teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    SoC02 Mifumo ya kisera inayoweza kuhakikisha Afrika kupokea mapinduzi ya nne ya viwanda, ili kukuza ushirikishwaji wa vijana katika ajenda ya biashara

    Mapinduzi ya nne ya viwanda, yajulikanayo kama 4IR au 4.0, ni mapinduzi ya kidijitali yenye sifa za muunganisho wa teknolojia kati ya nyanja za kimwili, kidijitali na kibayolojia. Mapinduzi haya ya viwanda ni tofauti na yale matatu ya kwanza kwa sababu yale yalilenga kuongeza na kuendesha...
  2. JS Dairy Farm

    SoC02 Ili tupate tija zaidi kwenye kilimo: Matumizi ya teknolojia hayaepukiki

    Septemba 7,2022 waziri wa kilimo Husein Bashe aliweka ujumbe kwenye ukurasa wake wa mtandao wa twita,ujumbe huo ulikuwa na maneno yafuatayo,ninanukuu:Ukiwa na muda tafadhali nipe mawazo yako kuhusu kilimo na usalama wa chakula kwa nchi za Afrika haswa hapa nyumbani kwetu Tanzania,nini...
  3. WATEULE FAMILY

    SoC02 Faida ya Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania

    UTANGULIZI Sayansi Ni tawi la maarifa linalohusu nadharia, vipimo, uchunguzi wa hatua kwa hatua na uthibitishaji wa kuwepo au kutokuwepo kwa kitu au jambo katika hali halisi. Tunaliona hili katika historia fupi ya sayansi. Sayansi ilianza kama udadisi wa mtu mmoja mmoja lakini kadri maarifa...
  4. kennedy nkya

    SoC02 Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa Tanzania

    Kwa Utangulizi: Sayansi Ni mmarifa au ujuzi unaopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli ambazo zimebainshwa hazijathibitishwa.Sayansi imegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ayo makundi ni kama vile;sayansi ya asili(mfano biologia na zologia), sayansi ya umbile(mfano...
  5. C

    SoC02 Sayansi na Teknolojia katika matokeo hasi katika vyombo vya usafiri na matumizi ya simu kwa vijana wa karne hii pamoja na lugha yetu

    SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA MATOKEO HASI KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI NA MATUMIZI YA SIMU KWA VIJANA WA KARNE HII PAMOJA NA LUGHA YETU. Sayansi na teknojia imekuwa msaada mkubwa katika karne hii ya 21,kumekuwa na mavumbuzi mengi na ya kisasa,Sayansi na teknolojia imezalisha na kuwaibua wataalamu...
  6. Analogia Malenga

    UAE watamba na teknolojia ya kupanda mawingu ili kuongeza kiwango cha mvua kwa mwaka

    Umoja wa Falme wa Kiarabu umezidi kuonesha umwamba katika kukuza teknolojia ya kutengeneza mvua ambapo kwa sasa wanapanda mawingu ili kutengeneza mvua. Wataalamu wa UAE wamesema teknolojia hiyo sio tu ile ya kutuma ndege na kuweka kemikali kwenye mawingu bali ku-modify hali ya hewa kwa ujumla...
  7. K

    SoC02 Elimu + Teknolojia = Uchumi

    Kwanza, salaam kwako msomaji wa andiko hili, lakini pili sifa nyingi na utukufu kwake Allah mwenye enzi hakika ni kwa neema yake pekee mimi na wewe tu wazima wa afya njema. Kwa kuanza niseme kidogo ni kwanini nimechagua kichwa cha andiko iwe ni Elimu ongeza Teknolojia ni sawa na Uchumi ama kwa...
  8. vannie12

    SoC02 Elimu ya uraia wa kidijitali mashuleni

    Tunaishi katika ulimwengu unaounganishwa na teknolojia, ambapo teknolojia imewezesha shughuli nyingi za kielimu, kiafya, kibiashara n.k. Teknolojia ina athari kubwa kwa jinsi wanafunzi wanavyojifunza na jinsi wanavyojihusisha na elimu yao. Kwa kusudi hili, uraia wa kidijitali ni muhimu uhusishwe...
  9. T

    SoC02 Teknolojia msongo wa mawazo

    Kwa Dunia ya sasa, vijana ndio binadamu walio kwenye hatari kubwa ya kupotea kuliko wazee. Kutokana na ukuaji wa teknolojia, vijana wengi wamejikita kwenye kuigiza maisha mtandaoni huku hali halisi ikionesha maisha magumu na wengi wao kutojua suluhisho ni nini. Mfano, mitandao mingi ya kijamii...
  10. M

    SoC02 Changamoto za Jamii, Sera, Teknolojia - ajira

    Binadamu hupitia nyakati tofauti katika maisha yake. Kuna nyakati za mafanikio na Kuna nyakati za mkwamo. Tofauti hizi za nyakati zinaonesha jinsi maisha ya mwanadamu yanavyopata mabadiliko ya hali kiuchumi na kijamii. Mabadiliko haya ni matunda ya fikra kukabili Changamoto za maisha. Kwa...
  11. B

    DC Gondwe: Vodacom kinara kwenye mapinduzi ya teknolojia nchini

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe ameipongeza kampuni ya simu ya Vodacom kwa kuwa mstari wa mbele kwenye kuleta mabadiliko yanayoigusa jamii moja kwa moja. Akizungumza hapo jana Agosti 29,2022 alipotembelewa na washindi wa bajaji na pikipiki kupitia kampeni ya ‘M Pesa...
  12. Matty Daizan

    SoC02 Fursa za Sayansi na Teknolojia kwa vijana karne ya 21

    Tuanzie mbali kidogo katika karne za nyuma hususani kuanzia karne ya 18 hadi ya 19 dunia iliingia katika machafuko ya kivita na biashara za utumwa. Ndani ya karne hizo pia kulitokea na mapinduzi ya viwanda yaani mashine zilianza kufanya kazi na kuibuka kwa uzalishaji mkubwa wa bidhaa na hivyo...
  13. mcshonde

    Teknolojia inazidi kukua

    Teknolojia inazidi kukua. Nimeona makampuni makubwa Marekano kama T-Mobile yanaachana kabisa na teknolojia ya 3G pamoja na LTE plain, kisha kuwekeza nguvu kwenye 5G. Tanzania tunajiaandaa kwa mabadiliko haya? Maana baada ya miaka 10 vitu vitakuwa tofauti kabisa.
  14. Lady Whistledown

    Teknolojia: Niger kuanza kutengeneza mvua kukabiliana na ukame

    TEKNOLOJIA: NIGER KUANZA KUTENGENEZA MVUA KUKABILIANA NA UKAME Niger imeanza kutumia teknolojia ya kutengeneza mvua inayolenga kupunguza athari za ukame nchini humo, ili kuongeza uzalishaji wa vyakula baada ya kukabiliwa na vipindi virefu vya ukame Mkuu wa taasisi ya kitaifa ya hali ya hewa...
  15. J

    Waziri Nape: Wazazi msiwaache watoto wenu walelewe na mitandao na teknolojia, waleeni ninyi wenyewe taifa linaangamia!

    Waziri wa TEHAMA Mh. Nape amewasihi wazazi wa KKKT Kijitonyama, kuwalea watoto wao wenyewe na wasiwaache walelewe na mitandao na teknolojia kwani hali ya kimaadili kwa sasa ni mbaya. Nape ambaye aliongozana na Waziri wa Fedha Dr Mwigullu Kanisani hapo kwa mchungaji kiongozi Dr Kimaro, amesema...
  16. A

    SoC02 Sayansi na Teknolojia

    UTANGULIZI; Tangu utoto nimesikia usemi “elimu ni ufunguo wa maisha” Tunakuwa tukiwa na ndoto kubwa na kuamini elimu ndio ufunguo wao.Lakini je funguo zimebadilika au mlango umekuwa mbovu? Elimu ni njia ambayo jamii hutumia kupitisha maarifa,ujuzi,taarifa kutoka kizazi kimoja au kingine Elimu...
  17. Greg50

    Wizara ya Elimu: Wadau wa wa elimu zingatieni Kalenda ya Mihula iliyotolewa na WyEST kupitia Nyaraka za Elimu Namba 1 na 2 za mwaka 2022

    Tangazo kutoka Wizara ya elimu, sayansi na teknolojia.
  18. M

    SoC02 Sayansi na teknolojia itumike ipasavyo kuleta manufaa na tija inayohitajika

    UTANGULIZI. Tupo katika zama za utandawazi; Sayansi na teknolojia imechukua nafasi kubwa Sana katika ulimwengu huu wa Sasa hususan katika shughuli mbalimbali za uzalishaji wa kiuchumi, mambo ya siasa, elimu, pamoja na masuala ya kijamii. Teknolojia NI ujuzi wa kutumia vyombo (mashine) Ili...
  19. Antonia lujabuka

    SoC02 Maisha mapya ya Teknolojia

    MAISHA MAPYA YA TEKNOLOJIA Daah!!! Alishtuka ghafla na kushika simu yake iliyoingia ujumbe ambao ulimpa mawazo na kumnyima usingizi, ilikuwa mida ya saa nane usiku. Ujumbe huo ulimueleza kuhusu kifaa chake kimoja kimekamatwa na kukipata kifaa chake inaweza kumgharimu pesa nyingi Sana na...
  20. East

    SoC02 Tujifunze Teknolojia kuanzia sasa na kuendelea

    Utangulizi Natumauni ni mzima wa afya, leo nitagusia baadhi ya kozi zinazohusiana na masuala ya teknolojia. Katika karne hii inakupasa ufahamu baadhi ya vitu ili uweze kuelewa tupo wapi na tunaelekea wapi. Pia kujifunza teknolojia itakusaidia kuelewa na kutatua matatizo madogo na hata makubwa...
Back
Top Bottom