teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mukulu wa Bakulu

    Ni kwa nini teknolojia kama ChatGPT haikuvumbuliwa China?

    Watu wengi husema China iko mbali kiteknolojia na mimi pia niliamini hivyo lakini swali la kujiuliza ni kwa nini teknolojia kama ChatGPT haikuvumbuliwa China na badala yake sasa makampuni ya kiteknolojia ya kichina yanapambana kutoa product kama ChatGPT? Makampuni mengi ya kichina makubwa...
  2. Zaitun kessy

    SoC03 Kutumia teknolojia ya kisasa ni hatua muhimu katika kuleta usalama na kulinda rasilimali za Tanzania

    Usalama ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi yoyote, na Tanzania sio tofauti. Katika juhudi za kuboresha usalama na kulinda raia wake, serikali ya Tanzania inaweza kutumia vifaa vya usalama, teknolojia ya usalama barabarani, na polisi kwa njia yenye ufanisi. Kwanza, Kuanzishwa kwa...
  3. TheForgotten Genious

    Sielewi mpango w serikali katika kuchochea maendeleo ya sayansi, Teknolojia na Uvumbuzi

    Nimesoma, na nimeisikiliza kwa umakini hotuba ya Wizara ya Elimu,Sayansi na teknolojia,sijasikia wala sijaona kipengele kilichozungumzia kinagaubaga maaendeleo ya sayansi na teknolojia nchini,na katika kudadavua mchanganuo wa bajeti waziri ameorodhesha mgawanyo wa bajeti hiyo lakini sijaona...
  4. BARD AI

    Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeomba Bajeti ya Tsh. Bilioni 212.4 kwa mwaka 2023/24

    Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa humu Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, ninaomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  5. Stephano Mgendanyi

    Condester Sichalwe aishauri serikali kuanzisha Wizara Mpya "Wizara ya Teknolojia"

    MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AISHAURI SERIKALI KUANZISHA WIZARA MPYA "WIZARA YA TEKNOLOJIA" Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Technologia ya Habari ameishukuru Serikali kwa kujenga Minara...
  6. R

    Sasa unaweza kuweka video ya mpaka masaa mawili Twitter

    Mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa taarifa kwa watumiaji wa mtandao huo kuwa, watumiaji waliothibitishwa na alama ya Twitter Blue (Twitter Blue Verified subscribers) sasa wanaweza kupakia video za saa 2 (8GB).
  7. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu sana katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya nchi yetu. Hata hivyo, katika enzi hii ya teknolojia ya habari na mawasiliano, changamoto mpya zimeibuka katika suala la utawala bora na uwajibikaji. Kwa hiyo, ni muhimu kuchukua hatua za haraka za...
  8. A

    SoC03 Teknolojia na Uwajibikaji katika Utawala Bora

    Teknolojia na Uwajibikaji katika Utawala Bora Katika karne ya 21, teknolojia imekuwa sehemu muhimu sana ya maisha yetu ya kila siku. Kwa sababu hiyo, teknolojia ina jukumu kubwa katika kuboresha utawala bora na uwajibikaji. Kwa kutumia teknolojia, serikali na taasisi za umma zinaweza kuongeza...
  9. Upepo wa Pesa

    Mbona sijawahi kusikia Rais akizindua teknolojia mpya Tanzania?

    Leo nilikua naangalia Rais wa Uturuki akizindua ndege mpya ya vita yenye teknolojia ya kisasa! Nikajiuliza.. Mbona huku kwetu tunasikia rais anazindua jengo mara kituo cha afya mara mradi wa maji mbona sijawahi sikia rais anazindua teknolojia mpya? Au sisi hatuna watafiti/wanasayansi? Je...
  10. Sumaley

    SoC03 Kuimarisha Sekta ya Teknolojia nchini Tanzania

    I.  Utangulizi Sekta ya teknolojia ina jukumu muhimu katika maendeleo ya Tanzania, ikiwa ni pamoja na kuchochea ukuaji wa uchumi, kuongeza ajira, kuchochea maendeleo na kuboresha huduma za umma. Hata hivyo, kuna changamoto kadhaa ambazo zinakabili sekta hii nchini. Katika andiko hili, nitaelezea...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Malleko awasilisha maombi ya Teknolojia kwenye Kilimo cha Ndizi, Kilimanjaro

    MBUNGE ESTHER MALLEKO AWASILISHA MAOMBI YA TEKNOLOJIA KWENYE KILIMO CHA NDIZI, KILIMANJARO "Tanzania tunazalisha kahawa tani 80,000 kwa sasa, huko nyuma tulikuwa tunazalisha tani 61,000 za kahawa, tumepiga hatua. Lakini pia fedha za kigeni tunazoziingiza kupitia mauzo ya kahawa ni takriban dola...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    SoC03 Mapinduzi ya Teknolojia ya Digitali yanavyoweza kuleta Maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii

    Salama waungwana, Hakuna anayeupenda, kila mtu anauchukia, Kwa kweli sijawahi kuona hata mtu mmoja anayetaka kuwa Maskini. Kila mtu, jamii na taifa hupigana vita ya umaskini Kwa kila namna wawezavyo. Hii ni kusema vita ya umaskini ni vita inayostahili kuitwa vita kuu ya Dunia. Umaskini...
  13. Mabula marko

    SoC03 Teknolojia, Utawala Bora na Uwajibikaji katika kuleta maendeleo kwa jamii na taifa kwa ujumla

    Picha na Nathan Mpangala (MWONGOZO WA UTAWALA BORA) UTANGULIZI Utawala ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi na wananchi kwenye ngazi zote, Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu...
  14. TheForgotten Genious

    SoC03 Namna Teknolojia inavyoweza kuzuia Rushwa na kuongeza weledi kwa Jeshi la Polisi na Uhamiaji

    UTANGULIZI. Jeshi la polisi na uhamiaji ni miongoni mwa vyombo vya dola ambavyo takwimu zinaonesha ndio vinavyoongoza kwa kukiuka maadili ya kazi kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa. Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani na askari wa doria ndio vinavyoongoza kwa vitendo vya rushwa...
  15. sky soldier

    Jinsi binti niliekutana nae kwa miezi mitatu alivyotaka kunibambikizia mimba ya miezi 4, Teknolojia ilimuumbua kwa uhuni wake wa kienyeji.

    Habari zenu wana JF, Nikiwa nimejawa maumivu na majonzi ya kisa hivi naandika kwa lengo la kuelimisha tu lakini kiukweli hata navyoandika sasa sina raha kabisa nikikumbuka usaliti huu. Kipindi hicho kwa muda wa takribani miezi mitatu nilikuwa single, Nikaja kuukwaa kwa binti flani age 26 mimi...
  16. R

    SoC03 Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Kitambulisho cha taifa hutumika kuthibitisha uraia wa mwananchi kwenye taifa husika. Lakini namna ulimwengu unavyoshuhudia ukuaji wa kasi kwenye sekta ya teknolojia ni vizuri kuboresha kitambulisho cha taifa kwa kukiwezesha kubeba taarifa nyinginezo muhimu pamoja na nyaraka za mhusika. Itasaidia...
  17. Roving Journalist

    Taasisi ya MOI yaanzisha Teknolojia mpya mbadala wa dawa za maumivu sugu ya mgongo na kichwa bila upasuaji

    Kwa mara ya kwanza Afrika, teknolojia mpya ya mbadala wa dawa za maumivu, imeanza kutumia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI). Hadi Aprili 28, 2023 jumla ya wagonjwa 18 wamepata huduma hiyo, ili kuepuka maumivu ya mishipa ya fahamu, ambapo huduma hiyo...
  18. DodomaTZ

    Daraja jipya la Kiyegeya limejengwa kwa teknolojia ya kisasa ambayo imetumika kujenga fly over ya Ubungo

    Mhandisi Musa Kaswahili ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Morogoro anasema: "Machi 03, 2020 daraja lililokuwepo katika eneo la Kiyegeya lilibomoka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na kusababisha barabara hii muhimu ya kitaifa na kimataifa (Morogoro - Dodoma) kujifunga. "Serikali...
  19. Roving Journalist

    Morogoro: TANROADS yaelezea jinsi Mizani ya Mikumi inavyoboreshwa ili kutumia Teknolojia mpya kuondoa msongamano

    Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Mussa Kaswahili amesema eneo hilo la Mizani barabara Kuu ya Morogoro kuelekea Iringa, awali lilikuwa na mzani mmoja, lakini Serikali imetenga fedha kwa ajili ya kuboresha na kuongeza mzani husika. Amesema: “Awali...
  20. TheForgotten Genious

    Ipi ni kesho ya Taifa katika ukuaji wa Sayansi na teknolojia?

    Kenya kesho wanazindua na kurusha Satellite yao walioipa jina Taifa-1 na ikumbukwe Kenya wana Laptops na desktops zao zinaitwa taifa. Tanzania haieleweki katika uga wa elimu,katika ukuaji wa sayansi na teknolojia ndio kama mfu,hawana mpango maalumu wakuvumbua vipaji bunifu katika teknolojia...
Back
Top Bottom