tendo la ndoa

  1. J

    Sababu kubwa inayomfanya Mwanamke akatae kushiriki tendo la ndoa

    Wanandoa wengi wanafanya mapenzi kama jukumu na siyo starehe ya kufurahishana. Na wanaume wengi wamekuwa wabinafsi kwasababu wanafikiria tu mihemko yao bila kujali unayemtumia anahali gani. Mwanamke ni mtu anayefanya vitu vyake kwa hisia, kwahiyo kabla hujataka kufanya hicho unachotaka kufanya...
  2. Mowwo

    Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

    Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia. Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza...
  3. Melki Wamatukio

    Tuliowahi kuomba tendo la ndoa kwa wanawake ambao leo hii tunawajutia tukutane hapa

    Hakika nilitawaliwa na pepo la ngono kipindi hicho. Nikikumbuka najikuta natetemeka. Sitamani hata kutembelea nyumbani. Inasikitisha[emoji24][emoji24] 1. Mama wa rafiki yangu Nilikuwa na 19 yrs. Nilimtembelea rafiki yangu kwao lakini sikumkuta, nilimkuta mama yake akiwa anafua huku kajifunga...
  4. J

    Watumia ugoro kama mbadala wa tendo la ndoa

    Kama unadhani ugoro hutumika mdomoni na puani pekee kama sehemu ya kilevi, basi fahamu umeongezewa matumizi mengine kwa wanawake, wanautumia kukata hamu ya tendo la ndoa. Iwapo utapewa kiburudisho hicho kwa mara ya kwanza, hakika hutothubutu kukigusa kutokana na ukali wake, lakini hivi sasa...
  5. Kingtol

    SoC02 Tendo la ndoa lisilo asilia na madhara yake

    (Ngono kinyume na maumbile kwa wanandoa au wachumba) 🎀 Tendo la ndoa au kufanya mapenzi ni jambo nyeti na muhimu sana kwa binadamu. 🎀 Ufanyaji mapenzi au kujaamiana hufanywa na wapenzi walio na wasio kwenye ndoa. Wapenzi wengi hasa jamii ya kiafrika wanapitia changamoto nyingi sana hasa katika...
  6. Hosea Ben

    SoC02 Upungufu wa nguvu za kiume na kuwahi kumaliza kwa mwanaume wakati wa tendo la ndoa

    Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo gani? Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo ambalo linahusisha kukosa uwezo wa kusimamisha uume au kushindwa kudumisha uume ukiwa umesimama wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Hili ni tatizo la kihisia na kimwili ambalo linaweza kuhusisha matatizo ya...
  7. Donnie Charlie

    Hispania: Waziri Edelmira Barreira amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa mara nyingi Zaidi.

    Hahahah! Make hapa kwanza ncheke, basi bwana sijui niseme ni jambo la kushangaza au nikawaida huko Uhispania bwana wameanzisha kampeni ya kuhamasisha watu wafanye tendo la ndoa kardi uwezavyo. Edelmira Barreira ambae amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa...
  8. Memtata

    Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

    Habari wakuu, Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa. Miezi kadhaa baada ya kuoana alipata ujauzito na tabia hii ndipo nilipoanza kuiona nikajua labda kwasababu ya ujauzito. Alipojifungua na kupumzika mambo ni yale yale, hatufanyi...
  9. Kiungonguli

    Mate sio kilainishi sahihi wakati wa tendo la ndoa na ni hatari kwa afya ya Mwanamke

    Wakati matumizi ya mate yakiwa maarufu kwa wengi wakati wa kujamiiana, hasa yanapotumika kama aina fulani ya kilainishi hasa ukeni na hivyo kuleta ladha ya tendo, habari si njema sana kwa watumiaji wa mate hayo wanapoburudika, hasa kwa wanandoa. Wataalamu wa afya wamesema kuna ongezeko la...
  10. K

    Ni mbinu gani ingewafanya binadamu na wanyama wengine kujamiina endapo tendo la ndoa lisingekuwa na ladha iliyomo sasa?

    Kulingana na ukweli kuwa iko starehe katika kufanya tendo la ndoa na ni starehe hiyo huwafanya binadamu na viumbe wengine kukimbizana usiku & mchana kusaka mbususu Je ni mbinu gani angeitumia muumba kuwafanya binadamu & viumbe wengine kungonoka endapo kusingekuwa na starehe yoyote kama ilivyo sasa
  11. P

    Je, tendo baada ya ndoa inawezekana kwa nyakati za sasa?

    Mimi ni kati ya wadau niliyeoa ndipo nikashirikiana na mke wangu. Na hii yote iliwezekana na kuwa na mahusiano na Mungu aliyenipa ujasiri wakujitunza na kuoa then kushiriki tendo la ndoa. Swali: Wanadamu wanakwama wapi kwa Sasa maana tukiweka pembeni wokovu nilionao wazee wetu zamani hawafanyi...
  12. John Haramba

    Mwanaume afariki akifanya tendo la ndoa, mwanamke asema "Alihema kwa kasi kisha akaanguka pu!"

    Mwanaume mmoja amefariki dunia wakati akiwa faragha na mpenzi wake katika nyumba ya wageni kwenye ghorofa moja jijini Nairobi. Taarifa za Polisi zinasema, Joseph Ngaruiya umri miaka 40, anadaiwa kupata shida ya kupumua akiwa na mpenzi wake katika vyumba vya Myra, Jumatatu, Februari 28, 2022...
  13. 0897

    Mwanamke aliyefundwa hasubiri kuombwa tendo la ndoa na mumewe

    "Mwanamke aliyefundwa hasubiri kuombwa tendo la ndoa na mumewe, Mume kukuomba tendo la ndoa ni ishara kuwa wewe hujui nafasi yako kwake. Mwanamke mwenye akili na mwenye kujali ndoa yake hutengeneza mazingira ya tendo kwa mumewe kwa kujipamba kwa manukato mazuri na nguo zitakazomvuta mumewe...
  14. Kichwamoto

    Jiweke Imara kwa Tendo la Ndoa

    Hello Hello WanaJF Wanaume! Kula hivi Mwanamke mlishe mumeo/hawara/mpenzi 1.Supu ya maharage 2.Maziwa mtindi 3. Mtori 4. Kitunguu swaumu walau punje 5 5. Asali 6. Nafaka-mbegu za maboga, Karanga 7. Jogging au zoezi la kukimbia 8. Tambua vitu vinavyokutoa stress na kukupa tabasamu 9. Epuka...
  15. geesten66

    Kukosa hamu ya tendo la ndoa

    Habari za majukumu. jamani wana jamii nina matatizo ya kuto kupata hamu ya tendo la ndoa. Pia sina hisia za kupenda wanawake au mausiano kwa ujumla. Na niliamua kumsafilisha mke wangu mwaka jana na sina hisia nae kabisa. Je nitakua nina matatizo kiafya.
  16. karv

    Faida za kufanya tendo la ndoa (kujamiiana) kwa wanandoa

    Faida za kujamiiana 1.Kuwa na mpenzi ambaye ni rafiki yako ni jambo zuri sana katika mahusiano. Kuwa katika mahusiano pasipo kufanya mapenzi na mwenza wako ni kama tu kuwa na rafiki yako. Mahusiano hujawa na uchu, wapenzi hutaka furaha na kuridhika. hivyo kufanya mapenzi na mwenza wako...
  17. lwambof07

    Je, ni nadharia tu au ni kweli wapenzi wanaweza kunata wakati wa tendo la ndoa?

    Inaonekana ni kipande kisichofaa cha filamu ya mapenzi . Lakini taarifa kuhusu 'kunatana' wakati wa tendo la ndoa ni jambo lililopo kwa karne na karne - huenda zingine kukawa na ukweli. Safari ya kukimbizwa hospitali kwa dharura kamwe halijawahi kuwa jambo zuri, lakini pia siku kitu ambacho...
  18. K

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Punyeto ni nini? Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine. Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi...
  19. masara

    Wanawake kuweni na ushirikiano kwenye tendo la ndoa

    Heri ya mwaka mpya. Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa dada zangu ingawa sio wote ila walio wengi. kwa wale wanaume maabaharia wanaelewa namaanisha nini ila kwa wale waaminifu kwenye mahusiano yao sio rahisi kuelewa. Unakuta uko na mwanamke faragha kwa ajili ya shughuli moja tu ya kuvunja...
  20. Frumence M Kyauke

    Kijana mkoani Kilimanjaro auawa kwa panga kwa madai ya kutaka kushiriki tendo la ndoa na mke wa mtu

    Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufumaniwa akitaka kufanya mapenzi na na mke wa mtu. Taarifa zinadai kuwa kijana huyo aliyeuawa alikuwa akichati na mke wa mtu ambapo baadaye mume wa mwanamke huyo...
Back
Top Bottom