temeke

Temeke District is a district in southern Dar es Salaam, Tanzania, with Kinondoni to the far north of the city, and Ilala in the downtown of Dar es Salaam. To the east is the Indian Ocean and to the south and west is the coastal region of Tanzania. The 2002 Tanzania National Census reported that the population of Temeke District was 768,451. The area is 786.5 km².

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Temeke umeme umekatwa nusu saa kabla ya mwaka mpya

    Hili ni jambo jipya kuwahi kuliona tangu nipate akili. Na kwa kweli ni aibu kubwa kwa Nchi. Nakulilia Tanzania.
  2. Erythrocyte

    Temeke: Mgawo mkali wa Umeme kuliko hata ule uliotangazwa, wanakata mchana na usiku hakuna ratiba

    Haieleweki sababu yake hasa ni nini , ukiuliza Wafanyakazi wa Tanesco hawana majibu ? bali wanasema kwamba wao wameelekezwa kukata tu. Tunafahamu kwamba Temeke mara zote inatajwa kuishi watu duni , lakini watu wake siyo duni kama Tanesco ilivyokaririshwa, wanazo akili na iko siku watalipa huu...
  3. Abuhunna

    Mganga Mkuu wa Wilaya ya Temeke lifanyie kazi hili

    Jana tarehe 23, majira ya saa tatu usiku nilifika hospitali ya Malawi - Yombo, (yenye hadhi ya kiwilaya - ni referral hospital katika ukanda wa temeke) nikiwa na kijana wangu mdogo ambae alikuwa na homa, huduma zikawa zimesimama kwa kinachoelezwa umeme hauko sawa katika majengo ya mapokezi...
  4. JanguKamaJangu

    Simbachawene: Kama zile 5-1 zimetokana na Rushwa, Simba mkaripoti TAKUKURU Temeke

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema kama Klabu ya Simba inaamini kupoteza kwa magoli 5-1 dhidi ya Yanga kumechangiwa na mazingira ya rushwa basi taarifa hiyo ikaripotiwe Ofisi ya TAKUKURU Temeke, Dar es Salaam. Awali, Mbunge...
  5. Sildenafil Citrate

    Katibu mkuu CWT agoma kurudi Temeke kufundisha

    Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imeanza mchakato wa kufungua shauri la nidhamu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japhet Maganga baada ya kutorejea katika kituo chake cha kazi tangu alipotakiwa kufanya hivyo Oktoba Mosi mwaka huu. Maganga ambaye cheo chake ni Mwalimu...
  6. Hance Mtanashati

    Kituo cha polisi Chang'ombe temeke kimulikwe, huyu kijana mnayemfuga (Kadoda) analitia doa sana jeshi la polisi

    Kuna kijana yupo hapo kituo Cha polisi Chang'ombe temeke, anaitwa Kadoda, yeye si askari ila anashirikiana na maaskari wa hapo kubambikizia watu kesi na wakishindwa kutoa hongo ili waachiwe mwisho wa siku wanaishia jera. Kwa kifupi huyu kijana alikuwa ni jambazi na alikaa jela kwa miaka...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ntate Katika Mkutano wa Utekelezaji Ilani ya CCM Mtaa wa Maganga, Temeke.

    MBUNGE JANEJELLY NTATE KATIKA MKUTANO WA USOMAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MTAA WA MAGANGA, TEMEKE Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 07 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Mkutano wa kusoma...
  8. Lord Lofa

    DED Temeke: Tangazo lako lina malengo gani?

    Kipindi huyu Mwalimu anapewa vibali na Katibu Mkuu ofisi ya Rais ofisi yako haikuweka Tangazo kuupa umma taarifa. Hili tangazo umelitoa kwa msukumo wa kisiasa ukiamini unawafurahisha wakubwa zako, inasemekana Mwalimu huyu ni miongoni mwa waliokataa uteuzi wa Rais. Hapa busara haijatumika...
  9. Erythrocyte

    Aliyetenguliwa Julai Temeke arejeshwa Septemba Mtwara

    Tunaposema kwamba CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa, haiwezekani mtu atenguliwe kwenye U DC mwezi July na kuchafuliwa kila kona, halafu huyo huyo arejeshwe tena baada ya miezi miwili tu. Hii maana yake ni kwamba nyie wapiga kelele humu JF mkiongozwa na johnthebaptist na mchumia tumbo Lucas...
  10. B

    World Muslim Link yatoa msaada wa kilo 3 za Maharage kwa yatima kutoka Serikali ya Saudia, Mstahiki Mayor wa Temeke awashukuru

    Asabuhi leo napitia pitia na kusikiliza Radio Free Africa. Jana hii Taasisi imetoa msaada wa Kilo 3 za maharage kutoka Saudia. Mayor amewashukuru sana na kuishukuru Saudia kwa msaada huu mkubwa kwa wenye shida. Habari hii imetangazwa sana kitaifa na kimataifa. Asanteni sana ndugu zetu katika...
  11. S

    DOKEZO Afisa Biashara wa Manispaa ya Temeke, Giyola Chang’a ni mla rushwa

    Idara ya biashara ni changamoto ikiongozwa na huyu afisa biashara Giyola Chang’a. Hakuna Kinachoshindikana ndani ya idara biashara kama una hela mkononi. UKiwa hauna tax clearance, adi kubaki(Fire kibali) au kibali chochote kile uwe na hela tu huyu mama anapitisha. Unyanyasaji mkubwa Kwa...
  12. Erythrocyte

    BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

    Pamoja na Mvua kunyesha kuanzia Alfajiri huku Temeke, lakini mpaka sasa kwenye viwanja vya Bulyaga, ambako kuna Mkutano kabambe wa kupinga Mkataba mbovu na kupiga spana madalali wa Bandari za Tanganyika , watu wameanza kuja. Vikundi vya kutumbuiza wananchi tayari viko jukwaani , awali watu wa...
  13. S

    Updates za Mkutano wa leo Temeke

    Wadau mlio karibu na eneo la tukio au mnaopita karibu na eneo hilo, nini kinaendelea muda huu kuhusiana na maandalizi na maendeleo ya mkutano wa Bandari? Tunaomba mtupe updates za kinachoendelea kabla mkutano huo haujaanza rasimi. Karibuni.
  14. benzemah

    Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

    Waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar...
  15. BigTall

    DOKEZO Kupata Leseni ya Biashara Manispaa ya Temeke ni Biashara pia ya watu, lazima utoe rushwa ndio upate huduma

    Upatikanaji wa leseni za biashara katika manispaa ya Temeke umekuwa ni biashara kwa waliopewa majukumu hayo. Kumekuwa na utengenezaji mkubwa wa mazingira ya rushwa ambao upo wazi kabisa na bila kutoa rushwa huwezi kupata leseni ya biashara bila kujali ni kuomba kwa mara ya kwanza au kurenew...
  16. DR HAYA LAND

    Tanesco, wilaya ya Temeke hakuna Umeme Hali mbaya Sana.

    Taarifa Tangu siku ya Jana mnakata Umeme tu Huku Temeke Hali ya hewa ni joto Kali watu mnawakatia umeme hata Taarifa hamtoi Tena mnakata siku nzima . Kazi zinazohitaji Umeme zipo nyingi Sana , je? Mnataka watu waishije ikiwa mnakata Umeme siku nzima na hamtoi Taarifa je mnatoa mgao ? Na huu ni...
  17. lufungulo k

    Mkandarasi haongei lakini anachukizwa, Serikali wilaya ya Temeke ijitathmini

    Mkandarasi anayejenga Barabara ya mabus ya mwendokasi MBAGALA na hakika anachukizwa mno na adha anazokutana nazo SITE, haswa kipande cha ZAKHEIM - RANGI TATU. Serikali wilaya ya Temeke imebaki inaangalia tu. Ni kweli WANANCHI wa MBAGALA wanajipatia riziki katika mihangaiko yao ya kila siku pale...
  18. M

    Lodge nzuri Temeke

    Habari, guest/ lodge gani nzuri ambayo ipo karibu na stand ya mabasi ya Temeke? Iwe na kipupwe isizidi buku 40
  19. God Fearing Person

    Shule ya Temeke secondary naomba Serikali imulike macho umalaya umezidi

    Hii shule ya Temeke secondary %kubwa ya wanafunzi wa kike wanafanya umalaya mkubwa . Na vijana wa kiume wanavuta bangi .Sana.
  20. Erythrocyte

    Mapokezi ya Tundu Lissu yapamba moto, apangiwa kuhutubia taifa jukwaani siku hiyo hiyo Temeke

    Taarifa ikufikie kwamba Maandalizi ya Mapokezi kabambe ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yamekamilika, ambako wanachama wa CHADEMA na wapiga kura wake waliomchagua kwa kishindo 2020 kabla ya Sarakasi za Dr. Mahera, wametakiwa kujipanga kuanzia uwanja wa ndege hadi Temeke. Habari...
Back
Top Bottom