teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uhakika Bro

    Teknolojia: Kivuli cha Ushindi au Majuto bila muendelezo nanenane itabakia kuwa ya msimu tu.

    Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.” Lakini dunia ilibadilika haraka. Kamera za kidigitali zilikuja na ufanisi, urahisi, na ubora ambao...
  2. Jumanne Mwita

    Kuna udhaifu mkubwa katika teknolojia inayochukua kumbukumbu za kadi ya mpiga kura

    Ningependa kushare na nyinyi kile ambacho nimebaini, ingawa siyo mhusika wala msimamizi/mwandikishaji. Majuzi, tarehe 5, nilikwenda Katoro kwenye kata yangu na kuamua kubadilisha kadi yangu ya mpiga kura ili kurekebisha taarifa, saini, na picha. Nilipofika kwenye kata moja, nilipanga mstari na...
  3. Massawejr

    Umuhimu wa sayansi na teknolojia katika shule zetu ili kukuza ufaulu

    Umuhimu wa sayansi na teknolojia katika shule zetu nchini Tanzania ni mkubwa sana kwa kukuza ufaulu na maendeleo ya wanafunzi kwa njia zifuatazo: 1. Kuboresha Ufahamu wa Kisayansi: Kujifunza sayansi huwasaidia wanafunzi kuelewa masuala muhimu kama afya, mazingira, na maendeleo ya jamii. Hii...
  4. Mturutumbi255

    Mapinduzi ya 5G Tanzania: Jinsi Teknolojia Hii Inavyobadilisha Mawasiliano, Afya, na Biashara

    5G Technology: Teknolojia ya 5G ni kizazi cha tano cha teknolojia ya mawasiliano ya simu, ikiahidi kuleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya simu na huduma za data. Kabla ya 5G, teknolojia za 3G na 4G zilikuwa zimeleta maendeleo makubwa, lakini 5G inatoa uwezo wa juu zaidi kwa kasi, uwezo...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Barua ya Wazi kwa Jerry Silaa, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Bei za vifurushi vya data zipungue

    𝒀𝒂𝒉: 𝑼𝒍𝒊𝒏𝒈𝒂𝒏𝒊𝒇𝒖 𝒘𝒂 𝑩𝒆𝒊 𝒛𝒂 𝑽𝒊𝒇𝒖𝒓𝒖𝒔𝒉𝒊 𝒗𝒚𝒂 𝑫𝒂𝒕𝒂 𝒏𝒂 𝑴𝒂𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒚𝒂 𝑾𝒂𝒕𝒂𝒏𝒛𝒂𝒏𝒊𝒂 𝗠𝗵𝗲𝘀𝗵𝗶𝗺𝗶𝘄𝗮 𝗝𝗲𝗿𝗿𝘆 𝗦𝗹𝗮𝗮, 𝗪𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝘄𝗮 𝗠𝗮 𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗼 𝗻𝗮 𝗧𝗲𝗸𝗻𝗼𝗹𝗼𝗷𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶, 𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮, 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮. Mheshimiwa Waziri, Kwanza kabisa, napenda kukupa pongezi nyingi kwa kuteuliwa kwako kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  6. A

    KERO TCU angalieni upya utaratibu wa vyuo kuwafanyisha wanafunzi mitihani ya online kwa kutumia Moodle

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya vyuo kufanyisha wanafunzi mitihani kwa mfumo wa online(Google) na mfumo unakuwa na changamoto nyingi kama vile muda unaowekwa unakiwa hautoshi,unakuta maswali 50 ya kuchagua (mcqs) unapewa dakika 25 yaani ujibu swali moja kwa sekunde 30? Halafu pia network...
  7. HONEST HATIBU

    Maendeleo ya Teknolojia mpaka sasa yamekupa faida gani katika maisha yako

    Swali: Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na athari gani chanya katika maisha yako ya kila siku? Je, kuna teknolojia fulani ambayo imekuwa na mabadiliko makubwa kwako binafsi?
  8. B

    Muelekeo wa ajira na maendeleo ya teknolojia kwa miaka 10 ijayo

    MWELEKEO WA AJIRA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA MIAKA 10 IJAYO. Kwa miaka takribani 10 Sasa tangu mnamo mwaka 2014 katika awamu ya mwisho ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete matumizi ya mitandao na TEHAMA kwa ujumla yamekuwa chachu katika kuongeza pato la taifa, naiona Tanzania yenye vijana wenye...
  9. elimsihi

    SoC04 Mabadiliko katika teknolojia ya mawasiliano na uchukuzi

    Ni mwaka 2034. Tanzania imebadilika kabisa, ikiwa na miundombinu ya kisasa ya mawasiliano na uchukuzi inayotumia teknolojia za hali ya juu. Haya yote yalianza na maono thabiti na mipango kabambe iliyowekwa mwaka 2024. Katika kipindi cha miaka kumi ijayo, tunaweza kubadilisha sura ya nchi yetu...
  10. T

    SoC04 Mapinduzi ya Elimu na Teknolojia: Njia Kuu ya Kufikia Tanzania Tunayoitaka

    Elimu na teknolojia ni misingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu katika taifa lolote. Katika muktadha wa Tanzania, uwekezaji katika elimu kwa kutumia teknolojia unaweza kuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Andiko hili linapendekeza mbinu za kibunifu ambazo zinaweza...
  11. Golden Elimeleck

    SoC04 Tanzania mpya: Kutumia teknolojia ya Blockchain kukabiliana na Ufisadi serikalini na TRA

    Katika habari za hivi karibuni, kuna skendo kubwa imetikisa sekta ya fedha ya Tanzania. Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alihusishwa na wizi wa fedha za serikali, kiasi cha zaidi ya TZS 3.8 bilioni (takriban USD 1.6 milioni). Skendo hii imesababisha wasiwasi kuhusu usalama na uadilifu...
  12. B

    SoC04 Utumiaji wa teknolojia ya mfumo wa data wazi(open data) kama chombo muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa na kuimarisha utawala bora nchini Tanzania

    "Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25" Katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora UTANGULIZI Mfumo wa data wazi ni mfumo ambao unaruhusu ufikiaji wa data na taarifa bila vikwazo au vizuizi. Kuna mambo kadhaa yanayowakilisha mfumo wa data wazi kama vile data inapatikana bila malipo au...
  13. Stephano Mgendanyi

    MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

    MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. "Serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha Wanafunzi wasichana wanaokatiza masomo kwasababu ya kupata ujauzito wanarejea Shuleni. Hatua hizo ni pamoja na kutoa...
  14. L

    Licha ya fursa inayotokana na teknolojia ya Akili Bandia watu wengi wanaichukulia kama tishio kwa ajira zao

    Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo inavyoonekana kwamba matumizi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) yanashika kasi sana duniani. Maendeleo haya ya haraka yameanza kubadilisha sekta nzima ya teknolojia na kuonesha uwezo wa kugusa nyanja nyingi za maisha ya kisasa. Kwa sasa inaonekana...
  15. Mastory worldwide

    SoC04 Uwezo wa teknolojia katika kukuza sekta ya kilimo

    Kilimo kimekuwa uti wa mgongo wa taifa la Tanzania kwani kwa asilimia kubwa nchi yetu inategemea kilimo ili kuzalisha malghafi mbalimbali kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa pamoja na kulisha taifa zima. Tangu tupate uhuru kilimo kimekuwa kikichangia katika pato la taifa na ukuaji wa kiuchumi kwa...
  16. nodetz

    Moja ya mambo yanayoifanya Tanzania iwe nyuma kwenye Teknolojia

    Natanguliza shukulani kwa WanaJF maana mmekua mchango mkubwa sana kwa watanzania wengi kupata maarifa ya mambo mbalimbali hasa kuhusu Teknolojia Kama title inavyojieleza hapo juu na haya ni maoni yangu kuhusu nchi yangu pendwa Tanzania inavyo litazama jambo hili na jinsi ambavyo inashindwa...
  17. Ghost MVP

    SoC04 Changamoto ya Maji Itamalizwa Kwa "Desalination", Teknolojia Ya Kisasa Kwa Nchi Kubwa

    TATIZO LA MAJI LITAISHA KWA NAMNA HII Chanzo Cha Picha: Freepik Tatizo la maji katika nchi yetu hii ya Tanzania ni changamoto kubwa inayokabili nchi, Mijini na vijijini. miundombinu ya maji safi na salama isiyo na ubora ni moja ya sababu kuu. Maeneo mengi hayana mabomba ya maji ya kutosha au...
  18. D

    SoC04 Tanzania na Teknolojia ya Blockchain: Njia ya Kukuza Ustawi wa Masoko Ndani ya Miaka 10

    Tanzania na Teknolojia ya Blockchain: Njia ya Kukuza Ustawi wa Masoko Ndani ya Miaka 10 Utangulizi Teknolojia ya blockchain ni mojawapo ya uvumbuzi muhimu unaobadili sekta mbalimbali za uchumi duniani. Tanzania, kama nchi inayotaka kujenga uchumi wa kidijitali na endelevu, inaweza kunufaika...
  19. black_handsome34

    SoC04 Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia

    Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu zenye tija ya maendeleo. Mfano: madini ya tanzanite. TANZANIA TUITAKAYO miaka 5-25 ijayo. Si rahisi...
  20. D

    SoC04 Maboresho katika eneo la Teknolojia kwa ujumla kuanzia sasa mpaka miaka 25 ijayo

    Teknolojia ni matumizi sahihi ya maarifa na zana za kisayansi katika kurahisisha na kuboresha kazi. Haya ni maboresho ya Teknologia Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, katika nchi ya Tanzania ili kufikia maendeleo endelevu na kuimarisha uchumi wa taifa. Teknolojia ina uwezo wa kuleta mapinduzi...
Back
Top Bottom