TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.
TFF ni chombo cha umma na kinachominiwa ndani na nje ya nchi. Jemedari Said anasema kuwa ana uhakika na vyanzo vyake vya habari ambazo zinahifadhiwa TFF. Ni mfanyakazi gani ndani ya TFF ambae anampa Jemedari habari binafsi za watu na taasisi zinazozua taharuki kwa umma? Tuna wasiwasi na TFF na...
Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali.
1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni.
Sasa swali la...
Nilisema hapa bila utashi wa kisiasa soka letu haliwezi kusonga mbele kwa kuendelea kuongozwa na watu wa visasi kama kina Karia.
Heko sasa Serikali mmeanza kumtafuta polepole mchawi wa soka letu.
NB: Karia dalili ya mvua ni mawingu-jiongeze.
Ni uleule muendelezo wa vita kati ya karia na yanga sc kwa kutumia ukaribu wake na Motsepe ameagiza Ngushi akatwe jina lake
wana yanga amkeni nyie, mnaonewa sana.
Kuna swali najiuliza, hivi team ikisajili mchezaji na kabla ya deadline huyo mchezaji huyu akawa mgonjwa, inamaana hairuhusiwi tena kusajili mchezaji mwingine kabla ya hiyo deadline?
Kama ni ndio basi kuna mahala kanuni zetu hazipo vizuri.
Sipo hapa kusema nani yupo sahihi nan ani hayupo...
Simba inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana. Licha ya vipigo ilivyopokea majuzi lakini hilo sio kubwa sana.
Mlinzi Mkenya Joash Onyango ameandika barua Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) akiomba iuvunje mkataba wake na Simba kwa kile anachosema haoni kama anaweza kupata nafasi ya kucheza...
Ligi yetu inachezeshwa vibaya, ligi yetu Ina wageni wengi mno, timu imejaa wazee, watoto wadogo hawana makocha na TFF inahangaika mno na Simba na Yanga kuliko mpira wenyewe.
Tulimbebesha lawana yule Mnigeria tukamfukuza na sasa tunamlaumu Mzungu tumemfukuza lakini vipigo vikabaki palepale.
Ona...
TFF nawapongeza kwa kuamua kutumia wazawa kukinoa kikosi chetu Cha timu ya Taifa. Mtu chake. Mtoto wako ni wako hata akiwa na sura mbaya.
Ninaimani na walioteuliwa. Tuwaunge mkono kwa hali yoyote ile, watatuvusha.
"MECKY TAFADHALI MRUDISHE YONDANI NA NYONI KIKOSINI utakujanishukuru."
Karia kwa kauli na matendo hakika ni mtu wa kuchungwa mno kisiasa kama kimelea kinachokaribia kuleta sintofahamu kubwa baina ya wananchi wa Tanzania.
Pamoja na kuongoza TFF bado Karia anawajibika kutokusababisha manung'uniko na kuwagawa Watanzania kwa sababu ya chuki zake binafsi kwa adui...
Watu wa mpira tunajua kuwa kipa Aishi Manula na aliyewahi kuwa kipa wa Taifa Stars Juma Kaseja haziivi kabisa.
Kaseja analalamika Manula mchawi na Manula nae kutwa hataki kumsikia Kaseja kwa madai kuwa ni mchawi na amekuwa akimuumiza mno walipokuwa pamoja Taifa Stars mwaka mmoja au miaka miwili...
TTF wamefikia makubaliano ya kuachana na kocha mkuu na benchi lake zima japo anaendelea kubaki katika timu ya vijana kumalizia mkataba wake.
Taarifa isiyo rasmi Nsajigwa anaenda Yanga kuongeza nguvu benchi la ufundi la timu hiyo.
Siku moja baada ya Timu ya taifa ya Tanzania kufungwa goli 1-0 dhidi ya Uganda, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kumuondoa Kocha wa Tanzania, Kim Poulsen kwenye benchi la Ufundi pamoja na Wasaidizi wake.
TFF imesema hatua hiyo imefikiswa baada ya makubaliano baina ya pande zote...
Kwa nilichokishuhudia uwanja wa Taifa ni aibu kwa mamlaka za mpira wa miguu hapa Tanzania.
Kundi kubwa la mashabiki waliosemekana ni wa Yanga walishangalia bila aibu goli/ushindi wa timu ya Taifa ya Uganda huku wakisema "acha mwana majivuno Karia apigwe ili aendelee kuwafungua wana michezo wa...
Pamoja na kulinda raia na mali zao, kazi nyingine ya polisi ni kushinikiza watu kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea.
Amri, sheria ama marufuku ikiwekwa na idara, taasisi ama chombo kingine chochote ni kazi ya jeshi la polisi kuhakikisha inatekelezwa.
Sasa kwann polisi hawamkamati Manara...
Wakati Jose Mournho anaenda EPL ilikuwa inajulikana sifa yake ya kuongea ovyo ..wakati Fulani walimpa jina la "the mouth"...Mourinho alikuwa anafanya "mind games".
Akiwashambulia marefa kabla ya mechi ili waogope kuzigusa timu zake wachezaji wake wakicheza faulo....walichofanya EPL ilikuwa...
Shirikisho la Mpira Tanzania linatakiwa kuchukua hatua kali zaidi kwa @hajismanara kwasababu ameendelea kukiuka adhabu aliyopewa ya kufungiwa miaka miwili. Hii ni dhihaka kubwa kwa chombo chetu cha kusimamia mpira nchini na kwa Wizara ya Michezo kwa ujumla wake, lakini inavuka na kudhalilisha...
Ukweli ni kuwa mkubwa hakosei. Rais wa TFF ni mtu mkubwa sana kwenye mpira wetu Tanzania. Ndiye kioo Cha mpira wetu kwasasa, yaani kama ni ukatoliki yeye ndiye wa kanisa nchini na kama ni uislamu yeye ndiye Mufti wetu, haifai atokee mtu yeyote miongoni mwetu akamdhihaki hata kwa kutania TU akiwa...
Kwa mujibu wa Barua iliyotumwa kwa vyombo vya Habari, Kupitia kwa Bodi ya Ligi, Bodi imeboresha kanuni ya Ngao ya Jamii ambapao kwa kwa kanuni mpya kutakuwa na shindano la Ngao ya jamii ambalo litashirikisha timu 3 za juu kwenye ligi, ambapo ikiwa timu ni mshindi wa kombe la FA na ipo kwenye...
Huu ni mpira inabidi uwe fair na haki za binadamu zizingatiwe na hata FIFA wanahimiza sana.
Cha ajabu Klabu ya Yanga inajiona ipo juu ya sheria na kufanya kinyume, Inonga baada ya mechi alikuwa anawahi kwenda kutafuta sehemu ya mapumziko lakini ghafla mbele yake akazingirwa na wachezaji wa...
Huu mpira anaoupiga Mayele sio wa Afrika hii. Kuna namna Yanga wamefanya. Haiwezekani mchezaji hatari kama Mayele achezee timu hizi za Kitanzania.
CAF na TFF waimulike Yanga na ikiwezekana waiadhibu .
Mayele analeta imbalance uwanjani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.