tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    TFF simamisheni ligi mpaka world cup iishe

    Kuanzia tarehe 20 dunia nzima ya mashabiki wa soka macho na masikio ni nchini Qatar. Itakuwa kero sana kwa mashabiki wenye akili timamu anaingia kibanda umiza kuangalia mechi ya Senegal dhidi ya Uholanzi halafu anakutana na mechi ya yanga dhidi ya Dodoma jiji kwenye TV nyingine, hiyo ni kero...
  2. K

    Alichofanyiwa Mrisho Ngassa ni uhuni, TFF, TPLB mnawajibika

    Nimeona mahali kwamba eti nyota wa zamani wa Yanga, Azam, Simba, Ndanda, Mbeya City na Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrisho Khalfani Ngassa, juzi alizuiwa kuingia uwanjani kushuhudia mechi ya Ligi Kuu. Ngassa alizuiwa na walinzi wa milangoni maarufu Steward, ambao walimfanyia kitendo...
  3. Ratiba hii ya Yanga, TFF Ina jambo lake kwapani

    Je, ilikuwa ni lazima Yanga icheze na Kagera sugar jumapili mwanza? Kwanini mechi isingesogezwa hata kwa siku mbili?
  4. Kwa hili alilofanya Maulid Kitenge naiomba TFF ichukue hatua kali haraka kwa Maulid Kitenge na EFM

    Nauomba Uongozi wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) haraka sana umchukulie hatua kali za kinidhamu mtangazaji wa hovyo wa michezo nchini Maulid Kitenge kwa kitendo chake cha kumpa 'Airtime' Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara tena akimtaja kabisa kuwa Msemaji wa Yanga SC aliye...
  5. TFF hali tete, yahaha kusaka mdhamini mpya Ligi Kuu

    RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema kombe hilo halina mdhamini mkuu na hata kuitwa kombe la Shirikisho Azam ni kutokana na kutokuwa na...
  6. Nikiwa kama mwana Simba SC naiomba Kamati ya Maadili ya TFF iwafungie Chama na Sakho

    Mimi ni mwanamichezo, mwana Simba SC lia lia na napenda utani na utani wetu wa Simba na Yanga ila sipendi na sifurahii upumbavu (Upan'gang'a) pale ukitokea. Nitamshangaa na nitawashangaa pia kuona wana Simba SC wenzangu wakinichukia kwa hili na hata kutoniunga mkono kama kweli wana Spirit of a...
  7. N

    Tetesi: UHUNI: Yadaiwa Kambole yuko Kigamboni anarejea Januari, dili lilichezwa na TFF

    Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa! "Za ndani kabisa, jamaa kumbe yupo. Hajaenda kwa mkopo wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kutuzuga sisi...
  8. Maamuzi mabovu ya waamuzi wa soka TZ

    Mi nafikiri ingekuwa inawezekana TFF wangesajili waamuzi kutoka nje kama team za mpira zinavyo fanya. Tushuhudie burudani ya maamuzi ya kigeni hapa hapa bongo:D:D:D. We unaonaje?????
  9. TFF naombeni sababu ya Kimantiki kwanini Mechi za Vilabu vya Simba na Yanga mmezibadilisha

    Ratiba iliyokuwepo ilikuwa Weekend hii Simba SC icheze na Mbeya City FC na Yanga SC wacheze na Ihefu FC. Mmeibadilisha juu kwa juu hii Ratiba na sasa Simba SC itacheza na Dodoma Jiji FC na Yanga SC nao watacheza nadhani na Ruvu Shooting FC. Hivi TFF ni kwanini mnapenda mno Kuvibeba, Kuvilinda...
  10. N

    Wana Yanga wachukizwa na kauli ya Hersi kuhusu TFF

    Siku zote tunawaambia wanayanga kwamba Hajj Manara ndiye mwenye uchungu na team hiyo anayoipigania kwa moyo mmoja bila kujali maslahi ya pesa Kitendo cha kuweza kuvitoa virusi sugu viitwavyo Nugaz na Bumbuli hapo klabuni vimemuongezea credit sana kwa wanazi wa yanga, jinsi alivyompa makavu...
  11. Leo nimethibitisha TFF inaendeshwa na Simba

    Kamati ya masaa 72 imekaa leo baada ya Masaa zaidi ya 300 kushughulikia swala la Morrison. Kamati ilishindwa kukaa kwenye swala la Inonga pamoja na yule jamaa wa coast aliyetaka kumvunja mguu Bangala. Lakini kwa sababu ni Morrison kamati imekaa wakati tukio lake lilikuwa kwenye round ya 3...
  12. Serikali iishawishi TFF iwatoe kifungoni ndugu Dauda na Manara ili waambatane na Serengeti Queens huko India

    Serikali kupitia Wizara ya Michezo iishawishi TFF iwatoe kifungoni bwana Shaffih Dauda na Haji Manara kwa maslahi ya nchi kwenye upande wa hamasa wa Timu zetu za Taifa. Pamoja na mapungufu ya wadau hao wa Soka bado ni watu muhimu kwenye uga wa hamasa na kukosea kwao isiwe sababu ya kushindwa...
  13. TFF kumfungia Haji Manara ni kujipiga wenyewe risasi mguuni

    Haji Manara ameshiriki kuuwekea taswira mpya mpira wetu Tanzania. Hamasa ya mpira tanzania imekuwa kubwa sana katika kipindi cha Haji. Haji amesababisha watu sasa wanakwenda wengi viwanjani kuangalia football jambo ambalo watu wanafahamu hivyo, serikali inajua, bunge linafahamu, TFF inajua...
  14. N

    Mamlaka za juu zimeamuru takadini afunguliwe na TFF, cheo cha u-afisa habari hichoooo, pole sana Karia

    Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana. Sasa ni wazi Sope takadini ndiye anaenda kuwa afisa habari wa yanga kwani vile vigezo vilivyoanishwa na team hiyo anavyo vyote tena...
  15. Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

    Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa soka amerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati kwa kuteka hisia na mioyo ya mashabiki mitandaoni na nje ya mitandao ya kijamii...
  16. T

    USHAURI: TFF ni muda sasa umewadia wa kuanzisha Reserve league (Professional development league)

    Ahlan wa Sahlan Katika kuzunguka kwangu katika mataifa ya ulaya nimekutana na mfumo huu wa ligi za reserve wengine hupenda kuuita professional development leagues.Ni mfumo wa ligi unaohusisha wachezaji vijana kutoka academies za timu zinazoshiriki ligi kuu za nchi husika,hujumuisha vijana wa...
  17. Nawaomba CAF na TFF waandae kabisa 'Mipira' ya Kumkabidhi Fiston Kalala Mayele leo kwa Mkapa

    Upo Uwezekano leo Predator (hata Henock Inonga ) anamjua Fiston GENTAMYCINE Kalala Mayele leo akafunga kati ya Goli 3 au 6 na wakizubaa hata 9 peke yake dhidi ya Zalan FC Jioni katika Mechi yao Marudioano.
  18. TFF fikirieni tena juu ya timu kucheza mashindano ya Mapinduzi

    Timu za bara kushiriki mashindano ya Mapinduzi kuna faida chache sana za kimpira kwa TFF, ligi, timu na wachezaji wa timu za bara kuliko hasara.
  19. Onyango alivosikia Kisinda amerudi Yanga akaomba kuondoka, alivyosikia TFF wamemfungia akarudi Simba, asiyempenda karudi, sasa itakuwaje?

    Hapa Onyango atajilaumu kwanini karudi maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu. Naona muda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALEPALE Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapigwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
  20. R

    Hivi inakuwaje Makosa ya Timu ya Yanga yanarekebishwa na TFF ? Wajuzi wa Mambo hii imekaaje ?

    Hii barua ya TFF inajieleza kabisa kwamba usajiri wa Kisinda ulishindikana sababu Yangu walikuwa na wachezaji wengi wa kigeni na Dirisha lilishafungwa ,Kisinda anaingiaje sasa Wajuzi wa mambo ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…