Halo wadau wa celebrities forum.
Nimepata habari sehemu kuwa kijana wa Madale aka Simba, Dangote, sukari ya warembo au Diamond Platinum, alitaka kumuoa Hawa wa Nitarejea enzi hizo, lakini binti alimkataa.
Wimbo wa Nitarejea ni moja ya nyimbo ya kwanza za Diamond akimshirikisha binti Hawa...