Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana kuwateua watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti' katika Nafasi zao ili awatumbue, awachafue na waonekane hawafai kuwa Viongozi na ikibidi hata Wapuuzwe...
Hatupigi hatua kama taifa kiutendaji kwa kuteuana kimzunguko wa sura,majina,makundi,uchawa nk
Nafasi zingine twende kwa watumishi wa mashirika ya dini nao wateuliwe wakalisimamie taifa.
Kuna watawa ni wataaluma wazuri tu katika fani mbalimbali,mbona wanawajibika mashuleni,mahospitalini,mifumo...
*
HUKUMU YA SABAYA
Tumefikaje Hapa?
Ilikuwaje? Kipi hakikufanya kazi yake sawasawa? Taifa lenye mihimili yote, taasisi mbalimbali, vyombo vya habari, vyombo vya ulinzi na jumuia za kimataifa, likaacha mtu mmoja akateka, akaiba, akatesa, akabaka, na kuvunja sheria zote?
Kabla ya kuteuliwa kuwa...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10/09/2021 amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika nafasi kumi za kuteuliwa na Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Kabla ya uteuzi huo Dkt. Stergomena...
ccm
chato
debe
halmashauri
katibu mkuu
katibu mkuu uvccm
manispaa
mitandaoni
mkuu
rais samia
samia
tanzania
teuzi
uteuzi
uvccm
wakurugenzi
wakurugenzi wa halmashauri
wapiga debe
wilaya
Bado nashindwa kuelewa ni either hajauzoea urais au ni kwamba hayupo tu makini.
Moja ya vitu ambavyo ni maajabu sani ni pale unapoona taarifa ya uteuzi kutoka Ikulu ikiwa na makosa kila Mara.
Taarifa yoyote inayotoka Ikulu inapaswa kuhakikiwa sana kabla ya kwenda kwenye public.
Au niseme ni...
Aliyekuwa Mkurungezi wa Azam tv ameteuliwa kuwa Mkurungezi wa Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar
===
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala.
Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
Kila zama na wakati wake.
Tukianza awamu ya Nne teuzi zake zilitegemea sana watu walio ndani ya chama na watu walio kuwa nje ya nchi (Wenye exposure zao).
Awamu ya Tano: Watu wenye PhD zao na Profs walilamba Teuzi.
Awamu ya Sita tunaona watu wanaoteuliwa ni watu wa social media. Mdau mmoja...
Salaam!
HALMASHAURI ndio Ofisi pekee zinazotekeleza Sera na Utendaji wa siku kwa siku wa serikali hasa zile za Mitaa. Kiukweli Maafisa Elimu Kata ndio wanayo mawanda mapana sana kwenye kusimamia shughuli za serikali anzia taaluma kwenye kata zao, miradi ya ujenzi wa majengo ya serikali na...
Nyie vijana wa CCM, mimi nawaelewa kabisa hasira yenu.
Nyie mmepambana kukitetea chama, wakati hawa akina Lijualikali, Nassari, Mashinji wakipambana kuwatoa madarakani. Waliwaita majina yote yakiwemo "vijana wasiojielewa", "waimba mapambio", na majina kibao ya kejeli. Lakini leo hii wanahama...
MHESHIMIWA RAIS SASA NI MUDA WA KUWAKUMBUKA WATUMISHI WA UMMA KATIKA TEUZI ZA MA-DED, MA-DAS na Wakuu wa Taasisi za Umma
1. Tunatambua nguzo kuu mbili katika utendaji wa serikali. Ya kwanza ni ile ya watendaji katika shughuli za kisiasa ikiwemo Mawaziri, Manaibu Waziri, ma-RC, na ma-DC. Ya...
Mkeka wa wakuu wa wilaya umetoka walioteuliwa wameonekana ambapo wengi ni watangazaji, wasanii, waigizaji na wengi ni vijana kweli.
Swali la msingi sio kuteuliwa bali ni je wamefanyiwa vetting kujua elimu yao, uwezo, tabia, mienendo, uzoefu, busara, hekima na makandondokando yao mengine na...
Wanabodi,
Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.
Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali...
Kuna watu wanalalamika kuhusu Uteuzi wa Ma DC. Hebu tuongea Kidogo hapa.....
Na Thadei Ole Mushi
1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza kuwa Kiongozi mzuri. Kinachoangalia ni uwezo wake katika kufanya vitu. Nilisema wiki Chache hapa...
Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi.
Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana.
Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ???
Lijualikali alikuwa anatafuta teuzi mpaka analia licha ya kuwa na mshahara, posho na...
Kuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka (Serikali) na Kusifia (Kupamba) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi.
Maziko ya Media Tanzania yamefana.
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
Kwa miaka zaidi ya kumi Sasa wanasiasa wamekosa nidhamu na weledi wa utoaji huduma katika ngazi tajwa.
Naamini watumishi wa Umma wengi hawafungamani na sana na vyama vya siasa, kwao wao kazi ndo msingi wa maisha. Wengi hawawazi kugombea Wala kujipendekeza kuteuliwa. Kuwateua vijana kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.