalia nikahuzuka sana kisha nikapatwa na huzuni, hofu, mashaka na woga kufika Mwaka 2100. Wakuu kwa matazamio yangu ya haraka haraka kila nikilala na nikiamka napata maono ya sauti ya ndani sauti ya ndani ikiniambia mimi ni mmoja kati ya wale watu waliochaguliwa kuufikia Mwaka 2100...
  3. R

    Ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?

    Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea. Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?
  4. Roving Journalist

    Dkt. Mollel: Afrika inahitaji kuibua Wagunduzi wake kupunguza utegemezi wa Teknolojia

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa rai juu umuhimu wa nchi za Afrika kushirikiana na kuibua Wagunduzi wake ili kuzalisha teknolojia yake badala ya kuendelea kuwa tegemezi. Dkt. Mollel ametoa kauli hiyo Machi 06, 2025 wakati akihutubia Mkutano wa 16 wa Mtandao wa Kamati za Bunge za...
  5. chizcom

    Akili za watanzania zipo kubishana na mawazo ya teknolojia ila ndio wao wao wanazitumia

    Kuna siku nipo mtaani nakutana na msemaji wa kijiwe cha kahawa.Maana kwenye vijiwe vya kahawa kuna wasemaji ijalishi akili yako ikoje kikubwa kuwazidi uwezo kuongea. Mada aliyokuja nayo anasema wazungu ni waongo sana wanadanganya kila kitu.Sasa cha kujiuliza hapo hapo kijiwe cha kahawa kuna...
  6. Eli Cohen

    Nilianza kuwa na ukakasi dhidi ya AI pale mmoja wa wahasisi wa AI alivyoacha kazi google na kuonya dunia dhidi ya AI na maendeleo yake

    Geofrey Hinton anajulikana kama "GODFATHER OF AI" anatakumbusha swali la msingi, je tuko tayari kisawa sawa kwa ajili ya AI? Sijui kama Aliacha kazi kama protest au hofu ya ukuu wa AI ambao unakuwa kwa kasi sana ila all in all hata mimi sioni mazuri mbeleni. Mwamba anasema AI inaweza hivi...
  7. JamiiCheck

    Teknolojia ya Akili Mnemba inaweza kutengeneza matukio yasiyo halisi kwa lengo la kupotosha. Thibitisha kabla ya kusambaza

    Maudhui yanayotengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Mnemba yanaweza kutumiwa kupotosha Uhalisia hivyo ni muhimu kujifunza namna ya kutofautisha maudhui yaliyotengenezwa kwa teknolojia hiyo dhidi ya uhalisia ili kuepuka upotoshaji. Majukwaa ya Uhakiki wa Taarifa kama JamiiCheck.com...
  8. Rorscharch

    Hongera kwa Kupasua Robo Karne (2025): Ukitoboa 2050, Haya Ndio Maendeleo Makubwa ya Kisayansi na Teknolojia Unayopaswa Kuyategemea

    Fikiria miaka 25 ijayo: Je, maisha yatakuwaje ifikapo mwaka 2050? Teknolojia inakua kwa kasi kuliko wakati wowote katika historia ya binadamu. Leo, tunaona simu janja, magari yanayojiendesha, na akili bandia (AI) inayoweza kuandika, kuongea na hata kufanya kazi za kibinadamu. Haya ni mwanzo tu...
  9. Cute Wife

    Lissu na Gen Z humuwezi kutumia mbinu za mwaka 47 na kutegemea kufanikiwa wakati huu wa kidigitali, nyumbulikeni!

    Wakuu, Sasa tunashuhudia mwamko mkubwa hasa upande wa vijana kwenye masuala ya siasa na uchaguzi, japokuwa uchawa umetaradadi kwa kiasi kikubwa, kuna mwanga umeanza kuonekana na kuashiria huenda jua likaangaza baada ya kuwa kwenye kiza kwa muda mrefu. Wakati hayo yote yanatokea hatuwezi...
  10. Nikola24

    Natamani shuleni tungekuwa tunafundishwa teknolojia ya nguvu za giza na kiroho

    Habari yenu ndugu na jamaa zangu ! Kwanza ninge elezea kuwa hiki nilicho andika hapa sio hadithi ya kufikirika bali ni mambo halisi yaliyopo mitaani na kwenye yetu. Kwanza nianze na historia Fupi ya maisha yangu shuleni. Nisingependa kutaja jina langu ,ila kwa ufupi nilianza shule ya msingi...
  11. L

    Watoto wa Tanzania wafanyiwa upasuaji wa moyo kwa mafanikio kwa kutumia teknolojia mpya iliyoanzishwa na China

    Machozi ya furaha yalitiririka mashavuni bila kujizuia baada ya Husna Shabaan Kingwande alipofahamu kwamba upasuaji wa moyo wa mtoto wake Ikram mwenye umri wa miaka mitatu ulifanyika kwa mafanikio. Upasuaji huo uliofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyojengwa na Wachina...
  12. Pfizer

    Tanzania imeanzisha Majaribio ya Ujenzi wa Barabara kwa Teknolojia ya Armarseal

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeanzisha miradi ya majaribio (pilot projects) kwa ajili ya matumizi ya teknolojia mpya katika ujenzi wa barabara ikiwemo Armarseal. Teknolojia hii inalenga kuboresha uimara wa barabara na kupunguza gharama za matengenezo ya mara kwa mara. Moja ya...
  13. Waufukweni

    Rais Samia atishwa na kasi ya ongezeko la Idadi ya Watu, lisilioendana na kasi ya ukuaji wa Uchumi wetu

    Rais Samia, ameonya juu ya ongezeko la idadi ya watu lisiloendana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi. Akizungumza leo, Februari 1, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014, toleo la 2023, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Mrisho Kikwete, jijini Dodoma, Rais...
  14. Meneja Wa Makampuni

    China hana ubavu wowote mbele ya Marekani makampuni yote ya simu na computer yapo chini ya Marekani

    Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China. Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu...
  15. X

    Masoko ya hisa ya Marekani yapoteza karibu Dola 1.2 Trilioni kwa ujio wa DeepSeek, Makampuni makubwa ya AI yaanza kuhaha

    NASDAQ na S&P 500 ndio masoko ya hisa pendwa zaidi kwa makampuni ya teknolojia ya Marekani na nje ya Marekani Makampuni kama NVIDIA (Marekani) designer wa AI GPU, TSML (Taiwan) watengenezaji wa chips za 3nm na 5nm kwa ajili ya AI, ASML (Nerthelands) watengenezaji wa EUV lithography machine for...
  16. Dialogist

    Hivi ni kwamba Watanzania hatuko busy sana au inakuwaje?, labda tuseme ni maendeleo ya Teknolojia kuliko nchi zingine

    Wandugu Habarini, Binafsi Kila Nikiamka Asubuhi Baada Ya Kumaliza Ratiba Za Kawaida Hua Naingia Kwenye Mitandao Mitatu Ya Kijamii Kwa Muda Wa Masaa Mawili. Hua Naanzia WhatsApp, Nakuja JamiiForums namalizia na Instagram. Kwa Utaratibu Wangu Huu, Leo Nimeona Nishee Na Hadhara Hapa Juu Ya Hili...
  17. Stephano Mgendanyi

    ERB Ongezeni Ubunifu Kuendana na Sayansi na Teknolojia - Waziri Ulega

    ERB ONGEZENI UBUNIFU KUENDANA NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA - WAZIRI ULEGA. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB), kuongeza ubunifu ili kuendana na kasi mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia. Waziri Ulega amesema hayo wakati akifungua kikao cha Baraza la...
  18. Down To Earth

    Safina ya Nuhu ilibeba viumbe hai zaidi ya Milioni Saba. Hakuna Teknolojia ya namna hii kuja kutokea namna hii

    Miaka zaidi ya elfu 2 imepita sasa toka gharika iukumbe Ulimwengu.. Nuhu alitengeneza Safina, Chombo kilichobeba Viumbe hai, jinsia ke na me zaidi ya milioni saba mpaka sasa hakuna Mwanadamu anayeweza kutengeneza Kifaa kama Safina ya Nuhu.. Hayupo! Hakuna meli, boti wala jahazi lenye uwezo...
  19. Mr_mkisi

    Jinsi ya Kuzuia Usiadiwe Kwenye Makundi ya WhatsApp Bila Ruhusa Yako

    Bila shaka ilisha wahi kukupata hii... Umeamka zako Asubuhi unajikuta umewekwa kwenye group na mtu pengine hata humjui. Mara group la Mchango mtoto kameza shoka hahahah (jokes) Nk. Kuna muda inakera na kuudhi ... Basi kuanzia leo ukisoma makala hii fupi litakuwa limeisha... Mimi Naitwa...
Back
Top Bottom