teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    ATC yahitimisha mafunzo kwa Wakaguzi wa Magari, waonyesha umahiri katika Teknolojia ya ukaguzi magari

    Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kimehitimisha mafunzo ya ukaguzi wa magari kwa askari wa kikosi cha usalama barabarani nchini ambacho kilihusisha wakuu wa kikosi cha usalama barabarani na wakaguzi wa magari (vehicle inspectors) kote nchini ambacho kilianza februari 19 hadi 20 mwaka huu katika chuo...
  2. Mjanja M1

    Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu

    Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu Itazua Balaa! 😂
  3. Kaka yake shetani

    Je, jeshini na vyuoni ndio sehemu kubwa za kuleta teknolojia mpya kwa nchi?

    Jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuchangia katika kuleta na kukuza teknolojia mpya kwa nchi, lakini ni muhimu kutambua kwamba sehemu zingine za jamii na sekta zinaweza pia kuchangia kwa njia kubwa. Hapa kuna jinsi ambavyo jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuwa sehemu muhimu ya kuleta teknolojia mpya...
  4. Stephano Mgendanyi

    TANROADS Kutumia Teknolojia Mbadala Ujenzi wa Barabara Nchini

    TANROADS KUTUMIA TEKNOLOJIA MBADALA UJENZI WA BARABARA NCHINI Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imefanya majaribio ya awali ya matumizi ya teknolojia mbadala katika ujenzi wa Barabara kwa baadhi ya maeneo na inaendelea kutathmini ufanisi wake kwenye mazingira kwa kutumia...
  5. rosewilliam

    Naomba maoni juu ya kilimo biashara na teknolojia katika kilimo

    Habari zenu wakuu. Ningependa nipate maoni/busara yenu katika hili. Mimi natamani sana hapo baadaye niekeze katika kilimo biashara. Najua kila zao lina changamoto zake ila nahitaji kuelewa kutoka kwa wale ambao wana experience katika hili wanisaidie kunijulisha, ni changamoto gani ziko katika...
  6. Pyaar

    Je, teknolojia katika ufugaji wa samaki inaweza kuleta athari?

    Ukuaji wa uchumi wa nchi ni pamoja na matumizi ya teknolojia mbalimbali ili kuongeza uzalishaji na kuinua uchumi wa nchi na maendeleo kwa ujumla. Katika Sekta ya uvuvi, kilimo cha samaki kimekuwa kikihimizwa kila leo kwa lengo la kuongeza uzalishaji ili kuendana na mahitaji ya soko. Kwa...
  7. Candela

    Faida na hasara za Teknolojia

    Nimekaa nikawaza nikaona kuna mambo mengi hayako sawa. 1. Zamani antenna ya analogy ile masikio ilikuwa inajizungusha yenyewe signal zikipotea unabonyeza tu kitufe. Hizi za sasa mpaka uipandilie huko juu uzungushe mwenyewe. 2. Smartphone ukitumiwa meseji saa 4 asubuhi hauko hewani, ukawasha...
  8. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lawa muokozi wa Afrika katika masuala ya sayansi na teknolojia

    Tangu katika kipindi cha katikati ya miaka ya 1990, China imetambulisha tena sera yake ya Afrika, ikiongeza msaada wake wa maendeleo, na kuyataka makampuni ya China kwenda nje na kuzidisha miradi ya miundombinu. Hata hivyo, sera kabambe ya mambo ya nje ya rais Xi Jinping na pendekezo lake muhimu...
  9. Mhaya

    Kusoma mambo mbalimbali na kufatilia vitu vipya ni chanzo kikuu cha Maarifa

    Hapa duniani kuna madudu ya ajabu sana, tena sana, kuna maviumbe ambayo ukiyaona kwa mara ya kwanza utasema labda unaishi kwenye karne ya pili huko. Ili kwanza uyajue hayo yote, ndugu yangu jitahidi sana kutafuta maarifa. Unajua sisi Waafrika tunashindwa sehemu ndogo sana, tunashikilia sana...
  10. Mto Songwe

    China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon

    Source: Bloomberg Subscribe China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon The government is increasingly relying on Huawei — the company Washington tried to destroy — to lead the country’s efforts to build an independent semiconductor ecosystem. By Bloomberg News...
  11. TTCC_TECNO

    Kampuni za simu zinazotarajiwa kutambulisha bidhaa mpya

    Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo la teknolojia, wakiahidi kubadilisha mtazamo wako kidijitali kama kijana.. Miongoni mwa vifaa...
  12. Analogia Malenga

    Matumizi ya teknolojia ya dijitali yabadilisha upepo wa uchaguzi, Privacy International yatoa mapendekezo kwa wachunguzi wa uchaguzi

    Mwaka 2023: Mabadiliko Makubwa katika Mchakato wa Uchaguzi Kupitia Teknolojia ya Dijitali Katika miaka ya hivi karibuni, mchakato wa uchaguzi na shughuli zinazohusiana nao umepitia mabadiliko makubwa, yaliyosukumwa na maendeleo ya teknolojia ya dijitali. Hali hii imeleta mazingira mapya...
  13. TTCC_TECNO

    Simu zenye teknolojia ya dual speakers na dynamic port

    Katika ulimwengu wa leo wa simu smartphone, zimepelekea makampuni kulenga na kuunganisha teknolojia mpya ya muundo wa kisasa uitwao “sleek design”, huduma za juu kama uwezo mkubwa wa memory katika kuhifadhi vitu, sehemu ya “DYNAMIC PORT”, na umbo jembamba linaloonyesha jinsi teknolojia...
  14. sky soldier

    Hard disks ni teknolojia ya zama za kale, zina uwezo mdogo wa kufanya kazi kwenye computer / Laptops, weka SSD kwa bei rahisi speed ya radi

    Teknolojia ya vifaa vya kushikilia data imekuwa kubwa sana ni ajabu naona bado Tanzania tunaendelea kutumia Hard Disks. Hard Disks huwa zinasoma data kwa vifaa kuzunguka ndani yako, Zipo slow sana, hata ukiweka ram kubwa ama uwe na processor nzuri, itakuwa na msaada kidogo, ni sawa na mtu...
  15. Donnie Charlie

    Hii teknolojia ilifaa kuendelezwa

    Uvumbuzi mwingine mzuri kutoka miaka ya 1900 ulikuwa kamera ya bastola. Iliundwa kwa kamera ndogo iliyounganishwa kwenye pipa la bastola ya Colt .38. Wakati trigger ilipovutwa, bunduki na kamera zote ziliwashwa wakati huo huo. Kifaa hicho kiliundwa mnamo 1938 na Shirika la Watchman la New...
  16. TTCC_TECNO

    Simu zinazotumia Teknolojia ya "3D Flaslight Level Camera"

    Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika safari hii kwa kuwawekea kipengele cha kisasa kabisa kwenye camera ya mbele kiitwacho “3D FLASHLIGHT...
  17. A

    Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 19014) wakati teknolojia ikiwa duni

    Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni. TAZARA 1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76). Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7. CnP
  18. Nelson Jacob Kagame

    Mnawachukia wazungu ila mnatumia teknolojia yao na elimu yao na mnapenda maisha yao na mnakimbilia Ulaya na Marekani kwa wingi

    Acheni unafiki baadhi ya binadamu wa bara la Asia ya kati na Afrika na bara arab. Mnajifanya kuwachukia wazungu wa ulaya na marekani ila kila siku mnakimbilia kuomba hifadhi huko. Mnatumia mpaka satelite zao na teknolojia zao na elimu zao na mnapenda tamaduni zao. Acheni unafiki wabantu na...
  19. Uhakika Bro

    Baadhi ya teknoloiia zilizogunduliwa locally na katika jamii za nyumbani

    Jana nimekaa nikatafakari sana; Hivi ni nani anayesemaga kwamba waafrika hawajagundua chochote cha maana? Isije ikawa cha maana anachokiona yeye ni mawasiliano tu, sijui na kupaa au kurusha vitu angani😢 Kimsingi ugunduzi huwa unatakiwa kutatua changamoto ya watu husika kwanza kabla haujafika...
  20. R

    Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari wa Kenya atengeneza Wakili wa kisasa mwenye ujuzi wa Sheria zote za Kenya

    Wakati Naftal Obwoni alipokuwa shuleni, baba yake aliachishwa kazi bila taarifa, jambo lililosababisha kesi iliyochukua muda mrefu dhidi ya mwajiri wake. Obwoni alishuhudia kwa macho yake mapambano ya baba yake kupata haki, na hii ilikuwa kwa sababu baba yake hakuwa na uelewa wa mfumo wa...
Back
Top Bottom