Leo nimeskia kituko cha ajabu Sana kimenifanya niandike huku
Nipo zangu oysterbay na Marafiki tuna chill kwenye kijiwe chetu, mara rafkiangu akapigiwa simu na Huyo bwanake tusiemjua😓
Walipomaliza kuzozana kwenye simu, nikamwuliza shida iko wapi, akasema Huyo bwana alimpigia NI mume WA MTU, na...