temeke

Temeke District is a district in southern Dar es Salaam, Tanzania, with Kinondoni to the far north of the city, and Ilala in the downtown of Dar es Salaam. To the east is the Indian Ocean and to the south and west is the coastal region of Tanzania. The 2002 Tanzania National Census reported that the population of Temeke District was 768,451. The area is 786.5 km².

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Mchongo wa Kompyuta za Sh milioni 132 huu hapa, Jokate Mwegelo ametumika

    Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kushirikiana na asasi ya BRAC-Maendeleo, imetoa kompyuta 120 zenye thamani ya Sh milioni 132 kwa shule tatu za Wilaya ya Temeke kwenye mradi wa “Skills for Their Future”. Kompyuta hizo zilikabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, kwenye hafla...
  2. Erythrocyte

    Temeke: Meya wa Manispaa aanzisha kampeni ya kuuza Shule ya sekondari Kurasini kwa Mwekezaji

    Hii ndio Kashfa mpya inayozunguka kwenye Manispaa hiyo kwa sasa , ikiwa ni siku chache tangu kashfa ya Mwenyekiti wa ccm wa wilaya hiyo kutafuna zaidi ya sh. mil 300 za vikundi kuibuliwa. Mstahiki Meya Abdallah Ntinika anatajwa kuwashawishi kwa nguvu kubwa viongozi wa Manispaa hiyo ili Waiuze...
  3. Msanii

    CCM Temeke ndani ya Kashfa nzito

    Taarifa zinazojiri mtandaoni sasa ni tuhuma za ubadhirifu uliofanywa na Mweyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke bibie Almishi Hassal, ambaye anatuhumiwa kuunda vikundi hewa vya wanawake na vijana kisha kufanikisha uchotwaji wa zaidi ya Tshs milioni 300 za Halmashauri ya Temeke zilizopaswa kukopeshwa...
  4. F

    Mahakama ya Temeke wanasumbua kulipa pesa za Mirathi bila hoja za msingi

    A
  5. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 4 zimetengwa kutatua changamoto za barabara ndani ya manispaa ya Temeke

    Mhe. Jokate Mwegelo: ZAIDI YA BILIONI 4 KUBORESHA BARABARA TEMEKE. Kiasi cha fedha zaidi ya shilingi bilioni nne kimetengwa kwa ajili ya kutatua changamoto za barabara ndani ya manispaa ya Temeke katika bajeti ya mwaka wa fedha 2022/23. Hayo yameelezwa na Mratibu wa Wakala wa Barabara za Mjini...
  6. J

    DC Jokate Mwegelo aweka mkakati wa kuboresha elimu na ufaulu Wilayani Temeke

    DC JOKATE MWEGELO AWEKA MKAKATI WA KUBORESHA ELIMU NA UFAULU WILAYANI TEMEKE Leo hii Mkuu wa Wilaya Mh. Jokate Mwegelo amefanya kikao maalumu cha wataalamu wa elimu wakiwamo viongozi na kutoka Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), wasimamizi na maafisa Elimu ya Temeke. Dhima ya kikao...
  7. J

    DC Jokate kuongoza mapokezi ya kidato cha kwanza leo Temeke. Kwa mara ya kwanza hakuna aliyekosa darasa

    Temeke Tukutane Shuleni. Asante Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono yako. Leo tunaanza kupokea wanafunzi. Tukutane Mubashara kabisa muda huu kupitia Channel Ten na vyombo vingine vya habari!!!! Kazi Iendelee 🇹🇿
  8. J

    Mkuu wa Wilaya Temeke akabidhiwa madarasa 157 ya Shule za Sekondari

    MKUU WA WILAYA TEMEKE AKABIDHIWA MADARASA 157 YA SHULE ZA SEKONDARI Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo ameshiriki katika hafla ya makabidhiano ya Madarasa mapya 157 yaliyojengwa katika Shule 24 za Sekondari iliyofanyika leo Januari 03, 2022 katika Shule mpya ya Sekondari Dovya...
  9. ZINDAGI

    Sherehe za miaka 60 ya Uhuru, Temeke mmejipangaje?

    Naandika haya nikiwa napita jirani kabisa na uwanja wa Uhuru (Uwanja wa Taifa), naona vikosi vya ulinzi na usalama vikijtaarisha kuanza mazoezi ya gwaride na mambo mengine, vijana wa halaiki nao hawajaachwa nyuma, naona kundi kubwa linaingia. Ama kwa hakika kwa maataarisho haya, tutegemee...
  10. T

    Operator - Mashine ya kusaga

    Natafuta operator wa mashine ya kukoboa mahindi na kusaga unga. Ina uwezo wa kusaga tani kumi kwa siku. Awe na uwezo wa kufanya mauzo kwa kupeleka kwa wateja. Niko Dar es Salaam, Mbagala.
  11. DR HAYA LAND

    Huku kwetu Temeke maji ni 24/7, pia na umeme ni 24/7

    Nipo Temeke hapa Maeneo ya Tandika Makaburuni, dumu la maji ni 50 na umeme ni 24/7 Naomba serikali watoe magari yao waje huku wajaze maji na wawasambazie ndugu zetu wa huko pembezoni na mji. Hapa Temeke visima vipo vingi sana maji ni 24/7
  12. Dr am 4 real PhD

    Donations to Temeke hospital from Pakistan community

  13. J

    Waziri Ummy Mwalimu awapongeza viongozi Halmashauri ya Temeke

    WAZIRI UMMY MWALIMU AWAPONGEZA VIONGOZI HALMASHAURI YA TEMEKE Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewapongeza viongozi wa Temeke, akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mkurugenzi pamoja na watumishi kwa kazi kubwa na nzuri...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegele aja na Temeke Gulio-Soko la Makangarawe limekamilika

    MKUU WA WILAYA WA TEMEKE MHE JOKATE MWEGELO AJA NA TEMEKE GULIO - SOKO LA MAKANGARAWE LAKAMILIKA Rasmi sasa Tarehe 19/11/2021 ndani ya Soko Letu La Makangarawe WanaTemeke tunaenda kuandika Historia kwa namna ambavyo wafanyabiashara wadogo wadogo walivyoitikia wito wa kuhama maeneo yote yasiyo...
  15. J

    DC Jokate akagua miundombinu ya masoko Wilayani Temeke

    DC JOKATE: AKAGUA MIUNDOMBINU YA MASOKO WILAYANI TEMEKE Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo amefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu katika maeneo ya masoko waliyohamishiwa wafanyabiashara Wadogo maarufu Machinga, leo Novemba 10,2021 huku akiambatana na baadhi ya viongozi na wakuu wa...
  16. Ramon Abbas

    Car4Sale Vitz nyingine hii hapa cc 990, kwa 4m. Temeke Dar

    Gari iko vizuri sana katika idara ya mafuta haina AC. Imepigwa polish tu kwa ajili ya kuing'arisha. Ipo Temeke, DSM Call me 0713096076
  17. J

    DC Jokate: Mikopo kwa wamachinga

    DC JOKATE: MIKOPO KWA WAMACHINGA "Kuhusu Machinga tunashukuru tumeendelea kushirikiana vizuri na Viongozi wetu wakaeleza maeneo fulanifulani ambao walikuwa wanahitaji tuangalie kwa jicho la tatu, zoezi linaenda vizuri tumefufua masoko ambayo yalikufa" "Tumeielekeza Manispaa kwamba walioingia...
  18. Hismastersvoice

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke kakague kisima cha maji DAWASA Charambe Mbagala

    Kwa miaka sasa wakazi wa Charambe Mbagala maji tunayopewa na Dawasa ni hatari kwa matumizi kwani yana kemikali. Maji haya yenye rangi ukifulia nguo nyeusi huacha rangi nyeupe kwenye nguo yakaukapo, na ukiyamwaga kwenye mchanga huchukua muda mrefu sana kukauka na yakikauka huacha rangi ya njano...
  19. Baraka sheni

    Vijana walio Dar wilaya ya Temeke tukutane

    Habarini wapendwa nina wazo kwa wale vijana wenye nia ya kuthubutu na wenye mawazo au biashara au wamejiajiri tukutane na tuunde kikundi. Lengo la kikundi kwenda kupata Mkopo wa Halmashauri. Yawezekana kila mtu akawa na biashara yake au ya pamoja ila kama kila mwanakikundi atakuwa na biashara...
  20. J

    Jokate: Wilaya ya Temeke yatengewa zaidi ya Tsh bilioni 4 za kutekeleza miradi ya maendeleo

    WILAYA YA TEMEKE YATENGEWA ZAIDI YA TSH BILIONI 4 KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO,SHUKRANI KWA RAIS SAMIA - DC TMK MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo kwa niaba ya Uongozi wa Wilaya ya Temeke ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Back
Top Bottom