teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wachina Wana teknolojia ya upandikizaji mawingu, tuwatumie kuondoa tatizo la maji na ukame nchini

    Ndugu zangu Poleni kwa tatizo la maji na umeme lililopo nchini kwa sasa. Wachina ni marafiki ZETU wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa. Tuwatumie KWENYE hii teknolojia yao ya cloud seeding tuanze KWA mikoa yenye changamoto ya maji kama Dar es salaam baadae ienee Tanzania nzima...
  2. Ni wakati dhahiri wa kutafakari maendeleo ya sayansi na teknolojia katika nchi yetu

    Ndugu wanaJamiiForums ni matumaini yangu mu bukheri wa afya. Siku chache tumepokea na kushuhudia ajali mbaya iliyotokea mjini Bukoba. Suala ni kuwa mpaka sasa tumekuwa katika harakati za kuijenga nchi yetu katika misingi bora ya sayansi na teknolojia ya hali ya juu kwa kuandaa miradi mbalimbali...
  3. Mwanaisha Ulenge: Sheria ya Ulinzi wa taarifa binafsi italeta maadili katika matumizi ya teknolojia ya habari

    Mbunge wa viti maalumu wa CCM, Mwanaisha Ulenge akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi ameweka bayana kuwa sheria hii imekuja kwa wakati sahihi na inakidhi maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa sasa na wakati ujao. Aidha, akifafanua zaidi, Mwanaisha Ulenge...
  4. Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)

    Serikali kutoa Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT). Chuo kikuu cha sokoine kilianzishwa mwaka 1984 hadi leo wasomi wake wanahaha mitaani hawana ajira na wameshindwa kujiajiri, wengine wameamua kutengeneza mapanya ya...
  5. Tuwekeze kwenye Teknolojia kutafuta suluhu ya Maji

    Tengeneza picha umeamka siku moja na kujikuta kati kati ya jangwa saa sita mchana jua lipo utosini, ukizunguka pande zote huoni Mmea wala Mbu zaidi ya miale (mirage) inayotokana na kuakisiwa kwa jua juu ya uso wa Dunia. Hicho ndio kifo, na iwapo ghafla mbele yako itafumuka chemu chemu ya maji...
  6. NECTA, kwanini msitumie teknolojia ya malipo kwa wasimamizi wa mitihani ili kuepusha malalamiko kama mkoani Tabora?

    MKOANI TABORA Wasimamizi wa mitihani ya NECTA ya Darasa la nne,kidato cha pili na cha nne walioitwa kwenye semina maalumu pale AMUCTA tarehe 15 na pale Themi Hill tarehe 17 wamelalamika kutolipwa posho za semina na nauli kwa kisingizio eti muongozo wa malipo haujatoka kutokea NECTA...
  7. L

    Huwezi kuzungumzia maendeleo ya teknolojia duniani bila kuitaja China

    Na Gianna Amani China ni nchi kubwa kiuchumi na yenye idadi ya watu wengi kuliko nchi zote duniani, na ni muumini mkubwa wa teknolojia katika shughuli zake mbalimbali. Miongoni mwa mambo ya kuvutia ni namna jinsi China inavyotumia teknolojia katika shughuli zake za bandari. Bandari ya Qingdao...
  8. Teknolojia imempa Ellon Musk ukuu wa dunia. Atoa amri kwa Ukraine na Taiwan

    Umiliki wa teknolojia za mawasiliano ni jambo muhimu katika kuitawala dunia. Hiyo imeonekana kwa tajiri mkubwa wa dunia Ellon Musk anayemiliki satelite ya Starlink. Wakati vita kati ya Ukraine na Urusi vikianza jeshi la Urusi liliwahi kuibomoa minara ya mawasiliano ya makampuni ya simu ili...
  9. R

    Kwanini hatuna teknolojia?

    Habari wakuu. Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika kisa, hatuna teknolojia. Hao wanaotengeneza hivi vitu hiyo teknolojia waliipata wapi? Kwa maono yangu teknolojia ni...
  10. Watu Wenye Ulemavu Wanastahili Kuwezeshwa Kutumia Fursa za Teknolojia ya Digitali

    Dunia inapitia mapinduzi ya kidigitali yenye uwezo wa kuharakisha utatuzi wa matatizo katika jamii, hivyo kuwezesha watu na jamii kwa ujumla kustawi. Teknolojia na ufikiaji nafuu wa intaneti vinaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kuondoa utofauti mkubwa wa kijamii uliopo. Teknolojia na intaneti...
  11. L

    China yapiga hatua kubwa katika sekta ya sayansi na teknolojia

    Na Caroline Nassoro Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya...
  12. Wataalamu na masuala ya teknolojia naombeni msaada wenu

    Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo la usikivu hafifu ambalo lilinianza nikiwa na miaka 14 au 15 hivi. Nashindwa kumsikia vizuri mtu akiwa mbali, anaeongea kwa sauti ya chini sana, mtu anaeongea haraka, mtu mwenye kigugumizi, mtu akiniongelesha tukiwa kwenye makelele na pia...
  13. Mtendaji mkuu TARURA: Ujenzi teknolojia ya mawe unaokoa gharama

    Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amesema ujenzi wa barabara na madaraja kwa kutumia teknolojia ya mawe na matofali ya kuchoma unaokoa gharama kwa asilimia 50. Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dodoma, Mhandisi Seff alisema...
  14. R

    SoC02 Zimwi la Teknolojia linavyoitafuna Tanzania

    Imeandikwa na Ras Zimba Kwa mujibu wa tovuti ya egscholars.com kupitia andiko lililotolewa tar 16/3/2022 linaonyesha nchi kumi zilizoendelea barani Afrika hasa katika upande wa teknolojia kwa mwaka huu nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Afrika Kusini huku nafasi ya nne ikishikiliwa na Kenya na ya...
  15. SoC02 Sayansi na Teknolojia: Wimbi kubwa la mabadiliko juu ya bahari utulivu za Afrika

    Sayansi na Teknolojia; vitu viwili vinavyoenda pamoja kama keki na aiskrimu au samaki na maji au, nipendavyo binafsi, dansi na muziki. Sayansi na teknolojia zimekuwa baraka kweli kweli katika ulimwengu wetu huu wa kisasa na wakati mwingine unaweza kuwa upanga ukatao kuwili; inaweza kusaidia...
  16. Rais Samia ataka uwekezaji wa sayansi, Teknolojia

    Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Afrika wakiwekeza zaidi katika sayansi na teknolojia kwa vijana, wanaweza kuwa sehemu muhimu ya kustawisha uchumi kama ilivyo China. Ametoa kauli hiyo Dar es Salaam leo, wakati akifungua Mkutano wa Wanawake na Vijana katika Biashara chini ya Mkataba...
  17. E

    SoC02 Sababu zitakazochochea mabadiliko katika nyanja za kielimu, utawala, kilimo,afya, uchumi, sayansi na teknolojia

    Mabadiliko katika nyanja za kielimu, utawala,uchumi, afya,kilimo sayansi na teknolojia yanaweza kuchochewa na sababu zifuatazo. Uzalendo. Uzalendo ni miongoni mwa sababu kubwa sana inayoweza kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali. Mfano, katika nyanja ya elimu kama walimu na baadhi ya...
  18. I

    SoC02 Tuboreshe Upatikanaji wa Vitendeakazi vya Teknolojia na Digitali kuongeza Pato la Taifa

    Suala la ajira kwa vijana ni shida inayotusumbua nchi yetu kwa muda mrefu sasa. Moja ya masuluhisho ambayo yamekuwa yakipendekezwa ni vijana kujiajiri kupitia teknolojia, hasa mifumo ya mawasiliano ya kidigitali, kama mitandao ya kijamii, tovuti, programu, michezo n.k. Tuangalie kijana ambaye...
  19. SoC02 Madalali wa vyumba kusimamiwa na Mwenyekiti wa Mtaa na shughuli zao kufanya kwa teknolojia kuondoa changamoto zinazowakumba wao na wateja wao

    MADALALI WA VYUMBA MAJUKUMU YAO KUSIMAMIWA NA MWENYEKITI WA MTAA ILI KUPATA SULUHISHO LA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA MADALALI PAMOJA NA WATEJA WAO KATIKA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU. Madalali ni watu ambao wanarahisisha shughuli za mahitaji ya watu kwa urahisi kwa kuwa daraja baina ya mwenye...
  20. M

    SoC02 Teknolojia inayoweza kutatua matatizo mbalimbali Tanzania

    1.0 UTANGULIZI Teknolojia ni suluhisho inayotokana na matumizi ya akili ya mwanadamu baada ya kufanya tafiti au hutokea kwa dharura. Teknolojia inalenga kurahisisha au kutatua changamoto fulani iliyopo katika jamii husika. Teknolojia fulani inaweza kuwa katika taifa moja au taifa moja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…