teuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MTV MBONGO

    Mawazo yangu: Itungwe sheria kuzuia teuzi nyingi za fasta kwa Wakati mmoja

    Anapoingia Rais mpya Kama tulivyoshuhudia kwa Mh. JPM na sasa mama SSH, teuzi nyingi zinafuata. Naona zinaharibu utendaji kwani Strategic plans za nyuma hazitekelezwi na wale Waliokuwa ofisini kwani wanahamishwa hamishwa mno. Pia anapokuja mtu mpya kwa ofisi ataanza na yake, hii siyo sawa...
  2. Analogia Malenga

    Rais Samia afanya teuzi za Mwenyekiti CBE na Mjumbe Baraza la Ushindani

    Rais Samia amemteua Prof. Eleuther Anthony Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE). Uteuzi umeanza Juni 7 Pia amemteua Dkt. Neema Bhoke Mwita kuwa mjumbe wa Baraza la Ushindani (Fair Competition Tribunal). Uteuzi unaanza Juni 8, 2021 Dkt. Mwita amechukua nafasi ya...
  3. Countrywide

    Rais Samia hongera kwa kurekebisha makosa yaliyofanyika kwenye uteuzi wa Azza Hilal Hamad

    Moja kwa moja nimpe mama Samia hongera kwa kurekebisha makosa yaliyofanyika kwenye teuzi za makatibu tawala na zile za wakurugenzi wa mashirika mfano ile teuzi ya DG wa TPDC. Ni wazi Kuna majina mama anayopewa ya teuzi yakiwa na makosa. Ieleweke mama Samia hawezi kuwajua watu wote hivyo ni wazi...
  4. MURUSI

    Ni lazima kila wiki kuwe na teuzi?

    Why hizi teuzi zote asizifanye ndani ya siku na hata kama kutakuwa na interver ya kuwaapisha? Je, teuzi ni sehemu ya mafanikio ya nchi? Tujivunie teuzi kama moja ya nchi kupitia hatua? Make awamu iliyopita ilikuwa nayo kila wiki ni teuzi ila tofauti na ile awamu Mwenda zake alikuwa anatengua...
  5. Naanto Mushi

    Ni kwanini jamii ya wahindi imesahaulika kwenye teuzi za kisiasa?

    Ni moja ya swali huwa linanijia kichwani kila siku. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimebahatika kuwa na hawa watu pamoja na nchi ya Kenya. Jamii ya wahindi wa Tanzania na Kenya, wana historia ndefu kwa hizi nchi. Na wengi mpaka babu zao wamezaliwa huku, ikimaanisha wana haki zote za uraia wao...
  6. fasiliteta

    Watanzania kushangilia Teuzi za viongozi

    Kwa muda sasa karbu kila Rais akiingia watu wanajiweka attention kusubiri habari za teuzi za viongozi tena kwa bashasha kubwa huku wengine wakishangilia na wengine wakinunua baada ya teuzi. Bado najiuliza sana,hizi teuzi teuzi zinakuaga na jipya gani zaidi ya taratibu tu za uongozi? Binafsi...
  7. SN.BARRY

    Tusubiri vituko teuzi za maDC na maDED

    Mama kaahidi kuwa katika teuzi zake atateua wanawake na wanaume 50/50. Suala sio wanawake au wanaume kuteuliwa. Suala ni hao wanawake anaolazimisha awateue wana uwezo? Tumeshuhudia vituko vingi kutoka kwa wabunge wa viti maalum. Wengine wamepewa hadi unaibu Waziri ila hata kusoma majibu...
  8. Analogia Malenga

    Rais wa Zanzibar ateua Wakurugenzi katika Wizara ya Habari

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi amemteua Dkt. Saleh Y. Mneno kuwa Mkurugenzi wa ZBC. Nasriya M. Nassor ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Utumishi na Uendeshaji. Khamis Siasa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti. Shaib I. Moh'd ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa...
  9. Mpinzire

    Uteuzi wa Mabalozi 23 leo, Hakuna aliepangiwa kituo cha kazi au mimi sijaelewa?

    Leo kupitia page ya kurugenzi na mawasiliano Ikulu nimeona statement ya uteuzi wa wabarozi 23 uliofanywa na Mh Rais Samia, lakini sijaelewa mpaka sasa kuwa katika wote 23 hawajapingiwa vituo vya kazi? Kwanini? Anafanya alimradi abadili ama ye anateua wakati akisubiri wa kumtoa?
  10. J

    Yawezekana hayati Magufuli alikuwa anateua watendaji bila kuwahusisha VP na PM?

    Nauliza tu kwa wenye uzoefu na mambo ya teuzi Naelewa kwamba kila zama na kitabu chake lakini naona kama mama anapata kazi ya ziada kuteua tena. Kazi Iendelee! Kesho ni Pentecoste.
  11. F

    Tunaweka divai mpya kwenye viriba vikuukuu, viongozi wengi wa zamani wanateuliwa tena na tena kwenye awamu mpya

    Nafikiri tatizo kubwa la nchi yetu ni kukosa ubunifu na kutokuwa na mifumo imara na hivyo kupelekea kila kiongozi mkuu ajaye kuanza upya. Awamu iliyopita ilikuwa na viongozi ambao kama Tanzania ingekuwa nchi iliyokomaa kifikra na kidemokrasia basi viongozi wakuu karibu wote wangepaswa kuachia...
Back
Top Bottom