Huko miaka ya nyuma viongozi walikuwa wanachaguliwa kutokana na mafunzo ya uongozi waliyo yapata kutoka katika vyuo husika,,mfano husika ni kile Chuo cha CCM Kivukoni.
Huko viongozi walikuwa wanapikwa na kuiva haswa na kuwa tayari kuihudumia jamii,walikuwa wamelelewa katika maadili ya uongozi...