Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?.
Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?.
Tangu kutumbuliwa kwa...
Nasubiri Mirejesho yenu Watu wa Itifaki, Great Thinkers na Wabobezi wa Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania hapa JamiiForums ili mtuelimishe akina GENTAMYCINE tusiojua lolote na chochote.
Nimejaribu kusoma CV ya huyu kijana anaitwa Elia Wilinasi nimeshituka sana.
Hii ndio CV yake https://www.linkedin.com/in/elia-wilinasi-a08443175
Kama mnakumbuka nimewahi kuleta uzi mmoja uliokua unaeleza jinsi alivyo toa ushauri kuhusu bei ya mafuta, gesi and mbolea na hatua ambazo serikali...
Kuna watu wamezaliwa mchana wengine usiku wa Giza Totoro. Hivi ni kwanini teuzi zinazunguka kwa watu wale wale? Anatolewa huku anapelekwa kule, hata akistaafu anaambiwa tunakupa kazi ya kukusaidia kukushika mkono.
Inafikia mtu anazeeka anashindwa hata kuandika au kunyanyuka kwenye kiti bado ni...
Sizuii kujadili hizi teuzi lakini naona tunapoteza muda kujadili sungura katikati ya mbwa mwitu mtu mmoja au wawili hawawezi kubadili hali ya utendaji katika mfumo mbovu watu wengi wana uwezo wa kufanya vizuri ila wanajikuta mfumo unawalazimu kufanya wasiyopenda niwakumbushe kidogo wakati wa...
Wakuu, Rais wetu mara kadhaa amekuwa akiteuwa na kutengua teuzi zake, pia amekuwa akibadili majukumu ya viongozi mara kwa mara, mara hii hadi kaamua kumrejesha mtu aliwahi kumtumbua katika position ile ile!
Sasa maswali ni je, huwa anazingatia Nini hasa katika teuzi za viongozi mbalimbali...
Kufuatia mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu, Tanzania sasa ina wakuu wa mikoa 8 wanawake sawa na 30.7%.
Hii inawezekana ndiyo idadi kubwa zaidi ya wakuu wa mikoa wanawake tangu uhuru wa Tanzania zaidi ya miaka 60 iliyopita.
Rais Samia Suluhu anaamini katika usawa na...
Habari JF,
Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila.
Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake ni either :-
1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi au
2. Ameachwa kutokana na...
Serukamba, Hawa Ghasia, Vicky Kamata, Dr. Kafumu, Adadi Rajabu na Andrew Chenge, hawa wote walikuwa wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge 2015-2020 (isipokuwa Vicky yeye alikuwa makamu mwenyekiti)
Uchaguzi wa 2020 majina yao yalikatwa na jiwe pale Lumumba japokuwa waliongoza ktk kura za maoni...
Kwa wasiouelewa huu mfuno. Contrarian approach ni idea kwenye mambo ya uwekezaji ambapo mtu unakuwa unafanya maamuzi ambayo kinyume kabisa na matarajio ya watu.
Kwenye uwekezaji, mfano kama bei ya nyumba inapanda kqa kasi, contrarian investor hawezi kuwekeza kwenye nyumba bali atawekeza kwenye...
Ukiwakosa Jeshini katika Nafasi za CDF badi utawakuta hata TISS katika Nafasi za Juu Juu na ukiwakosa huko basi huwezi Kuwakosa katika Jeshi la Police kama IGP na ukiwakosa huku basi hata kule JKT pia hutowakosa kama Wakuu.
Sifa (Tunu) Kuu ya Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) ni...
1. Waaminifu na...
Wasomi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Hawana msaada wa kitaaluma kwa taifa letu tena. Hawakosoi kwa manufaa ya umma
--
Mwanazuoni mkongwe nchini, Profesa Issa Shivji amesema sehemu kubwa ya wasomi nchini wameshindwa kulisaidia Taifa kwa kutoa ushauri unaofaa huku wakisubiri kuteuliwa kwenye...
Tukubali kwamba hii ni Wizara ambayo waliowekwa ni watu misheni town tu.
Nimesikiliza hata huyo anayeitwa Maharage Chande ni aibu tu. Yaani anahangaika na gharama za kuunganisha umeme! Hizo gharama zinaleta faida ktk shirika? Yeye anatakiwa azalishe na kuuza umeme kwa faida badala ya kuhangaika...
Habarini ndugu zangu wa Tanzania.
Naomba nikiri kwanza kabisa mimi sio mwandishi mzuri hivyo kama nitakua nimeenda tofauti kidogo nipo tayari kurekebishwa.
Mimi sio mwanasiasa na wala sio mwanachama wa chama chochote kile ila ni mtanzania mpenda maendeleo, naomba nitambulike hivyo.
Nimekua...
Awamu ya Magufuli aliwaambia wateule wake nikikuteua usifanye sherehe maana umetwishwa mzigo. Yaani kama ukishindwa kuubeba anakutua wakati wowote. Tena alikua 0 tolerance vitendo vya ufisadi. Akasema ukila hela ya umma akijua utaitapika.
Awamu ya 6 ukiteuliwa uwaziri au teuzi yoyote unaweza...
Kwa upepo wa teuzi unavyoenda na mlengo wa teuzi ushajulikana, unadhani ni wanasiasa gani watateuliwa teuzi zijazo?
Mimi naanza na Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, Bernard Kamilius Membe.
Endelea na wewe...
Nikiangalia ktk teuzi Magufuli alikua anajitahidi sana na utaona alikua anateua mtu akitaka matokeo flani ktk kutimiza vision zake ktk kuliletea Taifa maendeleo.
Kuna watu unaona kabisa alikua akiwaandaa au kuwapa teuz flani ili wafit sehemu flani. Tukija huku unaona kuna safu ya kusifu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.