Construtora Tenda S.A. or Tenda, until 1994 Tenda Engenharia S.A, is a Brazilian construction company founded in 1969 in Minas Gerais with its headquarters being located in São Paulo. The company is listed on the São Paulo Stock Exchange where it raised 603 million reais ($345 million) in an initial public offering in 2007. In 2008, Gafisa bought 60% of shares of the Tenda, to becoming in a subsidiary.
TANESCO NA TENDA KWA KAMPUNI BINAFSI;TTCL NA KAMPUNI BINAFSI ZA SIMU KUANZISHWA TCRA.
Leo 12:15pm 03/05/2022
Tanesco wameazimia kuongeza ufanisi na kasi katika kuunganisha umeme kwa wateja,Tanesco itaanza kutoa tenda kwa kampuni binafsi kufanya kazi hiyo huku wao wakijikita kwenye uzalishaji...
Naamini IGP Sirro anakaribia kustaafu utumishi wake kwenye jeshi la polisi uliodumu kwa zaidi ya miaka 30. Japo amefanya mengi lakini yapo ambayo bado ananyyoshewa kidole kwayo. Japo ni mengi lakini naomba niwasilishe swala hili moja tuu kwa leo. JESHI LA POLISI CHINI YA SIRRO limeshindwa...
Namnukuu CAG Kichere
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari iliingia mkataba na “Mkandarasi Mkuu” wa shilingi bilioni 172.36 tarehe 3 Agosti 2019 wa muda wa mwaka mmoja hadi kufikia mwezi Agosti 2020 kwa ajili ya kuongeza kina cha lango na sehemu ya kugeuzia meli katika bandari ya Tanga, kufanya...
Kwa wasiojua, mmisiri pale ni nyapara, hajengi, hawa Chato dynasty ndio wameji subconstruct .
Magenge ya awamu ya tano yaligawana tenda ya ujenzi wa mradi wa Stiglers, hawa wanaopiga kelele na kumshutumu Waziri Makamba, ni kwamba wameanza kuuona moto, kampuni zao zimeanza kuitwa moja baada ya...
Imebainika kuwa kampuni mbili zilizopigwa marufuku kufanya kazi Nchini Kenya ni miongoni mwa kampuni nne zilizoomba zabuni ya kukagua magari katika bandari ya Dar es Salaam.
Tangazo la zabuni lililopo kwenye tovuti ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linaonyesha kuwa hadi kufikia Aprili 4...
Habari za weekend;
Kwa wali wanaosalia najua mmewahi kumuomba Mungu awapatie Mkate wenu wa Kila siku.
Leo nataka tuzungumzie kuhusu TENDER au kwa Kiswahili TENDA.Tenda huwa zinakuja kwa lugha tofauti kama vile INVITATION TO TENDER,EXPRESSION OF INTERESTS,REQUEST FOR PROPOSAL,REQUEST FOR...
Habari wanaJf.
Mimi ni mjasiriamali, na supply vitu mbali mbali ikiwemo vyakula (nafaka na vyakula vingine) Kwa sasa natafuta tenda ya Ku supply nyama ya ng'ombe na kuku wa kienyeji either kwenye mahoteli au sehemu za kuchoma nyama hata kwa mtu binafsi na supply pia.
Kwa anaye hitaji au mwenye...
Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani.
Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa...
Habari zenu,
Mimi ni kijana nimeingia katika biashara ya maji safi, nina malori yangu ya maji safi ya kutosha, changamoto ni kupata kazi au tenda Mjini Dar.
Hivyo basi nachukua fursa hii kutangaza fursa kwa vijana ambaye atanitafutia tenda nitamlipa per trip moja. Gharama zetu za huduma ni...
Bila mkuu wa wilaya ya Moshi kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasi wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa Moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa.
Swali la msingi, halmashauri imempata mkandarasi asiyejulikana...
Baada ya serikali kupokea mkopo wa IMF wa Trillion 1.3 Tshs itapendeza zaidi kuona makampuni yatakayopewa tenda ya ujenzi ama ku supply vifaa yatangazwe rasmi kwenye magazeti. Hii itasaidia wananchi kufahamu uwezo wa makampuni hayo katika kufanya kazi hizo. Waziri Mkuu ametangaza kamati...
Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike!
Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi
Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili
Mh. Samia...
Njia ya Mungu ni fumbo
RAIS HAKAINDE HICHILEMA AMUAPISHA ASKARI ALIYEMTENDEA WEMA AKIWA GEREZANI KUWA NAIBU KAMISHNA WA MAGEREZA. KUNA SOMO LA KUJIFUNZA
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ameteua Bwana Kuyomba Bwalya kuwa Naibu Kamishna Jenerali wa magereza "Zambia Correction Service"...
Wafanyakazi wa posta walishangazwa kuona barua yenye anwani inayosomeka “Kwenda kwa Mungu, Baba SLP, Mbinguni”.
Baada ya kujiuliza pa kuipeleka wakaamua kuifungua na kuisoma, ilikuwa imeandikwa “ Kwako Mungu Baba Mimi ni mjane kikongwe kuna vibaka wameniibia shilingi laki moja, mwezi huu sina...
Wasalaaaam wakuu,
Nina imani ninyi wote ni wazima wa afya, bila kupoteza muda niende kwenye mada tajwa hapo kama inavyojieleza, katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wengi wakiume na kike katika nchi yetu la kutafuta ajira na tenda mbalimbali na hili linasababishwa...
Hatutaweza kupata mkataba mzuri kama mwekezaji anajua yuko peke yake! Tunachotaka tunajua na mradi utangazwe kama tenda ili wadau wengine na mashirika mengine nayo yaweze kuleta tenda zao. Kuna watu serikalini na wanasiasa wameshawekwa mfukoni na China kwa kupewa visafari na visemina vya kijinga...
Hakika yule aliyewahi kusema "Madara yanalevya, madaraka makubwa yanalevya zaidi" hakukosea
Ukuu wa wilaya unahitaji mtu mbunifu, ukirizika na nafasi uliyoteuliwa utaishia kuishangaza jamii na kuzalilisha vijana wengine wengi hata kupelekea wasiaminiwe tena.
Kiongozi kijana, umepewa wilaya...
TFF na AZAM TV zimeingia mkataba wa kudhamini ligi ya soka Tanzania Bara bila ya kutangaza Tenda na Pia hakuna mikataba mirefu kama huubwa miaka kumi.Huu ni ukiukwaji wa utaratibu wa kuonyesha mechi za mpira wa miguu nchini.
Duniani kote Tenda zinatangazwa na kila kampuni inatoa ofa lakini...
KUNA MENGI YA HOVYO YANAENDELEA KWENYE HII TAASISI, TUNAJIULIZA KAMA MH. WAZIRI MKUU AMEWAWAJIBISHA MENEJA WA TANESCO NA WATU WAKE KWA TATIZO LA KUPATIKANA KWA LUKU. JE HAWA WATU WA TEHAMA WA LATRA WANAAACHWAJE KWA UBABAISHAJI WA KWENYE MFUMO WA ONLINE TICKETING NA KUTUSABABISHIA WENGINE HASARA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.