Matumizi Yangu GB 2 hadi 3 kwa siku, Hapo nipo bize na shughuli zangu sio kusema kwamba ninashinda mitandaoni, mara nyingi net natumia zaidi usiku.
Hivi vitu huwa natumia bila kujibana
whatsapp - kutuma au kudownload video ama picha, video calls, n.k.
Youtube - huwa nastream kwa ubora wa juu...