teuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Hizi teuzi na tenguzi zimetosha, tujadili kipi tuache kipi?

    Salaam, shalom!! 1. Tulipokuwa tukisubiri kupokea Mikataba mliyoiita HGA ya mkataba wa Bandari mlisema mikataba hiyo itakuwa wazi italetwa na kujadiliwa bungeni, hatujakaa sawa, tukasikia mikataba imeshasainiwa huko Dodoma kimya kimya na siku hiyo hiyo akateuliwa Katibu Mwenezi wa chama...
  2. Mjanja M1

    Baada ya teuzi mpya Makonda kapanda cheo au kashuka?

    Kutoka kwenye Ukatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha. Je cheo cha Paul Makonda hapo kimepanda au kimeshuka?
  3. Ze Heby

    Umakini kwenye teuzi za viongozi

    Tarehe 21 Novemba 2023, tulipata habari kuhusu kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi Watendaji (District Executive Directors) wawili. Wakurugenzi hao ni, Butamo Nuru Ndalahwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara mkoani Morogoro, Lena Martin...
  4. A

    Dkt. Mary Nagu akumbukwe teuzi

    Ikiwa kakumbukwa Adadi Rajabu kwanini na Dr Mary Nagu asipewe maisha Tena? Soma >> Rais Samia ateua Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa Bodi za TMA, Mkonge na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Tumeamua kwenda na wastaafu, basi twende nao wote, tusibague. #Uzee_dawa#
  5. Erythrocyte

    Jinsi shangwe za teuzi za viongozi wa CCM zinavyozimika mithili ya Mshumaa nyikani

    Kwenye nchi ambazo utendaji wa taasisi hauhitaji masihara, mteule mpya hasherehekei uteuzi wake. Mteule hatumii uteule wake kuwasimanga wengine ama kutengeneza mipasuko. Mteule wa huko hutumia uteuzi wake kutafakari namna atakavyotumikia cheo kipya kwa unyenyekevu na kwa mujibu wa sheria...
  6. D

    Iringa kwa teuzi hizi mmetisha. Hakika Mzee Luhanjo amewaacha pazuri!

    Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo (Iringa). Katibu Mkuu UVCCM Lulandala (ameoa mdogo wake na Daniel Chongolo) naye Iringa. Katibu Mkuu UWT Jokate Mwegelo Binti aliyekulia kwa shangazi yake Jenista Mhagama naye Iringa. Albert Chalamila (Iringa) mbali na Philip Mangula (mstaafu) naye Iringa (Sasa...
  7. Suley2019

    Rais Samia afanya Uteuzi na Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala na Kaimu Kamishna (TANAPA)

    Rais Samia ameteua na kufanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala na Kaimu Kamishna (TANAPA). Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemhamisha kituo cha kazi Sixtus Raphael Mapunda kutoka Wilaya ya Sumbawanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke akichukua...
  8. D

    Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

    Kwa hali inayoendelea na kwa uzoefu wa mambo ya bongo yetu soon makonda atakula teuzi, naona kabisa kuna upande unamuhitaji kwa kudhani anaweza kuwa msaada kwao, haihitaji kuwa kwenye system kuijua bongo yetu.
  9. britanicca

    Sikubaliani na jinsi Rais Samia anavyofanya Teuzi, na zitakuja kumfanya kujuta baadaye

    Bila kupepesa macho na kupindisha maneno Mimi ni CCM damu damu ambaye nimeanza kuwa Mwana chama wengi wenu hamjazaliwa, tokea Niko Pugu Mwaka 1979 na baadae tukasoma kupewa kadi ya CCM siyo zinazogawiwa Kama njugu! Baada ya hapo nina machache tu ya kusema 1. Vetting ni ama haipo au...
  10. S

    Kwa teuzi za kichawa na tenguzi za majungu kama hizi, tusahau kuhusu maendeleo

    Nitatumia utenguzi na uteuzi wa huyu DC kama mfano ktk uzi wangu. Huyu alikuwa DC wa Temeke, akatenguliwa 02 June 2023. Na leo 23 Septemba 2023 ameteuliwa tena kuwa DC wa Mtwara. Ndiyo kusema mwanamama huyu alipoteza sifa ya kuwa DC mpk kufikia hatua ya kutenguliwa 02/06/2023 lkn siku 90...
  11. Chachu Ombara

    Zimbabwe: Upinzani wamshutumu Rais Mnangagwa kumteua mwanaye na mpwawe Baraza la Mawaziri

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata mwezi uliopita. Bw. Mnangagwa Jumatatu alimtaja mwanawe, David Kudakwashe, kama naibu waziri wa fedha kama sehemu ya mgawo...
  12. A

    Je, teuzi za sasa ndio chanzo cha matatizo ya nchi?

    Siku hizi kumekuwa na teuzi nyingi ambazo hazionyeshi, kuwa zimetokana na uwezo au weledi wa aliyeteuliwa. Chanzo kikuu kikiwa ni katiba inamruhusu mteuzi kufanya huo uteuzi, na matokeo yake tunaona kwamba mifumo ya utendaji na kauli za baadhi au wengi ya viongozi hao kuwa ni za magomvi na...
  13. NIPOSINGO

    Uteuzi na Mabadiliko: Ofisi ya AG, Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje

    Usiku huu, imetolewa taarifa kuwa Rais Samia amefanya teuzi katika nafasi mbalimbali. Rejea kiambatisho hiki:
  14. Erythrocyte

    Hakuna Nchi iliyowahi kufanikiwa kwa Teuzi za kulenga Chaguzi badala ya Maendeleo

    Kichwa cha Habari Chajieleza , Uongozi wowote wa Umma Duniani kote ni dhamana ya muda mfupi sana , tena ni dhamana ya kusaidia kuboresha maisha ya jamii husika (BOTTOM UP) , ni fursa kwa aliyechaguliwa kuongoza kuonyesha Uwezo wake wa kuisaidia jamii yake . Maana yake ni kwamba viongozi wa...
  15. Jaji Mfawidhi

    Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

    Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria. Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo. Kanda ya Ziwa...
  16. MGOGOHALISI

    Teuzi za wastaafu hazina maslahi kwa taifa: Wateuliwa wanawekwa kulipa fadhila

    Ndio ukweli huo. Katika taifa la watu milioni 60 bado nafasi chache na nyeti zinazohitaji akili iliyochangamka na energetic lakini bado anateuliwa mstaafu anayetakiwa kukaa na wajukuu nyumbani ale jasho la ujana wake. Rais Samia amekua mlalamikaji sana hivi karibuni kuhusu utendaji wa watu...
  17. Suley2019

    Uteuzi: Amani Karume na Anna Makinda wateuliwa kuwa Wakuu wa Chuo

    Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
  18. Pascal Ndege

    Akili mbovu ya vijana wa kizazi hiki kufikiria wakatapa teuzi kwa kusifia viongozi

    Kuna tabia ya vijana bila hata kupewa chochote huibuka na kusifia viongozi hata ambavyo hastahili. Hii imekuwa kero kwa baadhi ya viongozi ambao hawana hulka ya kutaka sifa wamekuwa wakijitenga nao. Katika kitabu kimoja cha uongozi nilikisoma kwa uzuri sana. Kinasema kiongozi mzuri hujipambanua...
  19. MoseKing

    Ukiachana na TEUZI, ni mabadiliko gani Samia ameleta nchi hii mpaka Sasa?

    Sheria kandamizi ziko vile vile Teuzi za Watoto wa vigogo Kama kawaida Nchi Ina vimfumo lundo ambavyo hata yeye mwenyewe hajui chochote Mikataba mibovu ni Kama maji ya kunywa Matumizi mabovu ya Pesa za umma kununua magazeti, media n.k Masuala ya katiba yamekufa kifo Cha mende .Ni kanyaga twende...
  20. Mama Edina

    Naomba kujua kuhusu teuzi

    1. DAS wa wilaya anateukiwa na Mh Rais. 2. Je anapofanya mabadiliko DAS akaachwa anapangiwa kazi ingine? 3. Kama alikuwa public servant atarejea kwenye kazi yake? 4. Na kama hakuwa mtumishi wa umma atapotezewa na maisha yaendelee? 5. Na kwanini hakuna teuzi zinazowachukua walimu?
Back
Top Bottom