NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko atazindua Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Geita yaliyoanza Oktoba 2, 2024 kwenye viwanja vya Bombambili mkoani Geita.
Akizungumza katika Banda la Tume ya Madini Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine...
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuanza safari za ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, aina ya Skyleader 600. Mkurugenzi wa AAL, Bw. David Grolig, alisema ndege moja imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kama sehemu...
Kwa kutumia teknolojia aliyojifunza nchini China katika shamba la maskani yake, Augustine Phiri ameweza kuongeza mavuno ya mahindi katika shamba la mfano nchini Malawi, kutoka tani 2.1 kwa ekari moja mwaka 2023 hadi tani 8 kwa ekari moja mwaka huu, ikiwa ni karibu mara nne ya mavuno ya mwaka...
Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake.
Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo.
Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa teknolojia. Ndio, unavaa kabisa kama vile umevaa nguo au saa, lakini teknolojia inafanya kazi zenyewe bila...
Zamani kidogo, ilikuwa lazima uchape CV yako vizuri, ununue bahasha zile safi, na utembee hadi ofisi moja baada ya nyingine ukizigawa. Siku hizi, hiyo ni hadithi ya kale! Teknolojia imegeuza kila kitu kuhusu jinsi tunavyotafuta kazi, na kama hujabadili jinsi unavyosaka fursa, kuna uwezekano...
Israel imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location.
Kikundi cha Hezbollah waliamua kukwepa tundu hili kwa kutumia pagers zinazotumia mawimbi ya redio pamoja na radiocalls kuwasiliana lakini bado Israel iliweza kudukua mawasiliano, kujua...
Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!
Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine...
Wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero, yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Oktoba 2024.
Maonesho haya ya siku tatu yanaungwa mkono na...
Ebu fikiria kidogo, unafungua macho yako na kujikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa, lakini bado uko nyumbani kwako! Hii sio ndoto wala movie za sci-fi; ni hali halisi inayokuja kupitia teknolojia za Augmented Reality (AR) na Virtual Reality (VR).
Kama bado hujaingia kwenye huu ulimwengu...
Unakumbuka zile filamu tulizokuwa tunaangalia ambapo watu wanaishi na robot kama sehemu ya familia zao? Well, polepole hali hiyo inakaribia kuwa ukweli. Teknolojia inakimbia kwa kasi ya ajabu, na hivi sasa tupo katika kipindi ambacho robot haziko tena kwenye maabara pekee, bali zinaingia kwenye...
Serikali itumie teknolojia mpya ambazo zinaweza kusaidia kupunguza ajali za barabarani:
1. Kamera za Ufuatiliaji:
Kamera za kisasa zinaweza kuwekwa kwenye barabara na magari ili kurekodi matukio na kusaidia katika kutambua wahusika wa ajali.
2. Sistimu za Kusaidia Kuendesha (ADAS):
Teknolojia...
Unakuta watu wengi walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi, uchumba na ndoa, mathalani walikutana masomoni, kanisani, safarini, kwenye sherehe, semina, kongamano au hata makazini tena bila hata kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu za mkononi kukutana mwanzoni, ispokua technolojia hiyo imekuja...
Mitandao ya kijamii na mawasiliano ya kidijitali vimebadilisha jinsi watu wanavyohusiana, na hii imeleta changamoto mpya kuhusu uaminifu, muda wa pamoja, na jinsi ya kudumisha ukaribu.
Katika enzi za sasa za teknolojia, mahusiano yamepata fursa mpya za kuimarika kupitia mawasiliano ya haraka na...
Kuna makampuni, na watu Binafsi ni wezi wa kimya kimya, pia ukijaa kwenye mfumo wanakuibia.
Tarehe 16, Nikaenda polisi, kila siku Longo longo. nikawachek hawa makampuni Binfsi wanataka pesa kabla ya kazi.
Pia soma: Ilikuwaje ukaibiwa simu??
Ila nilipowasikiliza Vizuri hawa jamaa, nikaona...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika Dar es Salaam Novemba 19 hadi 21, 2024.
Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika...
Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa
Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka nyumbani kwake na "kikundi kisichotambulika" na pia wafanyakazi wengine wa Benki hiyo wametishiwa kutekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.