Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari kuelekea maendeleo ya kiteknolojia, lengo likiwa kutumia nguvu ya uvumbuzi kwa ajili ya ukuaji wa kiuchumi na maendeleo ya kijamii. Hata hivyo, nchi inakabiliana na changamoto kadhaa katika uga wa teknolojia, ikiwa ni pamoja na upatikanaji...
Ili kuendelea na kasi ya kuendana na ukuaji wa teknolojia na mifumo ya mitandao upo umuhimu mkubwa wa Tanzania kuingia kwenye utumiaji wa vifaa vya kisasa vya kuendeshea chaguzi mbalimbali za viongozi wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani.
Hii itasaidia kwenda...
UTANGULIZI
Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazoendelea barani Afrika. Ingawa changamoto zipo, tunaamini kuwa tuna fursa kubwa ya kujenga mustakabali mzuri kwa taifa letu. Chapisho la Gupta, 2020, linatuonyesha kuwa asilimia 80% ya ajira zinatokana na kilimo, huku asilimia 20% zikitokana na...
Kumekuwa na zana teknolojia Ina haribu watu hasa mitandao ya kijamii na maudhui yanayopatikana ndani yake ila teknolojia ni mwokozi wa ongezeko la ajira kama tukizingatia mambo ya fuatayo Kwa umakini.
1. Vyuo ya teknolojia viongezeke.kama tunavyoona veta ni mwokozi pia vyuo vya teknolojia hasa...
Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo wanageuka...
Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu.
Hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo...
Inafika kipindi inabidi tukubaliane na mabadiliko ya dunia hii. Hatuwezi kuishi kwenye dunia kama babu zetu ama nyani wa msituni. Ni lazima tukubaliane na matakwa ya dunia yanavyotutaka kwa sababu ndipo tunapoelekea na kulazimishwa kuishi.
Watawala wa dunia kwanza walitutaka tuwe bize sana...
1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji...
Utangulizi
Katika dunia inayoendelea kwa kasi kubwa ya mabadiliko ya kiteknolojia, nchi yetu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi. Mabadiliko haya, hasa kutokana na kuibuka kwa teknolojia ya kisasa kama vile akili bandia (AI), yanaweza kubadili kabisa mazingira ya ajira...
Matumizi Sahihi ya Ukuaji wa Teknolojia Duniani: Njia ya Kuinua Uchumi wa Mtanzania kwa Miaka 5 hadi 10 Ijayo
Katika ulimwengu wa leo unaobadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya teknolojia, Tanzania ipo katika nafasi ya kipekee ya kutumia ukuaji huu kuboresha uchumi wake. Hapa chini ni...
Tanzania kama tunavyojiita kuwa ni moja ya Nchi zinazoendelea, hatuwezi kukwepa kujiingiza moja kwa moja kwenye MAPINDUZI YA NNE ya viwanda.
Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, ni mapinduzi makubwa ya kiteknolojia ambayo yanaendelea hivi sasa, na yana athari kubwa kwa biashara na jamii kote...
Uwekezaji Katika Teknolojia na TEHAMA: Njia ya Kuijenga Tanzania Bora
Teknolojia na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) zimekuwa nyenzo muhimu katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii duniani kote. Nchi zilizoendelea zimewekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta hizi, na matokeo...
Kama ijulikanayo kuwa jamii isiyo na elimu bado iko gizani, tena giza haswa ikizingatiwa sasa dunia imeshapiga hatua kubwa kwenye matumizi ya teknolojia. Hivyo hata kila Taifa liko haile haile kuendana na kasi hiyo.
Mosi, Tanzania inaweza kuungana na nchi nyingine katika hatua hiyo kwa...
UTANGULIZI
Wizara ya elimu imezindua mtaala mpya wa elimu karibuni wenye maboresho mbalimbali ambayo binafsi naona bado hayakidhi matakwa ya kasi ya sasa ya ulimwengu kisayansi na kiteknolojia. Bado tumelenga kuzalisha kundi kubwa la wasomi wasio na uwezo wa kuendana na maendeleo ya sayansi na...
UTANGULIZI
Kuelekea Tanzania tuitakayo,
Sekta ya Kilimo nchini Tanzania ni fursa kubwa ya kukuza Uchumi wa nchi, kupunguza umasikini kwa kuboresha maisha ya watu. Sekta hii inachangia kwa 23% katika pato la Taifa, na ndiyo sekta iliyoajiri watanzania wengi takribani 65.5% ukilinganisha na sekta...
Utangulizi
VUTV ni mpango unaolenga kubadilisha mbinu nan njia tunazotumia Tanzania kufanya shughuli zetu hasa kwa maeneo ya vijijini ambapo ndipo uzalishaji wa bidhaa kama mazao na malighafi zengine unafanyika kwa kiasi kikubwa. Lakini pia maeneo ya vijijini kwa kiasi kikubwa ndipo...
UTANGULIZI
Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kilimo, ikiwa ni pamoja na uzalishaji mdogo, upotevu mkubwa wa mazao baada ya mavuno, na utegemezi mkubwa wa hali ya hewa. Hata hivyo, matumizi ya Teknolojia za Kilimo yanaweza kubadilisha hali hii na...
Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia.
AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran Raisi.
Ni operesheni ya utafutaji na uokoaji ilitangazwa moja kwa moja 'LIVE COVERAGE' kupitia...
Dunia ya sasa ipo katika MAPINDUZI makubwa sana ya Teknolojia na hii imepelekea karibia KILA kitu SASA kinafanywa KWA Teknolojia kubwa bila kujarisha ni sekta gani.
Nina tarajia na kuzishauri mamlaka zinazohusiana na ELIMU kujikita katika matumizi ya Teknolojia kama njenzo muhimu katika kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.